Mwanasiasa hawezi kuwaheshimu Raia wakati siyo waliomweka hapo alipo.Askofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha ka doa.
Si mwanzo mzuri.
Hawa viongozi wanakosea sanaHaukuwekwa wazi!
Lakini kikao cha kwanza cha mbunge na waliokuchagua hutokei, sijui tuichukulieje?
Haikuwapendeza waliohudhuria.
Usiwe mwepesi kulaumu na kulalamika jitahidi kwanza kujua sababu zilizosababishahilo litokee, kiasha kuanzia hapo ndo utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kutoa ya kuongea chochote.Askofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha ka doa.
Si mwanzo mzuri.
Juhudi zako zote zikaangukia pua.Nileteeni Gwajimaa,Nileteeni Gwajimaa, huyo ameshetwa.
Gwajima hakuchaguliwa na wananchi na hivyo hana sababu ya kuwaheshimu.Hawa viongozi wanakosea sana
Akiendelea hivyo atapuuzwa na wananchi na kusemelewa kwa boss wake
Angeweza kutuma ujumbe, au udhuru.Usiwe mwepesi kulaumu na kulalamika jitahidi kwanza kujua sababu zilizosababishahilo litokee, kiasha kuanzia hapo ndo utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kutoa ya kuongea chochote.
Atokee kwani amechaguliwa na wananchi?Haukuwekwa wazi!
Lakini kikao cha kwanza cha mbunge na waliokuchagua hutokei, sijui tuichukulieje?
Haikuwapendeza waliohudhuria.
Ile ilikua bangi ya Makambako!Nireteeeni Gwajima
Nireteeeeeeeni Gwajima
Nireteeeeeeeeeeeeeeni Gwajima
Gwajima yuko Japan jamani. Anashugulikia vijana wa kawe wakasome
Watu wasitarajie wabunge hawa kuheshima wananchi ili hali wananajua hawakuchaguliwa.Mwanasiasa hawezi kuwaheshimu Raia wakati siyo waliomweka hapo alipo.
Hapo Magufuli ndio kila kitu kwa Gwajima maana ndiye mwenye uwezo wa kubadili hatma yake, ninyi mpo tu kama ngazi.
Mshauri kama uko karibu naye, ukiita watu na wakakutegemea, kuwaacha solemba wana kulaani!Gwajima kwasasa anajenga imani kwa wananchi ,juzi juzi aliwalisha pilau waislamu na kuwapa buku 10 10 kisha akawaahidi kuwajengea ofisi kubwa maeneo ya jimboni kwake!! Hapo ndipo kutakuwa na katibu wake wa kusikiliza kero za jimbo.
Kaletwa na watu au na tume?.Nileteeni Gwajimaa,Nileteeni Gwajimaa, huyo ameshetwa.
Sioni tatizo katika hili kama Binadamu yoyote mwingine ambaye hutokewa na dharula. Kikubwa kama alitoa Udhuru basi amefanya Jambo jema.Askofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha ka doa.
Si mwanzo mzuri.
Halima kijasho kikamtoka na Sasa anakula tapishi lakeGwajima ameshatubu hii dhambi kwa wananchi?
View attachment 1656251View attachment 1656252View attachment 1656253
Alichaguliwa?...akikao cha kwanza cha mbunge na waliokuchagua hutokei, sijui tuichukulieje?
Ule mwaliko aliandaa Mbunge ama Diwani? Napata shaka sana kama alikuwa ni Mbunge!Askofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha ka doa.
Si mwanzo mzuri.
Nireteeeni Gwajima
Nireteeeeeeeni Gwajima
Nireteeeeeeeeeeeeeeni Gwajima