Askofu Mokiwa avamiwa, mlinzi wake taabani!

Askofu Mokiwa avamiwa, mlinzi wake taabani!

tukio la mwangosi kama sio picha tulishaambiwa kwamba aliuwawa na kitu kilichptupwa kutoka kwa wafuasi wa chadema

na pia hebu usome kwa makini historia ya Kibanda kabla ya tukio.alikuwa akifanya kazi wapi,akahamia wapi,waliomhamisha walikuwa na ajenda gani,tazama mwenendo wa habari zao baada ya kuunda timu mpya,halafu tukio la kibanda na punde baada ya tukio nakumbuka kusoma post kibao humu zikiihusisha Chadema na tukio na namna ya uandishi wao ni wa kuhukumu na sio kuhoji au kutilia mashaka.within such a short time,kwa mtu public figure kama kibanda,how can somebody came up with such ideas tena kwa confidence akijaribu kutushawishi kuwa Chadema ndio wamemjeruhi Kibanda?angalia na ishu ya Mtwara pia?ndani ya muda mfupi tunaambiwa ni Chadema.Wakaizima haraka baada ya kuona tutawastukia kwa vile Chadema haina umaarufu mikoa ya kusini kiasi cha kuorganize watu vile!sasa tuwe makini,isije kuwa Chadema na waislam ni kondoo wa kafara 2015!
 
Haya mambo yanahitaji critical thinking kabla hujajitosa kuyajadili, hili la kuvamiwa viongozi ktk fikara zangu ni kwamba kuna watu wanatumia loop hole ya mpasuko wa kidini nchini aidha kulipiza visasi vyao binafsi dhidi ya viongozi hao na au kwa maslahi yao binafsi kuendeleza uhuni ujinga na upuuzi huo ili kuchagiza mpasuko wa kidini.

Hii ni goverment at work inatumia loop hole ya mpasuko wa kidini kulipa visasi kwa viongozi wanaowakosoa. Haiingii akilini government iliyo na vyombo vyote vya usalama ishindwe kujua nani anafanya ukatili huu. Nasema no way!
Either wana support; au ni wao wenyewe lakini si nje ya hapo. Na huu mpango most likely haujulikani na wengi- only few top officials are behind it
.
 
we uko dunia gani? hivi uchaguzi wa anglikana uliyofanyika wiki 2 zilizopita ulimalizika salama!? eleza ukweli. unajua kwa nini mokiwa kapigwa chini kwenye uaskofu mkuu. au ww bado dogo? umri haukuruhusu kuchambua mambo?

ndg yangu tuwe waangalifu.mie niko makini sana siku hizi na watoa maoni wa aina hii.kumwambia mtu sijui suruali sijui ndevu sijui BAKWATA inatusaidia nini humu ndani?nawaelezeni waislam mnaosoma hapa kuwa watu wa aina ya Nyakageni hawawakilishi ukristo,wala hawana hata punje ya tabia za kikristo.hawa wana mabosi wao waliowatuma kuja kuchafua hali ya hewa humu.naomba wanaJF tuendelee kujadili mambo yetu kwa staili yetu ile ile iliyofanya JF ifikie hapa ilipo.
 
Hongera sana Kikwete na genge la uislam na CCM yako kushika hatamu za kuua wapakwa mafuta wa Mungu.
 
Hongera sana Kikwete na genge lako la Uislam na CCM kushika hatamu kwa kuwinda na kuua watu na wapakwa mafuta wa Mungu. Dhambi hii hutaikwepa daima.
 
Hakika zile SMS za matamko ya kuwaondoa katika sura viongozi wa dini hakika naanza kuziamini!! Katika vipeperushi na sms zilea walitaja mokiwa, Malasusa, Pengo, na wengine!!! Kaeni Chonjo na kama serikali inataka amani ya nchi hii iendelee basi viongozi wote wa dini za kikristu wapatiwe ulinzi wa serikali. Wakati huo huo ule udini uliolelewa kwa awamu ya nne basi kabla haijamaliza muda wake waone ni namna gani ya kumaliza tatizo lao walilolilea.

Mkuu, Udini wa Tanzania hakuanza awamu ya nne ni awamu ya kwanza ! Una tatizo kwenye somo la historia wewe, Usipende kukariri...
 
watakuwa ni waislamu kwasababu hata mtu akigombana na mke wake ni waislamu UKITAKA KUMUUA MBWA MPE JINA BAYA!sema ana kichaa atauwawa

Ndiyo wafuasi wa ustaadhi ilunga wanahusika. Wamfuate Ilunga kwao kondoa alikojificha.
 
