Askofu Ludovick Minde, Mungu anamtaka kuwa KADINARI wa Kanisa Katoliki baada ya Pengo.

Ingekua ni mrc ungejua tofauti ya askofu na kadanari ila kwakua mlokole sishangai na inawezekana ujui kama RC ni taifa ndiomana unashindwa kutoa tofauti
Elezea unachokijua wewe sio kuhorojoka kama yule jamaa asiye na vyeti. Jambo kama hulijui kaa kimya upewe elimu
 
Kisandu wewe sijui una matatizo gani..... Mimi siamini kama wewe umesoma seminari......... Inamaana huujui utaratibu wa kanisa katoliki? Vyeo havitolewi kama unavyoropoka..... Ingekuwa ni hivyo basi kanisa lingekuwa lilishakufa miaka mingi hata wewe Kisandu usingelikuta..... Wewe ulitakiwa kuwa kioo cha kuwaelimisha watu wasiolijua kanisa katoliki pamoja na misingi yake.... Sasa wewe mwenyewe hujui chochote halafu mbio unakuja kudanganya watu huku
 
Kwa umakini sana bado naendelea kufuatilia mambo yako.Kuna Watu bila shaka unawafanyia kazi.Intended meseji kwenye Huu Uzi unaujua Na labda Watu wachache tunaoweza kuona rangi halisi ya maandiko yako.Card.Pengo akistaafu Uaskofu Mkuu wa Jumbo la Dar es Salaam bado atabakia Na cheo hicho cha Ukardinali.Sheria za Kanisa ziko wazi juu ya Mamlaka yake hayo.

Mkuu you are right. Personally nadhani si mbaya kuwa na mjadala kama huu. Maana after all hawa watu ni viongozi wetu. Tunaishi nao. Tunafanya nao kazi na wengine wametukuza. Mfano, nakumbuka niliwahi kutumikia misa na Askofu (current Archbishop and President of Pontifical Mission Societies) Protase Rugambwa. Kipindi hicho alikuwa bado hajateuliwa kuwa askofu Kigoma. The man is smart. Hata ulikuwa ukiongea naye au mkienda misa vigangoni you could see leadership in him.

Of course uteuzi wa viongozi RC uko tofauti and hardly our ideas are taken into account. But I can assure you, siku hizi things are changing. Hata viongozi wanafuatilia. Though, kama Pengo atastaafu utahitaji Cardinal mpya kuongoza kanisa. Everything has an end. Mimi sioni ubaya kama hawa tunaowajadili tunawajadili kwa mazuri. They are part of us. Na wanakuja kutuongoza sisi. By the way unakumbuka hata succession ya Pope Benedict kulikuwa na mjadala mkali..kuhusu mrithi wake....Archibishop Arinze nk.

In all namtakia afya njema Baba Askofu Mkuu Pengo. Na yeyote atakayekuja kutuongoza baadala yake..awe na faraja na Baraka za Mwenyezi Mungu katika majukumu yake.
 
Haya mambo ya Roho Mt... huyo Mungu atajayetupa tutamshukuru.. katoliki hatukurupuki..
 
Kweli tupu, ingawa utaambiwa unadhihaki. Siku waAfrika tutakapoamka na kujitambuwa ndiyo utakuwa mwanzo wa safari yetu ya kuendelea kama watu. Mpaka sasa, kwa utumwa huu wa fikra, acha tubishane tu nani ni "mRoma" au mKatoliki zaidi ya mwingine. Msiba mkuu huu!!
Hukatazwi kuwa na mwelekeo wako ili mradi usivunje sheria
 
Kadinali Pengo si ndo Papa wa Katoliki hapa Tanzania?
I mean ndo Askofu mkuu wa Katoliki so ni kama papa vile

Nani kakuambia? Askofu Pengo ni askofu mkuu wa jimbo kuu katoliki la Dar es Salaam sawa na askofu Joesphat Lebulu wa Jimbo kuu la Arusha.
 
KADINARI wa KANISA KATOLIKI afate ASKOFU Ludovick MINDE.

Mara tatu nakutana naye kwenye maono kwa kazi ya Kimungu. Mwaka 2001 Siku ya Uaskofisho wake pale jimbo la Kahama nilikuwepo na nilitumikia misa yake tena nikishika Chetezo siku ya Uaskofisho wake kama Mtumikizi.

Imani yake ndio kubwa sana kiroho, ni mwenye misimamo mikali sana ya kiimani. Akifuatiwa na Askofu Ruachwi Thadeo wa jimbo la Mwanza. Lakini kiroho Minde ndio sahihi kuwa Kadinari wetu baada ya Mwadhama Kadinari Pengo. Sipigi debe ila kiroho hakuna ujanja inabidi iwe hivyo tu.

Askofu Kilaini ni mzuri kwa nafasi ya usemaji kwa kanisa na sio Ukadinari. Mungu bariki Kanisa Katoliki, Mungu bariki Tanzania.

Deogratius N Kisandu
From Tanzania, East Africa.View attachment 491538

= Kadinali
 
Muombee, Mungu ndie hupanga watu wake na bahati nzuri yeye anatusikiliza tuombayo, sio kama watawala wa dunia hii wasiosikia chochote.
 
