Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo: Polisi waingilia kati

Hatujaletwa duniani tukubali wanachosema maaskofu wetu kila mmoja ana utashi wake kadri Mungu alivyomjalia, Maaskofu ni binadamu kama mimi na wewe kwa nini wanilazimishe niseme hapana, katiba ipo tutaisoma tuielewe tutatoa maamuzi sisi wenyewe, Gwajima wasiwasi wake ni nini?
Tanzania ni nchi ya demokrasia kila mtu ana haki ya Kile anachokitaka.

Mbona kununua Papai la mnada kwa padri tena kwa Tsh 100,000 then unafutiwa ma dhambi yako hili mbona huchekechi Akili mkuu?
 
Ndio kwanza nasikia kwako ukinunua papai kwa Padri unaondolewa dhambi.
 
Kumbe humu; kuna mavuvuzela wengi sana; Baba Pengo alisema" Maaskofu wapo sahihi sana na ni kweli kuna makosa mengi ktk katiba pendekezwa, tatizo la maaskofu ni mwisho wakati wanamalizia kwa kusema, wakapige kura ya hapana!". Nendeni ktk you tube mukaone na siyo mnakurupuka tu"
 
Laiti ungekuwa wewe ungejisikiaje kashfa kama ile????
Ebu tuuu tuchukulie kiubinadamu wa kawaida bila kujali katiba inasema nn.
Gwajima ana kesi ya kujibu dhidi ya maneno yake!!!

kwani kasema nini hebu nimegee na mimi 0717 15 20 86 nione kama ni matusi au mtu kaambiwa ukweli?
 
Jamii na Taifa letu limepoteza maadili...Inasikitisha sana kwa mtu eti anajiita Mchungaji amekosa maadili na kuanza kuropoka matusi makubwa kwa mtu ambaye ni sawa na Baba yake huku akiwa amesimama kwenye mimbari....Shame kwa anajiita Mchungaji Gwajima...

Ni hatari mno maana sasa wale ambao tulitarajia ndio kete ya mwisho kwa konesha maadili ambayo yameporomoka kumbe wao ndo mashetani wa kuua maadili kabisa....

Matusi yale ya Gwajima kwa Pengo hayavumiliki na mtu yoyote yule mwenye akili timamu...Nimeshuhudia watu wakilia waliposikiliza ile Clip ya Gwajima....

Gwajima nakuambia hivi machozo ya wazee na kina mama waliyoyatoa pindi waliposikiliza Clip ya matusi Makubwa uliyoyatoa kwa mtu ambaye hata hajakukosea yatakurudi...

Time will tell...

Mkuu naamini uyasemayo maana katika hali ya kawaida tuuu haiwezekani kiongozi wa kiroho ambae wafuasi wako wanakutegemea kuwa mfano wa maadili mema unageuka kuwa mtukanaji uliekosa staha tena ukiwa mimbarini. Hii inanipa wasiwasi kama kweli ndani yake kuna uwepo wa MUNGU tusubiri tuone
 
complainant a.k.a Folio B hapo ni nani? kama pengo hajaenda kufungua kesi, mlalamikaji hapo ni nani? jamhuri anakuwa mlalamikaji sio automatically bali ni baada ya actual complainant kwenda kulalamika/kufungua kesi polisi. kiuhalisia jamhuri sio complainant, bali ni constructive/indirect complainant tu, actual complainant ni mtu aliyedhurika. sasa hapo pengo kama hajaenda kulalamika na hajachukuliwa maelezo mfano kesi ikianza kusikilizwa baada ya ph, gwajima akakataa kulingana na section 9 or 10 of CPA kwamba anahitaji kupata nakala ya maelezo ya complainant aliyoyaandika polisi hapo atakayeandika na ambaye alidhurika hadi kesi ikafunguliwa ni nani? ni kova? kwasababu kilichokuwa kinatakiwa ni pengo kwenda polisi kutoa malalamiko yake na kuandikwa maelezo, kesi itafunguliwa halafu ikishaanza yale maelezo sisi mawakili wa kujitegemea mara nyingi baada ya ph tunayaomba jamhuri watupatie nakala ya aliyelalamika na ambaye ataitwa kama shahidi. hapo maelezo ya nani tutapewa?tutapambana huko mahakamani gwajima naye si ataweka wakili na ninatamani niipate hiyo kesi.