Hao ewatekaji mbona hawaendi kwa Kakobe?? Hapaingiliki eee.. Hahahaaa nasikia hata zile waya hazipitishi umeme...
Ila hii nchi serikali imeshindwa kutulinda raia wake, haya matukio yamezidi sasa.. Viongozi wote wadini wapewe ulinzi special bila kujali dini zao.
 
ndg yangu tuwe waangalifu.mie niko makini sana siku hizi na watoa maoni wa aina hii.kumwambia mtu sijui suruali sijui ndevu sijui BAKWATA inatusaidia nini humu ndani?nawaelezeni waislam mnaosoma hapa kuwa watu wa aina ya Nyakageni hawawakilishi ukristo,wala hawana hata punje ya tabia za kikristo.hawa wana mabosi wao waliowatuma kuja kuchafua hali ya hewa humu.naomba wanaJF tuendelee kujadili mambo yetu kwa staili yetu ile ile iliyofanya JF ifikie hapa ilipo.

am not coward kaka! Na ujue dini naielewa, hawa watu wamezidi. Mi ni mkristo haaswa! Yesu ni Bwana. Jino kwa jino
 
Inasikitisha kuona watu wakijadili kidini, fools that's what you are, fools I tell you...you are being part of the problem by childish mindset... The devil is very happy with you!!! There you have it booom!
 
Waliomtukana spika makinda wamepatikana, inakuwaje hawa wavamizi hawakamatiki?
 
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk. Valentino Mokiwa, amevamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Mbezi Luis, eneo la Mashirikiano, jijini Dar es Salaam, ambapo baada ya kumkosa walimjeruhi mlinzi wake.

Taarifa za uhakika zilizolifikia gazeti hili, na kuthibitishwa na Askofu Mokiwa mwenyewe, zinaeleza kuwa watu hao watatu ambao mpaka sasa hawajafahamika, walifika nyumbani kwake hapo juzi majira ya saa tisa usiku wakitaka kumuona askofu huyo.

Akizungumza na MTANZANIA Jumapili, mmoja wa watu wa karibu na askofu Mokiwa alisema watu hao walifika kwa lengo la kutaka kuingia ndani ili waweze kumuona, hali iliyomfanya mlinzi kuwazuia.

“Wale watu walipofika kwa mlinzi walimuuliza kuwa askofu yupo.. mlinzi akawajibu kuwa hayupo, wakamuuliza tena mama je (mke wa askofu), akawajibu kuwa wote hawapo, baada ya kujibiwa hivyo walianza kumpiga mlinzi kwa madai kuwa hataki kuonyesha ushirikiano, walimpiga na kumjeruhi vibaya kwa mapanga na hadi sasa amelazwa katika Hospitali ya Tumbi, Kibaha,”,kilisema chanzo hicho.

Alisema mlinzi huyo aliyetambulika kwa jina la Fred, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 45, alipigwa hadi kuzimia kabla ya watu hao kutokomea kusikojulikana.

Habari zilizothibitishwa na mtu mmoja wa karibu na Askofu huyo zinaeleza kuwa, mlinzi huyo aligoma kuwaambia ukweli watu hao kwa sababu alikwishaonywa kuwa makini na wageni wa aina yoyote wanaofika nyumbani hapo kumuulizia Mokiwa.

Mtoa habari wetu huyo aliliambia gazeti hili kuwa wakati mlinzi huyo akivamiwa na kucharangwa mapanga, Askofu Mokiwa pamoja na mke wake walikuwemo ndani ya nyumba lakini hawakuweza kusikia lolote, kutokana na lango la kuingia nyumbani kwake kuwa mbali na nyumba.

“Askofu alishamtahadharisha mlinzi kwa sababu wiki mbili zilizopita alishatoa taarifa polisi kuhusiana na vitisho alivyokuwa akipewa na watu wasiojulikana, kikubwa kilichosaidia ni kwamba nyumba ya askofu iko umbali kidogo, lakini wangemdhuru,” alisema mtoa taarifa wetu huyo.