Wee jamaa nishaasema kama nduguzo wameamua kukuacha upotee bila kukupeleka Mirembe watakua wamekosea sana
 
Ujue watu wanajua kardinali anapigiwa kula au unatuma maombi kumbe mzigo unateuliwa kutoka Vatican city
Kardinali anatakiwa kupendekeza majina ya warithi wake kama anavyopendekeza teuzi za maaskofu.
 
KADINARI wa KANISA KATOLIKI afate ASKOFU Ludovick MINDE.

Mara tatu nakutana naye kwenye maono kwa kazi ya Kimungu. Mwaka 2001 Siku ya Uaskofisho wake pale jimbo la Kahama nilikuwepo na nilitumikia misa yake tena nikishika Chetezo siku ya Uaskofisho wake kama Mtumikizi.

Imani yake ndio kubwa sana kiroho, ni mwenye misimamo mikali sana ya kiimani. Akifuatiwa na Askofu Ruachwi Thadeo wa jimbo la Mwanza. Lakini kiroho Minde ndio sahihi kuwa Kadinari wetu baada ya Mwadhama Kadinari Pengo. Sipigi debe ila kiroho hakuna ujanja inabidi iwe hivyo tu.

Askofu Kilaini ni mzuri kwa nafasi ya usemaji kwa kanisa na sio Ukadinari. Mungu bariki Kanisa Katoliki, Mungu bariki Tanzania.

Deogratius N Kisandu
From Tanzania, East Africa.View attachment 491538
Kanisa katoliki lina taratibu zake za kupata makardinali, ampapo kwa mujibu wa hairakia ya kanisa ( Catholic hierrarchy) maamuzi ya nani awe kardinali hutoka Vatican.
 
KADINARI wa KANISA KATOLIKI afate ASKOFU Ludovick MINDE.

Mara tatu nakutana naye kwenye maono kwa kazi ya Kimungu. Mwaka 2001 Siku ya Uaskofisho wake pale jimbo la Kahama nilikuwepo na nilitumikia misa yake tena nikishika Chetezo siku ya Uaskofisho wake kama Mtumikizi.

Imani yake ndio kubwa sana kiroho, ni mwenye misimamo mikali sana ya kiimani. Akifuatiwa na Askofu Ruachwi Thadeo wa jimbo la Mwanza. Lakini kiroho Minde ndio sahihi kuwa Kadinari wetu baada ya Mwadhama Kadinari Pengo. Sipigi debe ila kiroho hakuna ujanja inabidi iwe hivyo tu.

Askofu Kilaini ni mzuri kwa nafasi ya usemaji kwa kanisa na sio Ukadinari. Mungu bariki Kanisa Katoliki, Mungu bariki Tanzania.

Deogratius N Kisandu
From Tanzania, East Africa.View attachment 491538
Siyo lazima kwamba kardinari akifa lazima ateuliwe mwingine, kuna nchi kibao hazina makardinari. Kuwa kardinari manake ni mshauri wa papa lakini siyo lazima papa apate mshauri kutoka katika kila nchi.
 
Kadinali Pengo si ndo Papa wa Katoliki hapa Tanzania?
I mean ndo Askofu mkuu wa Katoliki so ni kama papa vile
Siyo Askofu mkuu wa Tanzania, mfumo wa kanisa katoliki ni kwamba kila Askofu wa jimbo ndiye ndiye mwakilishi wa jimbo kwa papa, hivyo pengo hawezi kuwaingilia maaskofu wengine kwenye majimbo yao wala hana mamlaka hayo, yeye ni Askofu mkuu wa jimbo la dar es alaam, cheo cha ukardinari ni kumshauri papa tu basi, pia kumbuka kuna nchi nyingine ziana makardinari zaidi ya mmoja.
 
A point to note, hata ikitokea Kardinali Pengo akarudi kwa Muumba (sote tunaelekea huko), bado siyo lazima ateuliwe Kardinali mwingine. Kuna nchi hazina Makardinali. Afrika Mashariki na kati (kama sikosei) tuna Kardinali mmoja tu, Pengo.

Pengo sio mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania. Kanisa Katoliki lipo chini ya Raisi wa T.E.C. ambaye huchaguliwa miongoni mwa Maaskofu wa T.E.C. kila baada ya miaka sita. Kwasahivi Mwenyekiti wa TEC ni Mhashamu Askofu Tarcius Ngararekumtwa (tangu 2012 Alipoupokea kutoka kwa Mhashamu Askofu Yudathadeus Ruwa'ichi).

Kingine; kama ulivyo Ushemasi, Upadre, Uaskofu na madaraja mengine katika Kanisa, Ukardinali hauishi, ni wa milele. Kuna umri tu ukifikia utapunguziwa au kusitishiwa utoaji wa huduma, kama ilivyo kwa Uaskofu. Kwasababu za Umri, kupungukiwa nguvu za Kimwili na kwasababu za kiafya.
Uko sihihi mkuu, watu wengi huwa wanafikiri kwamba kardinari ndio mkuu wa kanisa katika nchi husika, lakini wanasahau kwamba kuna nchi nyingine zina makardinari zaidi ya mmoja.
 
Hivi mngejua taratibu zinazotumika na kanisa katoliki wala msingepoteza muda kujadili suala hili.
Hivi huyu kisandu ni mwl.kweli,yaani hujui askofu au kadinal anavyopatikana kweli?
 
Back
Top Bottom