Askofu Kakobe wahi Kaburini kwa Nyerere nenda kwa akina Mzee Mwinyi, Mkapa na Kikwete ukawaombe radhi haraka!

Viongozi nao siku hizi si wa kuwaamini sana. Ni wasainii mwazo mwisho. Mmoja, Mkubwa tu Darusalama leo kwenye dua kampa prom ya kufa mtu Mhe. mwenye Spika yake huko mjengoni Dodoma kuwa kila anayemwita ni lazima aende.
 
Mkuu Mimi nimeshaliona hili swala siku nyingi sana. Nilikuwa namheshimu sana huyu kiongozi ,lakini kwa sasa naanza kumshangaa . Hivi kweli ni huyu huyu Kakobe ninayemfahamu au ni mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app

TRA wa nchini Nicaragua ambao mara nyingi sana kama siyo mno hupokea ' Maagizo ' kutokea juu huwa hawana ' Masihara ' Mkuu.
 
Kama Kiongozi wa Dini ukiwa ‘ Muongo ‘ hivi tutaaminije kuwa unaweza ukawaombe Watu na ‘ wakapona ‘ matatizo yao? Na je tutaaminije kuwa Wewe ni Kiongozi kweli wa Dini kama labda Wewe siyo Mchawi au Mnafiki tu? Hivi nyie Viongozi wa Dini wa nchini Tanzania hasa wa miaka hii mna matatizo gani? Mmerogwa na nani? GENTAMYCINE sitowavumilieni na nitawasema hata kama ' mtanichukia ' sawa tu ila sijazoea ' Unafiki ' ambao nyie mnaonekana ' mmebarikiwa ' nao.

Namwomba Askofu Zakaria Kakobe upesi kama siyo haraka sana akimbie lilipo Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akaombe Msamaha / Radhi na akimaliza huko akimbie pale Msasani Nyumbani kwa Mzee Mwinyi kisha akimaliza aende Nyumbani kwa Mzee Mkapa kama ni Masaki au Mtwara au Lushoto Tanga na mwishoni aende ama Mikocheni au Msoga kwa Mzee Kikwete akawaombe msamaha / radhi kwa aina ya ‘ Upotoshaji ‘ mkubwa na usiovumilika aliousema mahala fulani muda si mrefu.

Kauli yake kwamba “
Tokea Uhuru wa nchi hii hajawahi kuona na haijapata kutokea Kuona Rais ambaye ana Mapenzi mema na Viongozi wa Dini kama Rais wa Awamu hii ya Tano Dkt. Magufuli na kwamba amekuwa akiwaweka karibu mno Wao Viongozi “.

Labda asichokijua tu Askofu Kakobe ni kwamba kuna aina mbili za Watu na tabia zao ambapo kuna Wale ambao huwa wanakuwa karibu mno na Viongozi wa Dini lakini hawapendi ‘ Maonyesho ‘ au ‘ Sifa ‘ na pia kuwa wale ambao huwa wanapenda kuwa karibu na Viongozi wa Dini kwa kutaka tu ‘ Ufahari ‘ na Kujionyesha kuwa Wao ni Wacha Mungu wakati pengine hata ‘ Matendo ‘ yao hayaakisi hivyo.

Viongozi wa Dini nchini Tanzania jifunzeni kuacha Kutumika vibaya na ‘ Kuwadhihaki ‘ Marais waliopita na mkiweza jaribuni pia Kuchunga ‘ Ndimi ‘ zenu msije mkaharibu na mkajiharibia pia. Kama mna Madai yenu au Uchumi umeyumba tafuteni njia nzuri kuliko hizi za Kinafiki na Kujipendekeza ambazo kwakweli sasa zimeanza ' Kutochosha ' Watanzania wenye akili na wenye Mapenzi mema na hii nchi.

