Askofu KKKT: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
82,942
Reaction score
89,158
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

Your browser is not able to display this video.

My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.

Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
 
Naunga mkono hoja
P
 


Bila katiba mpya Mama Samia hataweza kupata heshima kama hii. Kama Raisi anafikiria ushindi wake binafsi kuliko nchi huwezi kumpa cheo nna heshima kama hii. Uzalendo ni pale ambako unajali wengine kuliko manufaa binafsi. Huyu Mama anasita sita kwenye katiba ni sababu tosha ya kuonyesha yuko wapi.

Inaelekea Mama anaanza tamaa na inabidi tuanzekumuita Mama Addul maana ndiye tajiri wetu mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…