Askofu Gwajima tunakuhitaji Kanisani Kawe

Eeee Mungu, turejeshee Askofu wetu Kanisani, Iwapo kuna njama chafu na mungu mwenye nguvu ambaye wewe unamtumikia akulinde, ulimkemea askofu kwa kosa la usaliti, yuda alisaliti pia ndo maana ni nadra sana mtu kuzaa mtoto na kumwita yuda, usaliti ni mbaya tumeona kwenye maandiko kibao ktika vitabu vitakatifu, ulifanya lililojema.

Askofu aliyesaliti wengine alipaswa kutubu na kuomba radhi, matusi yapi ambayo gwajima kasema kuliko usaliti??? enyi wenye hekima, gwajima kaja anatembea arudi akiwa anatembea mwenyewe, hadithi na mambo kama hayo tusingependa kusikia.

Mungu aliyeweka mbingu na viongozi ktk duniani basi akulinde na uovu wa aina yoyote, iwapo utapotea kwa kukemea usaliti, wasaliti watamchukiza mungu hadi kiwango cha mwisho.

Naomba tumuombee askofu aliyejasiri ktk dunia ya leo ya mwenye nguvu mpishe.

Nawasilisha

Poleni mlie waumini, anayeweza kumwambia askofu hana akili na matusi yote aliyoyatoa ni aibu sana kwake, halafu naona tatizo hasa na waumini wake, hivi Mungu pia yupo hapo. suala la Mbasha bado leo matusi kwa namna ile halafu bado anakuwa askofu wa Mungu dah. Mungu utusaidie kutofautisha
 
Jamani tuache mapenzi ya ukatoliki tuseme ukweli kosa alilofanya gwajima nilipi ukisema ukweli unakuwa mtumwa kwenye nchi hii?mbona askofu amekula hela za escrow hajaitwa police mm ni mkatoliki ila cjapendezwa na hili jambo lililo mkuta gwajima ila Mungu hawezi kuwaacha wenye roho mbaya ipo cku ukweli utakuwa wazi naimani kanisa katoliki linauwezo wakubadilisha chama endapo wataamua kwani kuwa karibu na serikali kunafanya washindwe kujiamulia nihayo tu

Wewe hujui kutukana mtu matusi hadhalani ni kosa la jinai? hata kamma amekuchukulia mkeo. Kwanza askofu gani awe anarusha matusi hadhalani hivo? I dought!! unaweza kutumia maneno hata ya kejeli tu kuwasilisha ujumbe nasio lazima utukane, Gwajima amedhalilisha "Uaskofu" eti mtumishi wa Mungu, Mungu gani? kwanza kesi yake ya kuiba mke wa mtu imeishia wapi?
 
Jamani tuache mapenzi ya ukatoliki tuseme ukweli kosa alilofanya gwajima nilipi ukisema ukweli unakuwa mtumwa kwenye nchi hii?mbona askofu amekula hela za escrow hajaitwa police mm ni mkatoliki ila cjapendezwa na hili jambo lililo mkuta gwajima ila Mungu hawezi kuwaacha wenye roho mbaya ipo cku ukweli utakuwa wazi naimani kanisa katoliki linauwezo wakubadilisha chama endapo wataamua kwani kuwa karibu na serikali kunafanya washindwe kujiamulia nihayo tu

Nakubaiana nawe na nakubaliana na Gwajima hii ni michezo tu michafu . Pendo did us WRONG .
 
Kazi ya mfipa pinda kumtetea rafiki yake pengo
 
Jamani tuache mapenzi ya ukatoliki tuseme ukweli kosa alilofanya gwajima nilipi ukisema ukweli unakuwa mtumwa kwenye nchi hii?mbona askofu amekula hela za escrow hajaitwa police mm ni mkatoliki ila cjapendezwa na hili jambo lililo mkuta gwajima ila Mungu hawezi kuwaacha wenye roho mbaya ipo cku ukweli utakuwa wazi naimani kanisa katoliki linauwezo wakubadilisha chama endapo wataamua kwani kuwa karibu na serikali kunafanya washindwe kujiamulia nihayo tu
Usitoe lawama ambazo huna ujualo, kukamatwa kwa Gwajima hakutokani na kanisa la RC, bali ni kutokana na polisi kuona clip na kusikia jinsi Gwajima alivokuwa akiimuita Askofu Pengo mpuuzi, mjinga na ameshiba maharage, eti hana tofauti na mtoto mdogo alievalishwa pampazi. Yawezekana hayo yasiwe matusi, lakini pia fahamu kukamatwa kwa Gwajima haihusiani na Pengovkushitaki au kufungua kesi yoyote dhidi ya Gwajima.
 
