Askofu Mokiwa avamiwa, mlinzi wake taabani!

Askofu Mokiwa avamiwa, mlinzi wake taabani!

Hivi hatukuambiwa ya kwamba viongozi wa dini wamepewa ulinzi na serikali???
 
Jibu analo mkuu wa nchi kwani alishasema mwenyewe kuwa ana majina ya wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.

tatizo kuna jina mle linamtoa jasho kulitaja,linafanana na..anyway,hebu nifunge domo langu!
 
Imekua vipi serikali yetu 'SIKIVU' itoe tamko leo kupewa ulinzi kwa viongozi wetu wa kidini na kesho yake tu Askofu Valentino Mokiwa anavamiwa??

Je, serikali itaweza vipi kujiweka kando na fikra za hivi sasa ya kwamba kundi linalowavamia na hata kuwaua viongozi wa kidini, kwa upande wa Wakristo kwa Waislamu, ni watu wa ndani ya serikali yenyewe.

Serikali ipi? hii hii 'sikivu'?
 
Back
Top Bottom