Ninachojua ni kwamba Marais wote waliowahi kupita hapa Tanzania walikuwa na Upendo na Mapenzi mema kabisa kwa Viongozi wote wa Dini nchini na ndiyo maana hata katika Awamu zao zote hadi hii ya sasa nchi imekuwa ina Amani hivi ( japo kuna Changamoto za hapa na pale ) ila Kitendo cha Kusema kuwa Rais fulani anaonekana Kuwapenda Viongozi wa Dini na haijawahi Kutokea Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nitakupinga na sitoogopa pia kusema kuwa katika Viongozi wa Dini ambao sasa naanza ' Kuwadharau ' ni huyu Askofu Kakobe na nawaonea mno ' huruma ' Wanaosali Kwake kwani yawezekana wakawa wanafanana nae ' Kiunafiki ' na hata ' Kiuwongo ' pia.

Namkubali sana tena mno Rais Dkt. Magufuli ila sipendi jinsi ambavyo ' anapambwa ' kwa ' gharama ' za Kuwadhihaki na Kuwadharau Marais wengine waliopita hapa Tanzania ambao nina uhakika wa 100% kama wasingeongoza nchi hii vyema na Kusimamia hii Amani basi hata huyu Rais Dkt. Magufuli asingeikuta Tanzania ikiwa katika hali hii ya Umoja na Mshikamano. Nimesikitika na naanza sasa ' Kuogopa ' jinsi Tanzania ya sasa inavyoenda. Mwenyezi Mungu atusaidie!

Nawasilisha.
Kakobe ni tapeli kama matapeli wengine mjini, yeye kila wakati anatafuta fursa.Poleni vipofu mnaomfuata Kakobe
 
watu wanaowaamini hawa matapeli hadi wanawapelekea hela zaoeti sadaka huwa nawashangaa sana
na hapa inathibitisha alikutwa na hatia ya kupiga hela za waumini na kuingia dili na shetani
 
Lakini hii kauli "Tokea Uhuru wa nchi hii hajawahi kuona na haijapata kutokea Kuona Rais ambaye ana Mapenzi mema na Viongozi wa Dini kama Rais wa Awamu hii ya Tano Dkt. Magufuli na kwamba amekuwa akiwaweka karibu mno Wao Viongozi" ukiiangalia kwa jicho la 3, unaona kama ina sarcasm fulani hivi.. Ukweli kabisa ukiangalia Raisi wa awamu ya 5 ndo raisi pekee ambae ameshapambana na Maaskofu karibia wa madhehebu yote makubwa hapa nchini.. Wapo baadhi ya Maaskofu ambao hati zao za kusafiria zimechukuliwa, waraka wa Maaskofu wa Kilutheri na ule wa Maaskofu wa Kikatoliki ulishambuliwa na Uongozi wa awamu ya 5, tokea kwa Raisi wake.. Yaani kwa kifupi Utawala wa awamu hii ndo umetia fora kuwasumbua Viongozi wa dini..

Kitendo cha Kakobe kuzitaja awamu zilizopita ilikuwa ni njia yake kuigombanisha kauli yake na wote ambao wataisoma.. Amefanikiwa kutengeneza front nyingine ya Utawala wa awamu ya 5 kuendelea kunyoshewa vidole.. Kwenye uzi huu, wengi wetu tunaonyesha kwa mifano kauli yake ilivyokuwa sio sahihi..

Na watu wanavyopenda sifa, wanashangilia tuu kama mazuzu:D:D
 
Kama Kiongozi wa Dini ukiwa ‘ Muongo ‘ hivi tutaaminije kuwa unaweza ukawaombe Watu na ‘ wakapona ‘ matatizo yao? Na je tutaaminije kuwa Wewe ni Kiongozi kweli wa Dini kama labda Wewe siyo Mchawi au Mnafiki tu? Hivi nyie Viongozi wa Dini wa nchini Tanzania hasa wa miaka hii mna matatizo gani? Mmerogwa na nani? GENTAMYCINE sitowavumilieni na nitawasema hata kama ' mtanichukia ' sawa tu ila sijazoea ' Unafiki ' ambao nyie mnaonekana ' mmebarikiwa ' nao.