Kosa huzaa kosa na hapo ndipo binadamu huanza kujitambua.
 
Tukio la gwajima ni fursa kwa wachungaji wengne wa jamii yake kujifunza
 
Asipokuwepo kanisani ndo ibada haiendi amekua yy ni mungu makanisa mengine bana preshaa tuuu kama gwajima hayupo mtaanza kutangatanga huku na kule ka wana wapotevu
Wake up people msiabudu mtu
 
Eeee Mungu, turejeshee Askofu wetu Kanisani, Iwapo kuna njama chafu na mungu mwenye nguvu ambaye wewe unamtumikia akulinde, ulimkemea askofu kwa kosa la usaliti, yuda alisaliti pia ndo maana ni nadra sana mtu kuzaa mtoto na kumwita yuda, usaliti ni mbaya tumeona kwenye maandiko kibao ktika vitabu vitakatifu, ulifanya lililojema.

Askofu aliyesaliti wengine alipaswa kutubu na kuomba radhi, matusi yapi ambayo gwajima kasema kuliko usaliti??? enyi wenye hekima, gwajima kaja anatembea arudi akiwa anatembea mwenyewe, hadithi na mambo kama hayo tusingependa kusikia.

Mungu aliyeweka mbingu na viongozi ktk duniani basi akulinde na uovu wa aina yoyote, iwapo utapotea kwa kukemea usaliti, wasaliti watamchukiza mungu hadi kiwango cha mwisho.

Naomba tumuombee askofu aliyejasiri ktk dunia ya leo ya mwenye nguvu mpishe.

Nawasilisha

Mungu gani unamuomba??
 
Huyu hatumwachii hii tabia ikiachwa kuota mizizi watatugawa umoja wa taifa letu.
 
Hapa North West USA.

Naisikiliza Ibada live kupitia Ustream.
Ufufuo na Uzima siyo Gwajima ni Uamsho.

Muhubiri Pastor toka Arusha.
 
Eeee Mungu, turejeshee Askofu wetu Kanisani, Iwapo kuna njama chafu na mungu mwenye nguvu ambaye wewe unamtumikia akulinde, ulimkemea askofu kwa kosa la usaliti, yuda alisaliti pia ndo maana ni nadra sana mtu kuzaa mtoto na kumwita yuda, usaliti ni mbaya tumeona kwenye maandiko kibao ktika vitabu vitakatifu, ulifanya lililojema.

Askofu aliyesaliti wengine alipaswa kutubu na kuomba radhi, matusi yapi ambayo gwajima kasema kuliko usaliti??? enyi wenye hekima, gwajima kaja anatembea arudi akiwa anatembea mwenyewe, hadithi na mambo kama hayo tusingependa kusikia.

Mungu aliyeweka mbingu na viongozi ktk duniani basi akulinde na uovu wa aina yoyote, iwapo utapotea kwa kukemea usaliti, wasaliti watamchukiza mungu hadi kiwango cha mwisho.

Naomba tumuombee askofu aliyejasiri ktk dunia ya leo ya mwenye nguvu mpishe.

Nawasilisha

mungu ndo nini mkuu? Kwa kiingereza God ni tofauti na god/gods. Kwa kiswahili Mungu ni tofauti na Mungu. Kila wakati tujitahidi kuanza kwa herufi kubwa!
 
Ina maana hakuna kaimu mtume hapo wa kuendesha ibada? Kama hamna teueni kaimu mtume aongoze maombi huyu gwajima hatumwachii leo wala kesho.
 
Kumbuka pia kuna mtakatifu anaitwa Yuda Tadei
 
Back
Top Bottom