Askofu Gwajima unaanza vibaya!


Mkuu inaelekea unajua mengi.
Watu wana mategemeo sana na Mbunge Gwajima.
Hebu isome hiyo kadi ambayo ilitumika kualika watu.
Diwani kachapia?
Fafanua, kadi hiyo SIYO UONGO.
Kulingana na kadi Mbunge Gwajima alitakiwa kuja hapo.
 
Mkuu kanusha uthibitidsho.
Muongo nani?
 
Mkuu unakuwa ukimya.
Jibu nondo hiyo.
 
Mkuu unakuwa ukimya.
Jibu nondo hiyo.

Nadhani Nimenyoosha Taarifa sio Vema Kuendeleza Malumbano. Kwenye wengi Taarifa pia ni Nyingi. Mtoa Hoja alisema Ametonywa na mtu, Watu Hutonywa Mengi, lakini Ukweli ni kwamba Mweshimiwa Diwani alifanya Kikao Chake na Wadau Kwa Sababu ndio Ilikuwa Ratiba Yake na Mweshimiwa Mbunge tulikuwa Naye akifanya Ratiba zake. Kila mtu alikuwa Kwenye Ratiba zake akiwatumikia Wananchi! Asanteni
 
Nimekereka unasema ati uongo, hiyo kadi inakuumbua.

Sisi tumeshabikia sana Mb Gwajima, kutofika kulipunguza matumaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…