Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,681
- 3,346
Dharau, beza, tukana na kukashifu unavyojua lkn kumbuka anayemtumkia Askofu Kakobe anaweza puliza uhai ulio nao hata sekunde haiishi! matatizo ya malezi..wengine wapo dunia hii kuwa kielelezo cha uweza wa aliyewaumba, kwamba kiburi na majivuno mwisho wake ni jehanamu! mmojawapo ni huyu kijana.Kama Kiongozi wa Dini ukiwa ‘ Muongo ‘ hivi tutaaminije kuwa unaweza ukawaombe Watu na ‘ wakapona ‘ matatizo yao? Na je tutaaminije kuwa Wewe ni Kiongozi kweli wa Dini kama labda Wewe siyo Mchawi au Mnafiki tu? Hivi nyie Viongozi wa Dini wa nchini Tanzania hasa wa miaka hii mna matatizo gani? Mmerogwa na nani? GENTAMYCINE sitowavumilieni na nitawasema hata kama ' mtanichukia ' sawa tu ila sijazoea ' Unafiki ' ambao nyie mnaonekana ' mmebarikiwa ' nao.
Namwomba Askofu Zakaria Kakobe upesi kama siyo haraka sana akimbie lilipo Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akaombe Msamaha / Radhi na akimaliza huko akimbie pale Msasani Nyumbani kwa Mzee Mwinyi kisha akimaliza aende Nyumbani kwa Mzee Mkapa kama ni Masaki au Mtwara au Lushoto Tanga na mwishoni aende ama Mikocheni au Msoga kwa Mzee Kikwete akawaombe msamaha / radhi kwa aina ya ‘ Upotoshaji ‘ mkubwa na usiovumilika aliousema mahala fulani muda si mrefu.
Kauli yake kwamba “ Tokea Uhuru wa nchi hii hajawahi kuona na haijapata kutokea Kuona Rais ambaye ana Mapenzi mema na Viongozi wa Dini kama Rais wa Awamu hii ya Tano Dkt. Magufuli na kwamba amekuwa akiwaweka karibu mno Wao Viongozi “.
Labda asichokijua tu Askofu Kakobe ni kwamba kuna aina mbili za Watu na tabia zao ambapo kuna Wale ambao huwa wanakuwa karibu mno na Viongozi wa Dini lakini hawapendi ‘ Maonyesho ‘ au ‘ Sifa ‘ na pia kuwa wale ambao huwa wanapenda kuwa karibu na Viongozi wa Dini kwa kutaka tu ‘ Ufahari ‘ na Kujionyesha kuwa Wao ni Wacha Mungu wakati pengine hata ‘ Matendo ‘ yao hayaakisi hivyo.
Viongozi wa Dini nchini Tanzania jifunzeni kuacha Kutumika vibaya na ‘ Kuwadhihaki ‘ Marais waliopita na mkiweza jaribuni pia Kuchunga ‘ Ndimi ‘ zenu msije mkaharibu na mkajiharibia pia. Kama mna Madai yenu au Uchumi umeyumba tafuteni njia nzuri kuliko hizi za Kinafiki na Kujipendekeza ambazo kwakweli sasa zimeanza ' Kutochosha ' Watanzania wenye akili na wenye Mapenzi mema na hii nchi.
Ninachojua ni kwamba Marais wote waliowahi kupita hapa Tanzania walikuwa na Upendo na Mapenzi mema kabisa kwa Viongozi wote wa Dini nchini na ndiyo maana hata katika Awamu zao zote hadi hii ya sasa nchi imekuwa ina Amani hivi ( japo kuna Changamoto za hapa na pale ) ila Kitendo cha Kusema kuwa Rais fulani anaonekana Kuwapenda Viongozi wa Dini na haijawahi Kutokea Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nitakupinga na sitoogopa pia kusema kuwa katika Viongozi wa Dini ambao sasa naanza ' Kuwadharau ' ni huyu Askofu Kakobe na nawaonea mno ' huruma ' Wanaosali Kwake kwani yawezekana wakawa wanafanana nae ' Kiunafiki ' na hata ' Kiuwongo ' pia.
Namkubali sana tena mno Rais Dkt. Magufuli ila sipendi jinsi ambavyo ' anapambwa ' kwa ' gharama ' za Kuwadhihaki na Kuwadharau Marais wengine waliopita hapa Tanzania ambao nina uhakika wa 100% kama wasingeongoza nchi hii vyema na Kusimamia hii Amani basi hata huyu Rais Dkt. Magufuli asingeikuta Tanzania ikiwa katika hali hii ya Umoja na Mshikamano. Nimesikitika na naanza sasa ' Kuogopa ' jinsi Tanzania ya sasa inavyoenda. Mwenyezi Mungu atusaidie!
