Askofu Kakobe pitia hapa

Kuna
Imani na kutii Neno hufanyika kwa hiyari.

Mru asikilize kisha akionekana ni mgumu kwenda na viwango mnamtapika
Kuna Lile kasri lake pale mbezi chini rainbow. HV anaishi au atafanya kanisa. Hizi imani bana, makanisa mengi ya kilokole yanafanya Kama cult badala ya ibada.....sishangai kibwetere alichowafanya waganda na huyy mzee anayelazimisha mavazi ya waumini utadhan mkewe na watoto wake hawavai.
 
Kuna
Kuna Lile kasri lake pale mbezi chini rainbow...HV anaishi au atafanya kanisa...hizi imani bana....makanisa mengi ya kilokole yanafanya Kama cult badala ya ibada.....sishangai kibwetere alichowafanya waganda na huyy mzee anayelazimisha mavazi ya waumini utadhan mkewe na watoto wake hawavai
They're real cults.

Their followers are always ready for sale or anything.

Kakobe can do them anything.

Wakati nipo chuo nimesali sana pale. Nimeshiriki mpaka makanisa yao ya nyumbani.
 
Makanisa yako mengi, hamia kwingine au unaweza kuanzisha kanisa lako kabisa, acha kujilalamisha.
 
Pascal Mayalla aliwahi kumuhoji Kakobe akamuuliza zile cheni za dhahabu unazochukuaga za waumini hua unazipeleka wapi?Kakobe aliwaka mbaya kabisaaaaaa.
Hebu thibitisha alimhoji lini na wapi na ikatangazwa au kuchapishwa kwenye chombo gani!
 
Pascal Mayalla aliwahi kumuhoji Kakobe akamuuliza zile cheni za dhahabu unazochukuaga za waumini hua unazipeleka wapi? Kakobe aliwaka mbaya kabisaaaaaa.
Katika watu wanakuwaga na maswali magumu wakiamua fanya kazi yao kwa welidi basi Pascal Mayalla yumo. Kuna muda lile jambo ambalo waandishi hawaliezi litamka wakiliogopa basi hulisema.

Na hili ni jambo nahisi limenyimaga uteuzi hadi leo kwani Naskia watu wa huko hueka sana mambo Moyoni hata umfanyie mema gani.(Tangu amtangwe mzee lile swali akaitwa njaa)
 
Kuna ukweli kwenye hii post,

Ukiangalia kwa umakini hao wanaojiita viongozi wa dini wengi wanafanya kinyume kabisa na mafundisho ya Yesu ya kukemea uovu na uonevu wao kutwa kusifia wenye maamlaka ili tu wasibishe matumbo yao.

Kwa Tanzania Askofu Mwamakula ndio mfuasi wa Yesu wa ukweli hao wengine ni matapeli tu na wachumia tumbo.
Dini ni mpango wa shetani ili kuficha ujumbe halisi na maana halisi ya kazi aliyokuja kuifanya Bwana Yesu Kristo.

Natamani sana watu wajue hili. Kinachoendelea katika makanisa yetu mengi ni tofauti kabisa na kile Yesu alifanya na kuwaacha mitume wake wakiendeleze.
 
Back
Top Bottom