Katibu Mkuu wa kanisa hilo, Dk. Dickson Chilongani, alisema wamepokea taarifa hizo kwa masikikito na kwamba wanasubiri taarifa rasmi kutoka kwa askofu ili wazifanyie kazi.

“Tayari tumepata taarifa, lakini nimejaribu kumtafuta askofu Mokiwa nimeambiwa kwamba anahojiwa na vyombo vya usalama, tunasubiri amalize tuzungumze naye ili tulifuatilie kwa ukaribu suala hili, kwani ni tukio la kushtusha,” alisema Chilongani.

MTANZANIA Jumapili lilimtafuta Askofu Mokiwa kwa njia ya simu ambapo alithibitisha juu ya habari za kuvamiwa nyumbani kwake na akamtaka mwandishi wa gazeti hili amtafute baada ya dakika 40.

Mwandishi wa gazeti hili alimtafuta tena Mokiwa baada ya dakika 40 kupita simu yake, iliita bila mafanikio na alipotumiwa ujumbe mfupi wa kumkumbusha aliliambia gazeti hili kwa njia ya simu kuwa ana ugeni wa serikali na kulitaka gazeti hili limpigie baada ya dakika 45.

Alipotafutwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyella, alisema amesikia taarifa hizo, lakini hajazipokea rasmi ofisini kwake.

“Ni kweli hata mimi nimesikia, lakini hazifafika ofisini kwangu rasmi, nitafute baadaye naweza kuwa na taarifa sahihi, kwa sababu wao wako Mbezi, inawezekana hizo taarifa zipo huko Mbezi katika kituo cha polisi cha Mbezi kwa Yusuph,” alisema Kamanda Kenyella.

Baadaye Kamanda Kenyella alipotafutwa kuthibitisha tukio hilo, simu yake iliita bila kupokelewa, ambapo MTANZANIA Jumapili ilipata taarifa kwamba wapelelezi wakiongozwa na Kamanda Kenyella, walikwenda nyumbani kwa Askofu Mokiwa kwa ajili ya kufuatilia tukio hilo.

CHANZO:MTANZANIA JUMAPILI.


kwa kuwa limefanyika tanganyika tunaambiwa majambazi, inapofanyika zanzibar tunaambiwa magaidi, Matukio haya sio mara moja wala mbili kwa tanganyika ,wala hayajaanza leo walajana.

GO TO HELL VIONGOZI WA TANGANYIKA MUJIITAO WATANZANIA, wanafiki wakubwa, kazi ubaguzi tuuu.
Kwa unafiki wa viongozi basi suala hili hawatawapa tenda FBI au sio zanzibar ?
 
Waliomtukana spika makinda wamepatikana, inakuwaje hawa wavamizi hawakamatiki?
 
ebr13.6"hata twathubutu kusema,bwana ndiye anisaidiye,sitaogopa;mwanadamu atanitenda nini?"mungu awasambaratishe kwa njia saba maadui wote...!
watu wanakufa ninyi mnaleta injili tujisaidie na mungu atatusaidia
 
Isaya15:3,7-8,-this is what the lord say,'Now go and kill amelek and utterly destroy all that they have,DO NOT SPARE THEM but KILL both men and women,INFANTS and suckling,ox and sheep,camel and donkeys....And saul utterly destroyed all the peoples with the edge of the sword.

Kitabu cha Isaya hakiongei habari za Sauli na Waamaleki wewe!
 
Hajastafu mkuu, huyu ni Askofu wa Anglican!! alistaafu lini? Na ni nani alichukua nafasi yake? Nina hakika hajastaafu au labda niseme nimepitiwa na habari hii muhimu.
na kweli umepitwa huyu alikuwa askofu mkuu wa anglican tz sasa hivi ameachia kiti kwa askofu wa mpwawa ndie askofu mkuu yy anabaki kuwa askofu wa kawaida tu.
 
Hii ndo amani na utulivu tulionao ! Watanzania amkeni usingizini hapa hamna amani wala utulivu, ukiachilia mbali matukio makubwa ya Ulimboka, Kibanda na wengineo nina marafiki zangu wengi ambao usiku hawalali kwa uwoga wakiofia usalama wao, alafu wanakuja wanasiasa wanaimba wimbo walioukariri wa amani na utulivu. Shame on them!

Maagizo ya Shehe Ilunga yanatekelezwa huku vyombo vya dola vikimhofia Kikwete kumkamata huyu mtu.
 
Back
Top Bottom