Askofu Mokiwa avamiwa, mlinzi wake taabani!

Askofu Mokiwa avamiwa, mlinzi wake taabani!

Huyo itakua kavamiwa na 'UHAMUSHO', 'UAMUSHO' (UAMSHO) au kajivamia mwenyewe! Ngoja tusubili majibu ya EfuBiAi.
 
Huyu mbona alishastaafu

Hajastafu mkuu, huyu ni Askofu wa Anglican!! alistaafu lini? Na ni nani alichukua nafasi yake? Nina hakika hajastaafu au labda niseme nimepitiwa na habari hii muhimu.
 
Hajastafu mkuu, huyu ni Askofu wa Anglican!! alistaafu lini? Na ni nani alichukua nafasi yake? Nina hakika hajastaafu au labda niseme nimepitiwa na habari hii muhimu.

Nafasi yake ya uaskofu mkuu imechukuliwa na Jacob chimeledye wa dayosisi ya kondoa hivyo yeye anabakia kuwa askofu wa jimbo la dsm
 
Asante sana mkuu kwa kusema ukweli. Sasa je hii nchi haina usalama wa Taifa? Si tunaishi nao kwenye jamii zetu kuanzia uswazi (mainfoma wapo), wauza mchicha, wapiga viatu rangi, wauza kahawa, wauza bidhaa za mkononi kwenye mabaa huku wamevalia suti kali kabisa!! Hawa wote hawana taarifa za mipasho hiyo ya kidini? Au wakipelea taarifa hazifanyiwi kazi kwa kuwa eti mnataka kutuletea mambo ya udini? Ingekuwa ni Wakristu wanapiga kelele kama mbwa mwitu kutukana na kukachifu dini za wengine basi ungeone kivumbi? Wakati wa Nyerere na Mkapa mbona sikuona wakristu wakiamka na kuanza kujirusha kwa CD chafu za uchochezi? Hawa mambo tuliyashuhudia wakati wa Mwinyi (kumbukeni sekeseke la Mwembechai Magomeni na kwinginezo, msikiti wa kwamtoro), leo hii yakaibuka tena awamu ya nne!!!! Sasa tuseme nini sasa!!Political and Religion analysts hebu tusaidieni hapa!!

Mkuu inasikitisha mno, usalama wa taifa upo bize na kuidhibiti CDM!!

Hebu angalia upumbavu wa vyombo vya usalama nchii.....
“Tayari tumepata taarifa, lakini nimejaribu kumtafuta askofu Mokiwa nimeambiwa kwamba anahojiwa na vyombo vya usalama, tunasubiri amalize tuzungumze naye ili tulifuatilie kwa ukaribu suala hili, kwani ni tukio la kushtusha,” alisema Chilongani. "
Askofu aliwaambia kabla, hawakuhangaika kumpa ulinzi wala nini!! baada ya tukio ndipo wanajifanya wadindishaji!?
 
watakuwa ni waislamu kwasababu hata mtu akigombana na mke wake ni waislamu UKITAKA KUMUUA MBWA MPE JINA BAYA!sema ana kichaa atauwawa

kweli hao ni waislam (magaidi) ila hapo hapahitaji FBI kwani hapakutumika silaha ya moto na sio z'bar.
 
Kwani Radio Imani na TV si vishafungiwa mnataka ifungiwe ipi tena? au Waislamu tupigwe risasi sasa. Hizo ni propaganda. Give a dog a bad name then shoot it.
Kule Zanzibar aliuliwa Shekhe mkawa kimyaaa maana ku-amplify hizo habari doesn't serve your interests.
 
Kazi ipo Kiwete, Kinana na CCM kwa ujumla hamwezi kukwepa kikombe hiki coz ndio waanzilishi wa Single ya UDINI karibu tunapata ALBUM kamili. Nahofia hatuweiz kufika uchaguzi ujao tukiwa salama kama SERIKALI hawatachukua hatua stahiki. Ni mbaya sana hii lakini yote yana mwisho

usifiche ukweli udini ameuanzisha slaa kupiga kampeni kupitia makanisani baada watu kujua ukweli mnageuza kibao lakini mtawadanganya wajinga na wasiojitambua.
 
Mwamsho kazini sasa wamehamia bara.. Baada ya fbi kuzingira z'bar.
Ni mwamsho tu hakuna wengine ushahidi wa vipeperushi upo.