Ndugu Hute,

Maelezo mazuri. Tutambue jambo moja, both mimi na wewe tunaongelea nadharia tukijaribu kutengeneza namna mashtaka yalivyo/yatakavyokuwa.

Moja, tukubaliane kuwa kisheria polisi wanayo mamlaka kufungua jalada/kuendesha uchunguzi panapo chembe za jinai.

Kuna mjadala unaendelea, which is very right, kuwa kwa namna swala lilivyo je ni jinai ama madai? Ukiniuliza mimi nitakwambia inategemea na mantiki gani mtu anaisimamia.

Mbili, mara nyingi napenda kuwaambia wanasheria hasa wale wachanga ama wanafunzi na other laymen kuwa sheria ni zaidi ya maandishi unayoyasoma. Unapokuja katika application ya sheria busara ni lazima ikuongoze katika jambo moja la msingi, mantiki.

Ni kwa mantiki utagundua kuwa polisi wanaweza in their capacity kufungua mashtaka ya jinai dhidi ya Askofu Gwajima kwa kuhatarisha amani maana matamshi yake dhini ya Cardinal Pengo yanakwenda beyond ya taharuki inayoweza kusababishwa na induviduals wawili wasio na ushawishi kwa umma. Lakini inapokuja kuwa Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo tambua ni scenario tofauti kabisa. Wawili hao ni viongozi wenye ufuasi wa watu nyuma yao. Matamshi yao yaweza kutengeneza hostility baina ya makundi na kupelekea uvunjifu wa amani. Hili haliitaji polisi kupata ridhaa ya Cardinal Pengo kumburuta mtu mahakamani. Ni wajibu wa polisi/jamhuri kikatiba kulinda usalama wa watu na mali zao.

Mantiki nyingine ni ya Cardinal Pengo katika individual capacity yake kupeleka malalamiko polisi kudai kudhalilishwa/defamation. Kesi hii itakuwa ni jukumu la Cardinal Pengo si tu kudai kudhalilishwa bali pia kuithibitishia mahakama juu ya madhara aliyopata kutokana na matamshi ya Askofu Gwajima.

Sasa Hute ndugu yangu usiuzunguke mbuyu, jaribu tu kuukumbatia. And by the way mimi si muandaaji wa hiyo charge sheet so wacha tusubirie maana wito ulitolewa na umeitikiwa vema huko kwa afande Kova. Next!!!!?
 
Last edited by a moderator:

Good comment
 
blabla zoote ulizoongea hapa, point ninayoikubali ni kuwa "polisi waweza kufungua jalada la uchunguzi", na kwa scenario hii, litafunguliwa ili kupima kama yale aliyoyatamka gwajima yanaweza kuwa yameunda kosa lolote hata kama pengo hajaenda kushitaki. na shitaka litakalofunguliwa hapo halitakuwa shitaka la kusababisha madhara kwa pengo ambaye hajaenda kushitaki, ninachokubaliana na wewe ni kwamba shitaka litatokea pale ambapo matamshi yake yatakuwa yamesababisha watu wengine either team pengo vs team gwajima wakafanya makosa ya jinai. however yote katika yote, yale matamshi ya gwajima hayajafikia uzito wa kuweza kumshitaki kwasababu mpaka sasa haionekani amesababisha madhara gani katika jamii.

unaweza kujiona wewe ni mwanasheria wa zamani na labda unatuona sisi kama wa siku hizi tusio na uzoefu, kumbe wewe ndio upo astray kabisa katika hili. hata hivyo wacha tusubiri tuone mwisho wake. mpaka sasa sijaona madhara yeyote ya yale matamshi kwa raia wengine zaidi ya madhara kwa pengo mwenyewe ambaye hajaenda kufungua kesi.