Nawasilisha.
Duh! Kumbe jamaa ni MrundiIssue yote iko hapo. Anaogopa kurudishwa kwao Burundi.
Mi naamini katka reasoning!!! Haya tuseme anawaalika viongozi wengi wa dini so wht? Kama Taifa hiyo ni sehemu moja tu ya jamii!!! Mbona haaliki na makundi mengine?? Rais ni bingwa wa kujipendekeza uchaguzi huoooo!!! Anajua ktk mahusiano kaharibu kila kona!!!! Push up zile za mwaka 2015 ziliishia wap?? Safari hii tutarajie nini Mr.stone???Naomba hili liwe ni ONYO langu Kubwa, Takatifu na la mwisho Kwako sawa? Usije ukanilaumu mbele ya safari tafadhali. Shauri yako!
Sasa wewe hutaki amsifu Mh. RAIS MAGUFULI? Sasa kama Askofu Kakobe ametubu hutaki tena! Hayo maneno ametoa ya moyoni mwake! Usimlazimishe aseme ambayo hayapo moyoni mwake. Pia na wewe una uhuru wakoKama Kiongozi wa Dini ukiwa ‘ Muongo ‘ hivi tutaaminije kuwa unaweza ukawaombe Watu na ‘ wakapona ‘ matatizo yao? Na je tutaaminije kuwa Wewe ni Kiongozi kweli wa Dini kama labda Wewe siyo Mchawi au Mnafiki tu? Hivi nyie Viongozi wa Dini wa nchini Tanzania hasa wa miaka hii mna matatizo gani? Mmerogwa na nani? GENTAMYCINE sitowavumilieni na nitawasema hata kama ' mtanichukia ' sawa tu ila sijazoea ' Unafiki ' ambao nyie mnaonekana ' mmebarikiwa ' nao.
Namwomba Askofu Zakaria Kakobe upesi kama siyo haraka sana akimbie lilipo Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akaombe Msamaha / Radhi na akimaliza huko akimbie pale Msasani Nyumbani kwa Mzee Mwinyi kisha akimaliza aende Nyumbani kwa Mzee Mkapa kama ni Masaki au Mtwara au Lushoto Tanga na mwishoni aende ama Mikocheni au Msoga kwa Mzee Kikwete akawaombe msamaha / radhi kwa aina ya ‘ Upotoshaji ‘ mkubwa na usiovumilika aliousema mahala fulani muda si mrefu.
Kauli yake kwamba “ Tokea Uhuru wa nchi hii hajawahi kuona na haijapata kutokea Kuona Rais ambaye ana Mapenzi mema na Viongozi wa Dini kama Rais wa Awamu hii ya Tano Dkt. Magufuli na kwamba amekuwa akiwaweka karibu mno Wao Viongozi “.
Labda asichokijua tu Askofu Kakobe ni kwamba kuna aina mbili za Watu na tabia zao ambapo kuna Wale ambao huwa wanakuwa karibu mno na Viongozi wa Dini lakini hawapendi ‘ Maonyesho ‘ au ‘ Sifa ‘ na pia kuwa wale ambao huwa wanapenda kuwa karibu na Viongozi wa Dini kwa kutaka tu ‘ Ufahari ‘ na Kujionyesha kuwa Wao ni Wacha Mungu wakati pengine hata ‘ Matendo ‘ yao hayaakisi hivyo.
Viongozi wa Dini nchini Tanzania jifunzeni kuacha Kutumika vibaya na ‘ Kuwadhihaki ‘ Marais waliopita na mkiweza jaribuni pia Kuchunga ‘ Ndimi ‘ zenu msije mkaharibu na mkajiharibia pia. Kama mna Madai yenu au Uchumi umeyumba tafuteni njia nzuri kuliko hizi za Kinafiki na Kujipendekeza ambazo kwakweli sasa zimeanza ' Kutochosha ' Watanzania wenye akili na wenye Mapenzi mema na hii nchi.
Ninachojua ni kwamba Marais wote waliowahi kupita hapa Tanzania walikuwa na Upendo na Mapenzi mema kabisa kwa Viongozi wote wa Dini nchini na ndiyo maana hata katika Awamu zao zote hadi hii ya sasa nchi imekuwa ina Amani hivi ( japo kuna Changamoto za hapa na pale ) ila Kitendo cha Kusema kuwa Rais fulani anaonekana Kuwapenda Viongozi wa Dini na haijawahi Kutokea Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nitakupinga na sitoogopa pia kusema kuwa katika Viongozi wa Dini ambao sasa naanza ' Kuwadharau ' ni huyu Askofu Kakobe na nawaonea mno ' huruma ' Wanaosali Kwake kwani yawezekana wakawa wanafanana nae ' Kiunafiki ' na hata ' Kiuwongo ' pia.
