Askofu Kakobe wahi Kaburini kwa Nyerere nenda kwa akina Mzee Mwinyi, Mkapa na Kikwete ukawaombe radhi haraka!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,917
Kama Kiongozi wa Dini ukiwa ‘ Muongo ‘ hivi tutaaminije kuwa unaweza ukawaombe Watu na ‘ wakapona ‘ matatizo yao? Na je tutaaminije kuwa Wewe ni Kiongozi kweli wa Dini kama labda Wewe siyo Mchawi au Mnafiki tu? Hivi nyie Viongozi wa Dini wa nchini Tanzania hasa wa miaka hii mna matatizo gani? Mmerogwa na nani? GENTAMYCINE sitowavumilieni na nitawasema hata kama ' mtanichukia ' sawa tu ila sijazoea ' Unafiki ' ambao nyie mnaonekana ' mmebarikiwa ' nao.

Namwomba Askofu Zakaria Kakobe upesi kama siyo haraka sana akimbie lilipo Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akaombe Msamaha / Radhi na akimaliza huko akimbie pale Msasani Nyumbani kwa Mzee Mwinyi kisha akimaliza aende Nyumbani kwa Mzee Mkapa kama ni Masaki au Mtwara au Lushoto Tanga na mwishoni aende ama Mikocheni au Msoga kwa Mzee Kikwete akawaombe msamaha / radhi kwa aina ya ‘ Upotoshaji ‘ mkubwa na usiovumilika aliousema mahala fulani muda si mrefu.

Kauli yake kwamba “
Tokea Uhuru wa nchi hii hajawahi kuona na haijapata kutokea Kuona Rais ambaye ana Mapenzi mema na Viongozi wa Dini kama Rais wa Awamu hii ya Tano Dkt. Magufuli na kwamba amekuwa akiwaweka karibu mno Wao Viongozi “.

Labda asichokijua tu Askofu Kakobe ni kwamba kuna aina mbili za Watu na tabia zao ambapo kuna Wale ambao huwa wanakuwa karibu mno na Viongozi wa Dini lakini hawapendi ‘ Maonyesho ‘ au ‘ Sifa ‘ na pia kuwa wale ambao huwa wanapenda kuwa karibu na Viongozi wa Dini kwa kutaka tu ‘ Ufahari ‘ na Kujionyesha kuwa Wao ni Wacha Mungu wakati pengine hata ‘ Matendo ‘ yao hayaakisi hivyo.

Viongozi wa Dini nchini Tanzania jifunzeni kuacha Kutumika vibaya na ‘ Kuwadhihaki ‘ Marais waliopita na mkiweza jaribuni pia Kuchunga ‘ Ndimi ‘ zenu msije mkaharibu na mkajiharibia pia. Kama mna Madai yenu au Uchumi umeyumba tafuteni njia nzuri kuliko hizi za Kinafiki na Kujipendekeza ambazo kwakweli sasa zimeanza ' Kutochosha ' Watanzania wenye akili na wenye Mapenzi mema na hii nchi.

Ninachojua ni kwamba Marais wote waliowahi kupita hapa Tanzania walikuwa na Upendo na Mapenzi mema kabisa kwa Viongozi wote wa Dini nchini na ndiyo maana hata katika Awamu zao zote hadi hii ya sasa nchi imekuwa ina Amani hivi ( japo kuna Changamoto za hapa na pale ) ila Kitendo cha Kusema kuwa Rais fulani anaonekana Kuwapenda Viongozi wa Dini na haijawahi Kutokea Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nitakupinga na sitoogopa pia kusema kuwa katika Viongozi wa Dini ambao sasa naanza ' Kuwadharau ' ni huyu Askofu Kakobe na nawaonea mno ' huruma ' Wanaosali Kwake kwani yawezekana wakawa wanafanana nae ' Kiunafiki ' na hata ' Kiuwongo ' pia.

Namkubali sana tena mno Rais Dkt. Magufuli ila sipendi jinsi ambavyo ' anapambwa ' kwa ' gharama ' za Kuwadhihaki na Kuwadharau Marais wengine waliopita hapa Tanzania ambao nina uhakika wa 100% kama wasingeongoza nchi hii vyema na Kusimamia hii Amani basi hata huyu Rais Dkt. Magufuli asingeikuta Tanzania ikiwa katika hali hii ya Umoja na Mshikamano. Nimesikitika na naanza sasa ' Kuogopa ' jinsi Tanzania ya sasa inavyoenda. Mwenyezi Mungu atusaidie!

Nawasilisha.
 
Kama Kiongozi wa Dini ukiwa ‘ Muongo ‘ hivi tutaaminije kuwa unaweza ukawaombe Watu na ‘ wakapona ‘ matatizo yao? Na je tutaaminije kuwa Wewe ni Kiongozi kweli wa Dini kama labda Wewe siyo Mchawi au Mnafiki tu?

Kauli yake kwamba “ Tokea Uhuru wa nchi hii hajawahi kuona na haijapata kutokea Kuona Rais ambaye ana Mapenzi mema na Viongozi wa Dini kama Rais wa Awamu hii ya Tano Dkt. Magufuli na kwamba amekuwa akiwaweka karibu mno Wao Viongozi “.

Viongozi wa Dini nchini Tanzania jifunzeni kuacha Kutumika vibaya na ‘ Kuwadhihaki ‘ Marais waliopita na mkiweza jaribuni pia Kuchunga ‘ Ndimi ‘ zenu msije mkaharibu na mkajiharibia pia. Kama mna Madai yenu au Uchumi umeyumba tafuteni njia nzuri kuliko hizi za Kinafiki na Kujipendekeza.
PASSPORT YAKE NA URAIA UTAMRUDISHIA WEWE? Kachimbe kaburi la Ongala umuulize kilichomkimbiza kwa Mrema siku ya pili baada ya kumsifu kwenye kampeni.
 