vilevile, unatakiwa kujua kuwa, maana ya kufungua jalada la uchunguzi ni ili kuchunguza tu kama kuna kosa lolote limetokea hapo. hii ni tofauti na ile victim anapoenda kushitaki. na kwa uzoefu wangu, polisi wanalitumia sana jalada la uchunguzi kuwadhibiti watu kwa muda mrefu kwasababu wakishakufungulia kajalada hata wakikaweka kapuni kuna siku yeyote ukiwaudhi wanakachukua tena ni aina fulani hivi ya utumwa wanayotaka kumfanyia huyu gwajima.

lakini yote ktk yote, niseme toka moyoni, GWAJIMA ALIPITILIZA na alienda kibinadamu mno ndio maana utaona hata kwenye kujitetea kwenye ile clip yake anashindwa kujitetea. alikosea kabisa iko wazi. lakini sidhani kama itakuwa sahihi yeye kama kiongozi wa dini ya watu wengi kufanyiwa anachofanyiwa na polisi.

ilitokea kipindi cha mwaka juzi kuna ustaadhi mmoja aliyefariki mwaka jana mwanza yule, alihubiri wachungaji na mapadre wauawe kule zanzibar na alisambaza na cd nyingi tz nzima, na kweli mapadre wengi walimwagiwa tindikali na kupigwa risasi. ustaadhi huyu hakufanyiwa anayofanyiwa gwajima, hivyo serikali isiwe double standard kwenye dini zetu. na pengo aliyetoka sumbawanga kama alivyo pinda asione kuwa na yeye sasa ni PM. unapoamua kuwachukulia hatua viongozi wa dini yenye wafuasi wengi, usifanye kama unavyofanya kwa raia asiye na wafuasi kwasababu utapanda chuki. mpaka sasaivi hatujasikia lolote toka kwa maaskofu wa katoliki au wakilokole etc kuhusiana na kauli za gwajima that means wanamsapoti. kama hata maaskofu wa katoliki hawajaongea lolote kumtetea pengo mwenzao, hauoni kuwa gwajima anasapoti ya wale maaskofu wote? hata kama hawasemi lakini wako nyuma yao, na hata kama hawatasema kwenye majukwaa inawezekana wakasambaza sumu kupitia mahubiri kwenye ibada zao. polisi msiende haraka halafu mjue kuweka balance kati ya dini hizi mbili.what gwajima has done is not too grave to deserve what you are doing to him.

vilevile, next time, Gwajima uwe makini usirudie kuongea kwa haraka bila kutathmini, ona sasa usumbufu unatokea na waumini wako wanapata shida kuona unaburuzwa polisi...why all this, unnecessary kabisa.
 
Asiiii Hute,

Wewe unajaribu kuni_provoke sasa na mimi siwezi kuingia tunduni humo.

Halafu natumai unaifahamu vema section 89(1) ya penal code, na ndiyo maana wewe mwenyewe umemtahadharisha kuwa anatakiwa kuwa mwangalifu katika matamshi yake.

Sasa pia umeleta kitu kingine hapa, nani yupo kutambua level ya hatari katika uvunjifu wa amani? Hili pia unahitaji jibu kutoka kwangu tena? My conclusion was(and still is) swala lipo polisi na uchunguzi unaendelea maana wito umetolewa na kuitikiwa vema. Ni wao ndiyo wenye wajibu wa kufunga huo uchunguzi ama kupeleka mahakamani. Mwisho wa siku both mimi na wewe tunachofanya ni ku_speculate tu. Kwangu mimi ningependa sana swala zima liishie mahakamani ili ku_set precedence, yes ni mahakama tu ndizo zenye jukumu la kutafsiri sheria so ili mjadala huu uishe vema huko ndipo mbivu na mbichi zitajulikana.

For the sake of our debate(na mingine yote) usiwe unachukulia vitu too personal ili uwe kwenye position nzuri ya kujenga hoja zako maana unaniparamia as if una_debate na msemaji wa jeshi la polisi.
 