Namkubali sana tena mno Rais Dkt. Magufuli ila sipendi jinsi ambavyo ' anapambwa ' kwa ' gharama ' za Kuwadhihaki na Kuwadharau Marais wengine waliopita hapa Tanzania ambao nina uhakika wa 100% kama wasingeongoza nchi hii vyema na Kusimamia hii Amani basi hata huyu Rais Dkt. Magufuli asingeikuta Tanzania ikiwa katika hali hii ya Umoja na Mshikamano. Nimesikitika na naanza sasa ' Kuogopa ' jinsi Tanzania ya sasa inavyoenda. Mwenyezi Mungu atusaidie!
Nawasilisha.
Kibaya zaidi huyu mnafiki kakabe hana pasport yake. Imechukuliwa na mamlaka husika baada ya kumtaka rais atubu. Sasa rais hakutubu ila kakobe ndie anaeonekana kutubu kwa rais. Maana yake hii ni nini? Mungu hakumtuma kama alivyotaka kutuaminisha ila ilikuwa ni katika ujanja ujanja wake wa kuficha ukwasi aliowapiga masikini wanaokusanyika kwake pale mwenge. Baada ya kupima upepo imemlazimu yeye kusujudu kwa rais kuomba huruma. Sii kwa kingine ila bilion nane aliyosunda kwenye account yake anayoiita ya kanisa.Kama Kiongozi wa Dini ukiwa ‘ Muongo ‘ hivi tutaaminije kuwa unaweza ukawaombe Watu na ‘ wakapona ‘ matatizo yao? Na je tutaaminije kuwa Wewe ni Kiongozi kweli wa Dini kama labda Wewe siyo Mchawi au Mnafiki tu? Hivi nyie Viongozi wa Dini wa nchini Tanzania hasa wa miaka hii mna matatizo gani? Mmerogwa na nani? GENTAMYCINE sitowavumilieni na nitawasema hata kama ' mtanichukia ' sawa tu ila sijazoea ' Unafiki ' ambao nyie mnaonekana ' mmebarikiwa ' nao.
Namwomba Askofu Zakaria Kakobe upesi kama siyo haraka sana akimbie lilipo Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akaombe Msamaha / Radhi na akimaliza huko akimbie pale Msasani Nyumbani kwa Mzee Mwinyi kisha akimaliza aende Nyumbani kwa Mzee Mkapa kama ni Masaki au Mtwara au Lushoto Tanga na mwishoni aende ama Mikocheni au Msoga kwa Mzee Kikwete akawaombe msamaha / radhi kwa aina ya ‘ Upotoshaji ‘ mkubwa na usiovumilika aliousema mahala fulani muda si mrefu.
Kauli yake kwamba “ Tokea Uhuru wa nchi hii hajawahi kuona na haijapata kutokea Kuona Rais ambaye ana Mapenzi mema na Viongozi wa Dini kama Rais wa Awamu hii ya Tano Dkt. Magufuli na kwamba amekuwa akiwaweka karibu mno Wao Viongozi “.
Labda asichokijua tu Askofu Kakobe ni kwamba kuna aina mbili za Watu na tabia zao ambapo kuna Wale ambao huwa wanakuwa karibu mno na Viongozi wa Dini lakini hawapendi ‘ Maonyesho ‘ au ‘ Sifa ‘ na pia kuwa wale ambao huwa wanapenda kuwa karibu na Viongozi wa Dini kwa kutaka tu ‘ Ufahari ‘ na Kujionyesha kuwa Wao ni Wacha Mungu wakati pengine hata ‘ Matendo ‘ yao hayaakisi hivyo.
Viongozi wa Dini nchini Tanzania jifunzeni kuacha Kutumika vibaya na ‘ Kuwadhihaki ‘ Marais waliopita na mkiweza jaribuni pia Kuchunga ‘ Ndimi ‘ zenu msije mkaharibu na mkajiharibia pia. Kama mna Madai yenu au Uchumi umeyumba tafuteni njia nzuri kuliko hizi za Kinafiki na Kujipendekeza ambazo kwakweli sasa zimeanza ' Kutochosha ' Watanzania wenye akili na wenye Mapenzi mema na hii nchi.