Mkuu hawa viongozi wa Dini wameanza kupata mialiko kipindi hiki ambacho tunaelekea uchaguzi,Jiwe ana Hidden agenda,anataka endorsement ya viongozi wa Dini,sio kwamba ana upendo wowote nao.Huyo Kakobe hata Passport yake sidhani kama amesharudishiwa.Wanatumika hata wao wanajua,wanatumia Biblia kuhalalisha usaliti wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Kiongozi wa Dini ukiwa ‘ Muongo ‘ hivi tutaaminije kuwa unaweza ukawaombe Watu na ‘ wakapona ‘ matatizo yao? Na je tutaaminije kuwa Wewe ni Kiongozi kweli wa Dini kama labda Wewe siyo Mchawi au Mnafiki tu? Hivi nyie Viongozi wa Dini wa nchini Tanzania hasa wa miaka hii mna matatizo gani? Mmerogwa na nani? GENTAMYCINE sitowavumilieni na nitawasema hata kama ' mtanichukia ' sawa tu ila sijazoea ' Unafiki ' ambao nyie mnaonekana ' mmebarikiwa ' nao.

Namwomba Askofu Zakaria Kakobe upesi kama siyo haraka sana akimbie lilipo Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akaombe Msamaha / Radhi na akimaliza huko akimbie pale Msasani Nyumbani kwa Mzee Mwinyi kisha akimaliza aende Nyumbani kwa Mzee Mkapa kama ni Masaki au Mtwara au Lushoto Tanga na mwishoni aende ama Mikocheni au Msoga kwa Mzee Kikwete akawaombe msamaha / radhi kwa aina ya ‘ Upotoshaji ‘ mkubwa na usiovumilika aliousema mahala fulani muda si mrefu.

Kauli yake kwamba “
Tokea Uhuru wa nchi hii hajawahi kuona na haijapata kutokea Kuona Rais ambaye ana Mapenzi mema na Viongozi wa Dini kama Rais wa Awamu hii ya Tano Dkt. Magufuli na kwamba amekuwa akiwaweka karibu mno Wao Viongozi “.

Labda asichokijua tu Askofu Kakobe ni kwamba kuna aina mbili za Watu na tabia zao ambapo kuna Wale ambao huwa wanakuwa karibu mno na Viongozi wa Dini lakini hawapendi ‘ Maonyesho ‘ au ‘ Sifa ‘ na pia kuwa wale ambao huwa wanapenda kuwa karibu na Viongozi wa Dini kwa kutaka tu ‘ Ufahari ‘ na Kujionyesha kuwa Wao ni Wacha Mungu wakati pengine hata ‘ Matendo ‘ yao hayaakisi hivyo.

Viongozi wa Dini nchini Tanzania jifunzeni kuacha Kutumika vibaya na ‘ Kuwadhihaki ‘ Marais waliopita na mkiweza jaribuni pia Kuchunga ‘ Ndimi ‘ zenu msije mkaharibu na mkajiharibia pia. Kama mna Madai yenu au Uchumi umeyumba tafuteni njia nzuri kuliko hizi za Kinafiki na Kujipendekeza ambazo kwakweli sasa zimeanza ' Kutochosha ' Watanzania wenye akili na wenye Mapenzi mema na hii nchi.

Ninachojua ni kwamba Marais wote waliowahi kupita hapa Tanzania walikuwa na Upendo na Mapenzi mema kabisa kwa Viongozi wote wa Dini nchini na ndiyo maana hata katika Awamu zao zote hadi hii ya sasa nchi imekuwa ina Amani hivi ( japo kuna Changamoto za hapa na pale ) ila Kitendo cha Kusema kuwa Rais fulani anaonekana Kuwapenda Viongozi wa Dini na haijawahi Kutokea Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nitakupinga na sitoogopa pia kusema kuwa katika Viongozi wa Dini ambao sasa naanza ' Kuwadharau ' ni huyu Askofu Kakobe na nawaonea mno ' huruma ' Wanaosali Kwake kwani yawezekana wakawa wanafanana nae ' Kiunafiki ' na hata ' Kiuwongo ' pia.

Namkubali sana tena mno Rais Dkt. Magufuli ila sipendi jinsi ambavyo ' anapambwa ' kwa ' gharama ' za Kuwadhihaki na Kuwadharau Marais wengine waliopita hapa Tanzania ambao nina uhakika wa 100% kama wasingeongoza nchi hii vyema na Kusimamia hii Amani basi hata huyu Rais Dkt. Magufuli asingeikuta Tanzania ikiwa katika hali hii ya Umoja na Mshikamano. Nimesikitika na naanza sasa ' Kuogopa ' jinsi Tanzania ya sasa inavyoenda. Mwenyezi Mungu atusaidie!

Nawasilisha.
Naunga mkono hoja.. Uko sahihi sana na hii tabia inazidi kukithiri kwa kiwango cha moram by now... Viongoz mbalimbali wanataka kujishow mbele ya Comrade kua wako naeeeeee mapenzin mazitooo to to to.
Mwisho inakua too much
 
mkuu keshatishwa huyo. sio rahisi sana mtu kuishi ukiamini unayoamini
 
Atakuwa amesoma alama za nyakati akaona unafiki ndio mtaji maridhawa kwa sasa. Unafikiri wale wote waliounga mkono juhudi za mheshimiwa dhamira yao imetoka moyoni? Mtumikie kafiri upate mradi wako
 
Back
Top Bottom