Namwomba Askofu Zakaria Kakobe upesi kama siyo haraka sana akimbie lilipo Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akaombe Msamaha / Radhi na akimaliza huko akimbie pale Msasani Nyumbani kwa Mzee Mwinyi kisha akimaliza aende Nyumbani kwa Mzee Mkapa kama ni Masaki au Mtwara au Lushoto Tanga na mwishoni aende ama Mikocheni au Msoga kwa Mzee Kikwete akawaombe msamaha / radhi kwa aina ya ‘ Upotoshaji ‘ mkubwa na usiovumilika aliousema mahala fulani muda si mrefu.

Kauli yake kwamba “
Tokea Uhuru wa nchi hii hajawahi kuona na haijapata kutokea Kuona Rais ambaye ana Mapenzi mema na Viongozi wa Dini kama Rais wa Awamu hii ya Tano Dkt. Magufuli na kwamba amekuwa akiwaweka karibu mno Wao Viongozi “.

Labda asichokijua tu Askofu Kakobe ni kwamba kuna aina mbili za Watu na tabia zao ambapo kuna Wale ambao huwa wanakuwa karibu mno na Viongozi wa Dini lakini hawapendi ‘ Maonyesho ‘ au ‘ Sifa ‘ na pia kuwa wale ambao huwa wanapenda kuwa karibu na Viongozi wa Dini kwa kutaka tu ‘ Ufahari ‘ na Kujionyesha kuwa Wao ni Wacha Mungu wakati pengine hata ‘ Matendo ‘ yao hayaakisi hivyo.

Viongozi wa Dini nchini Tanzania jifunzeni kuacha Kutumika vibaya na ‘ Kuwadhihaki ‘ Marais waliopita na mkiweza jaribuni pia Kuchunga ‘ Ndimi ‘ zenu msije mkaharibu na mkajiharibia pia. Kama mna Madai yenu au Uchumi umeyumba tafuteni njia nzuri kuliko hizi za Kinafiki na Kujipendekeza ambazo kwakweli sasa zimeanza ' Kutochosha ' Watanzania wenye akili na wenye Mapenzi mema na hii nchi.

Ninachojua ni kwamba Marais wote waliowahi kupita hapa Tanzania walikuwa na Upendo na Mapenzi mema kabisa kwa Viongozi wote wa Dini nchini na ndiyo maana hata katika Awamu zao zote hadi hii ya sasa nchi imekuwa ina Amani hivi ( japo kuna Changamoto za hapa na pale ) ila Kitendo cha Kusema kuwa Rais fulani anaonekana Kuwapenda Viongozi wa Dini na haijawahi Kutokea Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nitakupinga na sitoogopa pia kusema kuwa katika Viongozi wa Dini ambao sasa naanza ' Kuwadharau ' ni huyu Askofu Kakobe na nawaonea mno ' huruma ' Wanaosali Kwake kwani yawezekana wakawa wanafanana nae ' Kiunafiki ' na hata ' Kiuwongo ' pia.

Namkubali sana tena mno Rais Dkt. Magufuli ila sipendi jinsi ambavyo ' anapambwa ' kwa ' gharama ' za Kuwadhihaki na Kuwadharau Marais wengine waliopita hapa Tanzania ambao nina uhakika wa 100% kama wasingeongoza nchi hii vyema na Kusimamia hii Amani basi hata huyu Rais Dkt. Magufuli asingeikuta Tanzania ikiwa katika hali hii ya Umoja na Mshikamano. Nimesikitika na naanza sasa ' Kuogopa ' jinsi Tanzania ya sasa inavyoenda. Mwenyezi Mungu atusaidie!

