tukiendelea kuwachekea hawa watu watatumalizia viongozi wetu...
Haya mambo yanahitaji critical thinking kabla hujajitosa kuyajadili, hili la kuvamiwa viongozi ktk fikara zangu ni kwamba kuna watu wanatumia loop hole ya mpasuko wa kidini nchini aidha kulipiza visasi vyao binafsi dhidi ya viongozi hao na au kwa maslahi yao binafsi kuendeleza uhuni ujinga na upuuzi huo ili kuchagiza mpasuko wa kidini.
wacha uwongo wewe! Anglicanism inafuata UPENDO, hawa ni wale walenga mawe ukuta wakisema shetani. Huku sir Devil akiwa pembeni anawacheka tu!
Shetani alie ktk dini moja wapo ataleta maafa! Mungu wao anaruhusu kuuwa.
we uko dunia gani? hivi uchaguzi wa anglikana uliyofanyika wiki 2 zilizopita ulimalizika salama!? eleza ukweli. unajua kwa nini mokiwa kapigwa chini kwenye uaskofu mkuu. au ww bado dogo? umri haukuruhusu kuchambua mambo?
Deutronomy21:10-13Shetani alie ktk dini moja wapo ataleta maafa! Mungu wao anaruhusu kuuwa.
hakuna ulazima wa kuunganisha matukio haya na dini zetu,vinginevyo tuwe tayari kwa lolote
Isaya15:3,7-8,-this is what the lord say,'Now go and kill amelek and utterly destroy all that they have,DO NOT SPARE THEM but KILL both men and women,INFANTS and suckling,ox and sheep,camel and donkeys....And saul utterly destroyed all the peoples with the edge of the sword.Hiyo mungu ungeiweka ya herufi ndogo mkuu. Huyo sio Mungu wa kweli...
Isaya15:3,7-8,-this is what the lord say,'Now go and kill amelek and utterly destroy all that they have,DO NOT SPARE THEM but KILL both men and women,INFANTS and suckling,ox and sheep,camel and donkeys....And saul utterly destroyed all the peoples with the edge of the sword.
mawazo yako ya kuwekewa ulinzi wa polisi,unaweza kujikuta unamuweka simba kuwa mlinzi wa mbuziHakika zile SMS za matamko ya kuwaondoa katika sura viongozi wa dini hakika naanza kuziamini!! Katika vipeperushi na sms zilea walitaja mokiwa, Malasusa, Pengo, na wengine!!! Kaeni Chonjo na kama serikali inataka amani ya nchi hii iendelee basi viongozi wote wa dini za kikristu wapatiwe ulinzi wa serikali. Wakati huo huo ule udini uliolelewa kwa awamu ya nne basi kabla haijamaliza muda wake waone ni namna gani ya kumaliza tatizo lao walilolilea.
mkuu hii ni filamu inachezwa ili kuonyesha kuna udini Tanzania. Bila shaka serikali inalielewa hili. na kwa sababu upeo wako ni mdogo basi nikurukia tu bila kufikiria. kwa akili ya kawaida, hivi kweli hao watu wangekuwa na nia kweli wangeishia getini? hii ni kudroo tension tu, sasa naanza kupata picha juu ya matukio yote yanayotokea. ila inaniudhi kwa sababu wanatoa watu kafara ili malengo yao yatimie. walaaniwe.
mawazo yako ya kuwekewa ulinzi wa polisi,unaweza kujikuta unamuweka simba kuwa mlinzi wa mbuzi
tukio la mwangosi kama sio picha tulishaambiwa kwamba aliuwawa na kitu kilichptupwa kutoka kwa wafuasi wa chademamie mwenyewe nimestuka tangu wiki iliyopita.kuna thread moja ilikuwa inaongelea tamko la wasomi wa chuo kikuu kuhusu udini.kuna posts zilikuwa zinaandikwa mle na watu wakijifanya waislam lkn namna yao ya uandishi na kile walichokuwa wanalenga tukikurupukie vilinitia mashaka kama ni waislam kweli na wanauwakilisha uislam.matukio yanatokea lakini natuliza kichwa kwa makini nikifuatilia upepo unavyovuma.tutamjua tu mchawi ingawa hadi sasa kwa nionavyo mimi,si busara kukurupuka na kusema ni waislam.nadhani ni wakati wa muslims wenyewe kuisafisha nyumba yao.itakuwa rahisi kwao kuijua njama inayotumia jina lao kama wao si wahusika.nawashauri wakristo wenzangu tutulie na kutafuta ushirikiano na waislam kutatua tatizo hili.nasema hivi kwa sababu nguvu ya mtu anayefanya matukio haya ipo ktk utengano wetu.anatumia tofauti yetu ya kiitikadi kuigeuza kuwa vita kati yetu na hakuna shaka yeye ndie anafaidika.nakumbuka joto la udini wengi wetu tulianza kulisikia kwa wakubwa kupitia media huku mitaani tukiishi shwari tu.ni baada ya habari ktk media na matamko ya baadhi ya viongozi wa dini na siasa ndipo ukaanza mlolongo wa matukio.nakumbuka jinsi mwalimu Nyerere alivyoona mbali na kutahadharisha.kwa maneno ya mwalimu ilionekana wazi hata wakati wake kulikuwa na viongozi wa kidini na kisiasa waliotamani udini kama kete yao kutwaa madaraka lakini hawakupata nafasi.kwa hiyo ukiyatazama mazingira.utaona udini unaanzia ngazi za juu na kusukumwa chini,wananchi tuupokee ili ajenda ya walioanzisha itimie.haukuanzia chini kwenda juu.ni baada ya uongo kurudiwa sanaa,sasa unabadilika kuonekana ukweli kwa sie wananchi kuupokea pasipo tafakuri ya kina.watanzania wenzangu nawaosia sana,tukatae kufanywa wajinga.tatizo la udini lipo kwa viongozi wetu wa kisiasa wakiwatumia baadhi ya viongozi wa dini kuufanikisha.tuwaachie wenyewe,tusiupokee!waislam na wakristo tuungane kusafisha madhabahu zetu na nyumba yetu Tanzania,mfitini hatapata nafasi ya kujificha.ataonekana tu na tutamshughulikia ipasavyo.hebu hiyo serikali ituambie matokeo ya uchunguzi wake juu ya matukio ya kule ZNZ na kwingineko.mbona kimya tuu?pana neno hapa!msitufanye wajinga.
Aaaah wakuu Sasa hii ni noma. Tunahitaji Watanzania tulindwe na majeshi ya ECCOWAS?
Nafasi yake ya uaskofu mkuu imechukuliwa na Jacob chimeledye wa dayosisi ya kondoa hivyo yeye anabakia kuwa askofu wa jimbo la dsm