mwanaizaya
Senior Member
- Apr 26, 2008
- 133
- 1
Askofu Mkuuu Wa Kanisa La Kkkt Tanzania Bw Malasusa Amesema Imefika Wakati Kanisa Tubaki Kama Kanisa Na Wanasiasa Naomba Mliheshimu Hili..tusingependa Kanisa Kutumika Kama Sehemu Ya Kujisafisha Au Kutangaza Sera Za Chama Fulani...
Kama Niliposema Hapo Nyuma Kkkt Si Ya Chama Chochote Na Wala Hakina Mpango Wa Kuingia Kwenye Siasa!!!!
Katika Kuhitimisha Askofu Mkuu Amesema Amegawa Waraka Makanisa Yoote Kulaani Yale Yaliotokea Kuhusu Kukaribishwa Kwa Mh Rostam Aziz,,alisema Anawakaribisha Sana Wanasiasa Ila Asingependa Watumie Sehemu Ile Kama Sehemu Ya Kujisafisha Au Kutangaza Sera Za Chama Fulani;;;;;
Yoh 8:1--8
Mwenye Dhambi Na Aanze Kumrushia Mawe :::::nao Wakaanza Kuondoka Mmoja Baada Ya Mmoja Tumuombee Na Si Kumhukumu!!!
Mungu Atambadilisha Na Ipo Siku Atamjua Mungu Zaidi Na Kuomba Msamaha Kwa Yale Yote Aliyoyatenda