Nawasilisha.
Nasubiri kwa hamu siku ibada ya Pasaka au Christmas itakapofanyika kitaifa kanisani kwake Full Gospel Bible Fellowship-FGBF Mwenge au tawi lake lolote Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchanganya dini na siasa ni hatari sana hasa kwa Tanzania ambapo vilitenganishwa kimsingi.
Siku hizi kuna hata salamu za kidini kwenye shughuli za kisiasa.
 
Kama Kiongozi wa Dini ukiwa ‘ Muongo ‘ hivi tutaaminije kuwa unaweza ukawaombe Watu na ‘ wakapona ‘ matatizo yao? Na je tutaaminije kuwa Wewe ni Kiongozi kweli wa Dini kama labda Wewe siyo Mchawi au Mnafiki tu? Hivi nyie Viongozi wa Dini wa nchini Tanzania hasa wa miaka hii mna matatizo gani? Mmerogwa na nani? GENTAMYCINE sitowavumilieni na nitawasema hata kama ' mtanichukia ' sawa tu ila sijazoea ' Unafiki ' ambao nyie mnaonekana ' mmebarikiwa ' nao.

Namwomba Askofu Zakaria Kakobe upesi kama siyo haraka sana akimbie lilipo Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akaombe Msamaha / Radhi na akimaliza huko akimbie pale Msasani Nyumbani kwa Mzee Mwinyi kisha akimaliza aende Nyumbani kwa Mzee Mkapa kama ni Masaki au Mtwara au Lushoto Tanga na mwishoni aende ama Mikocheni au Msoga kwa Mzee Kikwete akawaombe msamaha / radhi kwa aina ya ‘ Upotoshaji ‘ mkubwa na usiovumilika aliousema mahala fulani muda si mrefu.

Kauli yake kwamba “ Tokea Uhuru wa nchi hii hajawahi kuona na haijapata kutokea Kuona Rais ambaye ana Mapenzi mema na Viongozi wa Dini kama Rais wa Awamu hii ya Tano Dkt. Magufuli na kwamba amekuwa akiwaweka karibu mno Wao Viongozi “.

Labda asichokijua tu Askofu Kakobe ni kwamba kuna aina mbili za Watu na tabia zao ambapo kuna Wale ambao huwa wanakuwa karibu mno na Viongozi wa Dini lakini hawapendi ‘ Maonyesho ‘ au ‘ Sifa ‘ na pia kuwa wale ambao huwa wanapenda kuwa karibu na Viongozi wa Dini kwa kutaka tu ‘ Ufahari ‘ na Kujionyesha kuwa Wao ni Wacha Mungu wakati pengine hata ‘ Matendo ‘ yao hayaakisi hivyo.

Viongozi wa Dini nchini Tanzania jifunzeni kuacha Kutumika vibaya na ‘ Kuwadhihaki ‘ Marais waliopita na mkiweza jaribuni pia Kuchunga ‘ Ndimi ‘ zenu msije mkaharibu na mkajiharibia pia. Kama mna Madai yenu au Uchumi umeyumba tafuteni njia nzuri kuliko hizi za Kinafiki na Kujipendekeza ambazo kwakweli sasa zimeanza ' Kutochosha ' Watanzania wenye akili na wenye Mapenzi mema na hii nchi.

Ninachojua ni kwamba Marais wote waliowahi kupita hapa Tanzania walikuwa na Upendo na Mapenzi mema kabisa kwa Viongozi wote wa Dini nchini na ndiyo maana hata katika Awamu zao zote hadi hii ya sasa nchi imekuwa ina Amani hivi ( japo kuna Changamoto za hapa na pale ) ila Kitendo cha Kusema kuwa Rais fulani anaonekana Kuwapenda Viongozi wa Dini na haijawahi Kutokea Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nitakupinga na sitoogopa pia kusema kuwa katika Viongozi wa Dini ambao sasa naanza ' Kuwadharau ' ni huyu Askofu Kakobe na nawaonea mno ' huruma ' Wanaosali Kwake kwani yawezekana wakawa wanafanana nae ' Kiunafiki ' na hata ' Kiuwongo ' pia.