Ewe sheikh Ilunga vijana wako hao, haya bwana tumalize uishi wewe na watukufu wenzako Tanzania hii..

mkuu hii ni filamu inachezwa ili kuonyesha kuna udini Tanzania. Bila shaka serikali inalielewa hili. na kwa sababu upeo wako ni mdogo basi nikurukia tu bila kufikiria. kwa akili ya kawaida, hivi kweli hao watu wangekuwa na nia kweli wangeishia getini? hii ni kudroo tension tu, sasa naanza kupata picha juu ya matukio yote yanayotokea. ila inaniudhi kwa sababu wanatoa watu kafara ili malengo yao yatimie. walaaniwe.
 
usifiche ukweli udini ameuanzisha slaa kupiga kampeni kupitia makanisani baada watu kujua ukweli mnageuza kibao lakini mtawadanganya wajinga na wasiojitambua.

heee, hil zao la kawambwa dv O.
Mwaka 2005 ccm waliubir CUF ni chama cha waislam.
Mwaka 2010 ccm wakaubir CDM ni chama cha wakristo.
Awamu ya nne wapepanda mbegu ya udin zaid kwa kuruhusu Cd,vipeperush,mikutano na matamsh ya kukashfu din nyingine.wanaofanya hivyo tunawaona publically lkn serikal imekaa kimya.
Njoo na point za maana hapa sio huo udaku!
 
Asante sana mkuu kwa kusema ukweli. Sasa je hii nchi haina usalama wa Taifa? Si tunaishi nao kwenye jamii zetu kuanzia uswazi (mainfoma wapo), wauza mchicha, wapiga viatu rangi, wauza kahawa, wauza bidhaa za mkononi kwenye mabaa huku wamevalia suti kali kabisa!! Hawa wote hawana taarifa za mipasho hiyo ya kidini? Au wakipelea taarifa hazifanyiwi kazi kwa kuwa eti mnataka kutuletea mambo ya udini? Ingekuwa ni Wakristu wanapiga kelele kama mbwa mwitu kutukana na kukachifu dini za wengine basi ungeone kivumbi? Wakati wa Nyerere na Mkapa mbona sikuona wakristu wakiamka na kuanza kujirusha kwa CD chafu za uchochezi? Hawa mambo tuliyashuhudia wakati wa Mwinyi (kumbukeni sekeseke la Mwembechai Magomeni na kwinginezo, msikiti wa kwamtoro), leo hii yakaibuka tena awamu ya nne!!!! Sasa tuseme nini sasa!!Political and Religion analysts hebu tusaidieni hapa!!

Mkuu hapo kwenye red, kazi iliyobaki ya usalama wa taifa ni kug'oa kucha, meno na wizi wa kura wakati wa uchaguzi basi!
 
mkuu hii ni filamu inachezwa ili kuonyesha kuna udini Tanzania. Bila shaka serikali inalielewa hili. na kwa sababu upeo wako ni mdogo basi nikurukia tu bila kufikiria. kwa akili ya kawaida, hivi kweli hao watu wangekuwa na nia kweli wangeishia getini? hii ni kudroo tension tu, sasa naanza kupata picha juu ya matukio yote yanayotokea. ila inaniudhi kwa sababu wanatoa watu kafara ili malengo yao yatimie. walaaniwe.

mkuu nakuunga mkono, 100% ni kazi ya serikali kutuchonganisha ili ibaki madarakani, hebu angalia haya; mitaani tunaishi bila matatizo yoyote ya udini, kama ingekuwa ni kikundi fulani kwa nini serikali ishindwe kuwakamata? Kama askofu alitoa taarifa kwa nini polisi wasingefuatilia? Waislamu shtukeni hapa dini yenu inatumiwawa kujaribu kuinusuru serikali kupitia vurugu, lengo lao ni kutaka wakristo wajibu mashambulizi ili tukiwa tunagombana wanyonge kwa wanyonge wenyewe watakuwa wanaiongoza nchi wakiwa nje ya nchi au ndani ya nchi wakiwa wamezungukwa na ulinzi mkali kuhakikisha usalama wao, je walala hoi tutalindwa na nani kikiwaka?
 
Mkuu hapo kwenye red, kazi iliyobaki ya usalama wa taifa ni kug'oa kucha, meno na wizi wa kura wakati wa uchaguzi basi!

Aise kwa hiyo sasa tuseme usalama wa Taifa unashabikia siasa!!! Jamani tutenganishe siasa na vitengo nyeti kama usalama wa taifa na usalama wa Raia!! Jeshi, etc!
 
Mkuu inasikitisha mno, usalama wa taifa upo bize na kuidhibiti CDM!!

Hebu angalia upumbavu wa vyombo vya usalama nchii.....
"Tayari tumepata taarifa, lakini nimejaribu kumtafuta askofu Mokiwa nimeambiwa kwamba anahojiwa na vyombo vya usalama, tunasubiri amalize tuzungumze naye ili tulifuatilie kwa ukaribu suala hili, kwani ni tukio la kushtusha," alisema Chilongani. "
Askofu aliwaambia kabla, hawakuhangaika kumpa ulinzi wala nini!! baada ya tukio ndipo wanajifanya wadindishaji!?

Mkuu Mzizi wa Ubuyu, sasa imefika wakati viongozi wa dini wahamasishe watu wajiandikishe kupifa kura na 2015 tufanya mageuzi!! Tumechoka mno. Kwa hakika itafanikiwa sana hii mbinu.
 
Back
Top Bottom