Askofu Gwajima tunakuhitaji Kanisani Kawe

Askofu Gwajima tunakuhitaji Kanisani Kawe

hapa Ndio washabik wa mzinzi na tapeli gwajima wanapo shindwa kufafanua.

POLISI WAMEPATA WAPI PASPORT NA BASTOLA VILIVYO SAJILIWA KWA JINA LA GWAJIMA????

HIYO CHEQUE BOOK NA TABLETS ZA GWAJIMA WAMEZIPATA WAPI?????

MBONA ALIPOANZA KUHOJIWA JUU YA UHALALI WA MALI ZAKE ALIZIMIA????

KAMA YOOTE ANASINGIZIWA, HUKO KUMKASHIFU PENGO NAKO WANAMSINGIZIA???

JIBUNI HAYO MASWALI IKIWA NYINYI NI WAKWELI.
 
Nakubaiana nawe na nakubaliana na Gwajima hii ni michezo tu michafu . Pendo did us WRONG .

kumbe yule mlevi mwezi mmoja nanusu pale bar alisema mkakati wa kuwaandama watu muhimu wanaomuunga mkono lowassa ilikuwa kweli mmoja kesha zikwa basi sitozalau maneno ya mlevi bila kutafakari.
 
kumbe yule mlevi mwezi mmoja nanusu pale bar alisema mkakati wa kuwaandama watu muhimu wanaomuunga mkono lowassa ilikuwa kweli mmoja kesha zikwa basi sitozalau maneno ya mlevi bila kutafakari.

starrigs,police &makonda,nape sjamskia
 
Uonevu haufai, ukikosea hasa kosa la usaliti kama yuda lazima mamlaka kubwa kuliko nguvu ya usaliti isimame, hongera gwajima uliyetumika kuiwakilisha mamlaka iliyo kuu na juu kwa kukemea suala la usaliti
 
Kama aliona kuna kosa alitakiwa aongee kiustarabu.hakuna mtumishi Wa mungu mwenye kukosa hekima na busara kama yeye mwenye mdomo mchafu.
 
Jf haina tofauti na magazeti ya udaku mtu ana acha kanisa lake anaenda kwa Gwejima kuangalia leo amehubiri nini ili nikaweke kwenye Jf
 
Back
Top Bottom