Namkubali sana tena mno Rais Dkt. Magufuli ila sipendi jinsi ambavyo ' anapambwa ' kwa ' gharama ' za Kuwadhihaki na Kuwadharau Marais wengine waliopita hapa Tanzania ambao nina uhakika wa 100% kama wasingeongoza nchi hii vyema na Kusimamia hii Amani basi hata huyu Rais Dkt. Magufuli asingeikuta Tanzania ikiwa katika hali hii ya Umoja na Mshikamano. Nimesikitika na naanza sasa ' Kuogopa ' jinsi Tanzania ya sasa inavyoenda. Mwenyezi Mungu atusaidie!

Nawasilisha.

Tatizo hujui tofauti kati ya viongozi wa dini na viongozi wa Kiroho. nitafute inbox nikuelemishe kaka yangu
 
Kwa haraka haraka tu mimi naweza kusema hivi huko nyuma kabla ya awamu ya JPM,Serikali yetu ilikuwa inawatambua viongozi wetu wa dini wa upande wa TEC tu, na hao ndiyo pekee walikuwa wanaweza hata kupita VIP Lounge wakiwa wako katika safari zao. Kwa hiyo viongozi wetu wengine wa dini waliobaki na ambao ni maarufu kama hawa akina Askofu Kakobe na akina Mzee wa Upako, walikuwa wanasafiri kwa kupitia lounge za kawaida kama watu wengine. Sina uhakika ila kwa namna ambavyo ninayaona mazingira ya uhusiano wa Serikali na viongozi hawa kwa sasa, yaweza kuwa imeongeza wigo wa kuwatambua kama Serikali na hivyo orodha ya Taasisi za viongozi wa dini ambao wanatakiwa kusafiri kupitia VIP lounge inaweza kuwa imekuwa revised na wameongezeka zaidi sasa hivi na si TEC tu peke yake. Hii ni intuition yangu tu na vilevile si kwaba hii ndiyo hoja ya msingi iliyomfanya Askofu Kakbobe aseme hayo aliyoyasema, ila yaweza kuwa ni mojawapo
 
Kakobe yupo sahihi kwa upande wake.

Katika Awamu zilizopita viongozi wa dini hasa ya kikristo waliokua wakitambulikana ni kutoka TEC(RC) na CCT. Hawa wengine akina Kakobe hawakua na nafasi. Leo katika Awamu hii akina Kakobe na wenzake wamekua wakialikwa katika hafla ya kiserikali ni lazima warecognize hilo.

Kakobe ni Mchungaji/Askofu anaetafuta waumini waje kwako, mwacheni asake kondoo toka pande zote za nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha mchezo na uchunguzi wa TRA Kanisa la Full Gospel Fellowship Mwenge na vile accounts zake zilivyochambuliwa kama Karanga. By the way vipi wale Maaskofu wa Katoliki, Anglikana na KKKT wao hawaalikwi kuhudhuria funguzi za Mh. Rais?

Wale wana akili timamu na wanajitambua.
 
Kama Kiongozi wa Dini ukiwa ‘ Muongo ‘ hivi tutaaminije kuwa unaweza ukawaombe Watu na ‘ wakapona ‘ matatizo yao? Na je tutaaminije kuwa Wewe ni Kiongozi kweli wa Dini kama labda Wewe siyo Mchawi au Mnafiki tu? Hivi nyie Viongozi wa Dini wa nchini Tanzania hasa wa miaka hii mna matatizo gani? Mmerogwa na nani? GENTAMYCINE sitowavumilieni na nitawasema hata kama ' mtanichukia ' sawa tu ila sijazoea ' Unafiki ' ambao nyie mnaonekana ' mmebarikiwa ' nao.