Ninachojua ni kwamba Marais wote waliowahi kupita hapa Tanzania walikuwa na Upendo na Mapenzi mema kabisa kwa Viongozi wote wa Dini nchini na ndiyo maana hata katika Awamu zao zote hadi hii ya sasa nchi imekuwa ina Amani hivi ( japo kuna Changamoto za hapa na pale ) ila Kitendo cha Kusema kuwa Rais fulani anaonekana Kuwapenda Viongozi wa Dini na haijawahi Kutokea Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nitakupinga na sitoogopa pia kusema kuwa katika Viongozi wa Dini ambao sasa naanza ' Kuwadharau ' ni huyu Askofu Kakobe na nawaonea mno ' huruma ' Wanaosali Kwake kwani yawezekana wakawa wanafanana nae ' Kiunafiki ' na hata ' Kiuwongo ' pia.
Namkubali sana tena mno Rais Dkt. Magufuli ila sipendi jinsi ambavyo ' anapambwa ' kwa ' gharama ' za Kuwadhihaki na Kuwadharau Marais wengine waliopita hapa Tanzania ambao nina uhakika wa 100% kama wasingeongoza nchi hii vyema na Kusimamia hii Amani basi hata huyu Rais Dkt. Magufuli asingeikuta Tanzania ikiwa katika hali hii ya Umoja na Mshikamano. Nimesikitika na naanza sasa ' Kuogopa ' jinsi Tanzania ya sasa inavyoenda. Mwenyezi Mungu atusaidie!
Nawasilisha.
Mkuu you are out of order.mkuu.Kwanza uaskofu huo alipewa na nani? self proclaimed bishops! takataka kabisa!
Duh JF kuna jeshi kubwa la wanafiki. Ninyi si ndiyo mlikua mnamshangilia hapa jamvini jameni??? mwenzenu alipopata misukosuko hamkumsaidia zaidi kila kukicha mpo mitandaoni na anon ID... Olympic wakianzisha mashindano ya unafiki lazima Tanzania itachukua medali zote. unafiki kwa viongozi wa serikalini, unafiki kwa viongozi wa dini unafiki mpaka kwa watu wa kawaida bora Kakobe na viongozi wengine wanaweza kuwa wanalinda maslahi lakini unafiki wa Watanzania wa kawaida ni bure bila malipo hasa hapa JF. Unafiki oyeeeeeeeeHakuna kitu kibaya kama UNAFIKI
Sent from my SM using Tapatalk
I am in good order, and very normal, actualy normal than usual normality! to me, this is the right description of him!Mkuu you are out of order.mkuu.
"The word Takataka" halikuhitajika kutumika na mtu kama wewe!!!!!!!!!!!!!!
.
Duuu mimi simo wala sio muumini wa dini hiyoDuh JF kuna jeshi kubwa la wanafiki. Ninyi si ndiyo mlikua mnamshangilia hapa jamvini jameni??? mwenzenu alipopata misukosuko hamkumsaidia zaidi kila kukicha mpoa mitandaoni na anon ID... Olympic wakianzishi mashindano ya unafiki lazima Tanzania itachukua medali zote. unafiki kwa viongozi wa serikalini, uanfiki kwa viongozi wa dini unafiki mpaka kwa watu wa kawaida bora kakobe na viongozi wengine wanweza kuwa wanalinda maslahi lakini unafiki wa Watanzania wa kawaida ni bure bila malipo hasa hapa JF. Unafiki oyeeeeeeee
Nimesmea JF na watanzania, hivyo na mimi kihesabu na mimi nipo. Siwezi kukana hilo maana mimi ni Mtanzania pia. Ila kiukweli sisi Watanzania ni wanafiki sana.Duuu mimi simo wala sio muumini wa dini hiyo
Sasa umejumuisha kila mtu humu utafikiri unanijua, kweli UNAFIKI oyeee na wewe.ukiwemo
Dhana mbaya sana na wewe umelidhihirisha hilo na kutoa dukuduku kwa dhana tu
Sent from my SM using Tapatalk
Most of themNimesmea JF na watanzania, hivyo na mimi kihesabu na mimi nipo. Siwezi kukana hilo maana mimi ni Mtanzania pia. Ila kiukweli sisi Watanzania ni wanafiki sana.
hapo umesema ila nadhani wanafika 90%Most of them
Sent from my SM using Tapatalk
Kakobe huwezi amini ndo yeyeLeo hujapotea njia, kaza butu njia hiyo hiyo HUPOTEI KWENDA NA KURUDI BHANA, uko vizuri