Yeye kachanjwa? Kishawahi kuwaambia serikali kuleta chanjo ya malaria? Why chanjo ya corona?
Lunatic![]()
Kwanini hazipo chanjo za malaria hadi leo si jambo la kuongelea ki pedestrian namna hiyo jombi.
Bora hata ungeuliza basi kuliko kujifanya wajua mno 😂😂😂😂😂!
Khaaaaaa!