Namwomba Askofu Zakaria Kakobe upesi kama siyo haraka sana akimbie lilipo Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akaombe Msamaha / Radhi na akimaliza huko akimbie pale Msasani Nyumbani kwa Mzee Mwinyi kisha akimaliza aende Nyumbani kwa Mzee Mkapa kama ni Masaki au Mtwara au Lushoto Tanga na mwishoni aende ama Mikocheni au Msoga kwa Mzee Kikwete akawaombe msamaha / radhi kwa aina ya ‘ Upotoshaji ‘ mkubwa na usiovumilika aliousema mahala fulani muda si mrefu.

Kauli yake kwamba “ Tokea Uhuru wa nchi hii hajawahi kuona na haijapata kutokea Kuona Rais ambaye ana Mapenzi mema na Viongozi wa Dini kama Rais wa Awamu hii ya Tano Dkt. Magufuli na kwamba amekuwa akiwaweka karibu mno Wao Viongozi “.

Labda asichokijua tu Askofu Kakobe ni kwamba kuna aina mbili za Watu na tabia zao ambapo kuna Wale ambao huwa wanakuwa karibu mno na Viongozi wa Dini lakini hawapendi ‘ Maonyesho ‘ au ‘ Sifa ‘ na pia kuwa wale ambao huwa wanapenda kuwa karibu na Viongozi wa Dini kwa kutaka tu ‘ Ufahari ‘ na Kujionyesha kuwa Wao ni Wacha Mungu wakati pengine hata ‘ Matendo ‘ yao hayaakisi hivyo.

Viongozi wa Dini nchini Tanzania jifunzeni kuacha Kutumika vibaya na ‘ Kuwadhihaki ‘ Marais waliopita na mkiweza jaribuni pia Kuchunga ‘ Ndimi ‘ zenu msije mkaharibu na mkajiharibia pia. Kama mna Madai yenu au Uchumi umeyumba tafuteni njia nzuri kuliko hizi za Kinafiki na Kujipendekeza ambazo kwakweli sasa zimeanza ' Kutochosha ' Watanzania wenye akili na wenye Mapenzi mema na hii nchi.

Ninachojua ni kwamba Marais wote waliowahi kupita hapa Tanzania walikuwa na Upendo na Mapenzi mema kabisa kwa Viongozi wote wa Dini nchini na ndiyo maana hata katika Awamu zao zote hadi hii ya sasa nchi imekuwa ina Amani hivi ( japo kuna Changamoto za hapa na pale ) ila Kitendo cha Kusema kuwa Rais fulani anaonekana Kuwapenda Viongozi wa Dini na haijawahi Kutokea Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nitakupinga na sitoogopa pia kusema kuwa katika Viongozi wa Dini ambao sasa naanza ' Kuwadharau ' ni huyu Askofu Kakobe na nawaonea mno ' huruma ' Wanaosali Kwake kwani yawezekana wakawa wanafanana nae ' Kiunafiki ' na hata ' Kiuwongo ' pia.

Namkubali sana tena mno Rais Dkt. Magufuli ila sipendi jinsi ambavyo ' anapambwa ' kwa ' gharama ' za Kuwadhihaki na Kuwadharau Marais wengine waliopita hapa Tanzania ambao nina uhakika wa 100% kama wasingeongoza nchi hii vyema na Kusimamia hii Amani basi hata huyu Rais Dkt. Magufuli asingeikuta Tanzania ikiwa katika hali hii ya Umoja na Mshikamano. Nimesikitika na naanza sasa ' Kuogopa ' jinsi Tanzania ya sasa inavyoenda. Mwenyezi Mungu atusaidie!

Nawasilisha.
Ndugu yangu muonee tu huruma huyu mchungaji. Kabinywa kawa mpole. Acha atetee ugali wake cz ndo maelekezo aliyopewa,asipofanya HVO kibano kitamrudia.
 
Back
Top Bottom