ngoja tusubiri. hilo jalada la uchunguzi polisi wakichukua maelezo watalipeleka kwa mawakili wa serikali ambao watayasoma maelezo ya suspect na maelezo ya mashahidi yatakayokuwepo kwenye jalada na kwa kipimo cha sheria itaangaliwa ni wapi sheria imevunjwa. kama hakuna kosa lililotendeka mawakili hawatalipeleka mahakamani. kama lipo basi watampeleka mahakamani. kwahiyo kama polisi wanafikiri kitendo kile kimevunja sheria za nchi, criminal case hapo itafunguliwa. lakini kusema ukweli polisi wameenda haraka mno na inaonekana walikuwa wanammendea sana gwajima. mbona huyu kiongozi wa dini wamemwita haraka lakini shehe aliyesambaza cd na kuhamasisha mauaji ya mapadre na wakristo hadi watu wakapigwa risasi zanzibar na kumwagiwa tindikali hakuitwa kama wanavyofanya hapa....hizo ni siasa ndio maana nilikuwa nasema waende taratibu na kwa manufaa ya amani ya nchi wasitibue yasiyo na faida kwasababu tu ya kumtetea pengo aliyeupande wa ccm yao.

kuhusiana na kuchukuliwa vitu too personal, siwezi kulijibu kwasababu huwa sijibizani na watu wenye uelewa mdogo kufikia conlcusion za ajabu kama za kwako. siwezi poteza muda kabisa.
 
Nguvu na juhudi kubwa imeonyeshwa na jeshi la Polisi mkoa wa Dar-es-salaam kumshughulikia Askofu Gwajima kwa tuhuma za kumkashifu Kardinali Pengo.

Lakini ni jeshi hili hili ambalo lilishindwa kuonyesha juhudi na nguvu kama hiyo katika kuwashughulikia watu wanaotuhumiwa kumfanyia fujo Waziri Mkuu Mstaafu,Jaji Joseph Warioba.

Swali:Hivi kati ya Wazir Mkuu Mstaafu na Askofu (kadinali) nani alipaswa kupewa umuhimu zaidi ingawa wote wanastahili kuheshimiwa?
 
‘‘Maji hayawezi kuelea hewani" 1+1=2 hivyo wote wanao umuhimu kila mmoja kwa nafasi yake katika jamii
 
kuhusiana na kuchukuliwa vitu too personal, siwezi kulijibu kwasababu huwa sijibizani na watu wenye uelewa mdogo kufikia conlcusion za ajabu kama za kwako. siwezi poteza muda kabisa.

Uuuuushhh

Ona sasa,,,moyo wako una vitu ambavyo akili yako haiwezi kuvipembenua.

:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
 
Nguvu na juhudi kubwa imeonyeshwa na jeshi la Polisi mkoa wa Dar-es-salaam kumshughulikia Askofu Gwajima kwa tuhuma za kumkashifu Kardinali Pengo.

Lakini ni jeshi hili hili ambalo lilishindwa kuonyesha juhudi na nguvu kama hiyo katika kuwashughulikia watu wanaotuhumiwa kumfanyia fujo Waziri Mkuu Mstaafu,Jaji Joseph Warioba.

Swali:Hivi kati ya Wazir Mkuu Mstaafu na Askofu (kadinali) nani alipaswa kupewa umuhimu zaidi ingawa wote wanastahili kuheshimiwa?

Wote....
 
We jifanye umeelimika sanaaaa.. Hebu kayaseme hayo aliyosema Gwajima kwa Wazazi wako halafu waambie siyo matusi ... Uone

Gwajima kawatia wehu kama mbwa vichaa hata hawatambui matusi ni nini...yaani wapo wapo tu..
 
samahani, hivi wewe ni mwanamke mwenzangu au ndo hivyo tena wale nanihii... mana unapenda vijembe na ushangingi! anyway sio kosa lako...ni lusifa kaamua kukutumia kwa njia hiyo! Ila Mungu ni mwaminifu atakutoa huko uliko. in short haumo, kuna lidude linaendesha mwili wako... yaan hamna mtu hapo.

Wewe ni msukule...period
 
na wewe bhana..akili huwa mnaziacha wapi? yaan unashindwa kutofautisha ...kule alikuwa anaongea na watu wengi tena akiwa amekasirika, na sasa anaongea na watu wawili watatu tena hasira zikiwa hamna, itafananaje?

Hivi msukule anaweza kuwaza tofauti na maagizo ya bwana wake! Namaanisha wewe huwezi kufikiri nje ya utawala wa gwajima juu yako.
 
Back
Top Bottom