Askofu Gwajima tunakuhitaji Kanisani Kawe

mungu ndo nini mkuu? Kwa kiingereza God ni tofauti na god/gods. Kwa kiswahili mungu ni tofauti na Mungu. Kila wakati tujitahidi kuanza kwa herufi kubwa!
Masahisho
 
Mtatumia nguvu nyingi sana kumtetetea huyu chizi lakini ukweli utabaki pale pale

Kaanza na mke wa mtu akaona watu wamekaa kimya, sahiz kaona ajiongezee umaarufu kwa kumtukana baba yake

Mungu huadhibu kwa wakati wake, hawahi wala hachelewi

Na ikumbukwe Gwajima hajakamatwa na Kanisa Katoliki, ni mkono wa sheria
 
Hivi kanisa lake si la ufufuo na Uzima,imekuaje kapelekwa Hospitali badala ya kupelekwa kwenye maombi?
 
Eeee Mungu, turejeshee Askofu wetu Kanisani, Iwapo kuna njama chafu na mungu mwenye nguvu ambaye wewe unamtumikia akulinde, ulimkemea askofu kwa kosa la usaliti, yuda alisaliti pia ndo maana ni nadra sana mtu kuzaa mtoto na kumwita yuda, usaliti ni mbaya tumeona kwenye maandiko kibao ktika vitabu vitakatifu, ulifanya lililojema.

Askofu aliyesaliti wengine alipaswa kutubu na kuomba radhi, matusi yapi ambayo gwajima kasema kuliko usaliti??? enyi wenye hekima, gwajima kaja anatembea arudi akiwa anatembea mwenyewe, hadithi na mambo kama hayo tusingependa kusikia.

Mungu aliyeweka mbingu na viongozi ktk duniani basi akulinde na uovu wa aina yoyote, iwapo utapotea kwa kukemea usaliti, wasaliti watamchukiza mungu hadi kiwango cha mwisho.

Naomba tumuombee askofu aliyejasiri ktk dunia ya leo ya mwenye nguvu mpishe.

Nawasilisha

Inakuwaje askofu akawa na lugha ya kihuni iliyokosa kiasi?

Inakuwaje askofu asijue staha za kuongea ambazo zinapaswa kuwa sehemu ya malezi ya kawaida tu ya familia yoyote ya kistaarabu?
 
Eeee Mungu, turejeshee Askofu wetu Kanisani, Iwapo kuna njama chafu na mungu mwenye nguvu ambaye wewe unamtumikia akulinde, ulimkemea askofu kwa kosa la usaliti, yuda alisaliti pia ndo maana ni nadra sana mtu kuzaa mtoto na kumwita yuda, usaliti ni mbaya tumeona kwenye maandiko kibao ktika vitabu vitakatifu, ulifanya lililojema.

Askofu aliyesaliti wengine alipaswa kutubu na kuomba radhi, matusi yapi ambayo gwajima kasema kuliko usaliti??? enyi wenye hekima, gwajima kaja anatembea arudi akiwa anatembea mwenyewe, hadithi na mambo kama hayo tusingependa kusikia.

Mungu aliyeweka mbingu na viongozi ktk duniani basi akulinde na uovu wa aina yoyote, iwapo utapotea kwa kukemea usaliti, wasaliti watamchukiza mungu hadi kiwango cha mwisho.

Naomba tumuombee askofu aliyejasiri ktk dunia ya leo ya mwenye nguvu mpishe.

Nawasilisha
Mungu ni wa wote Si wa gwajima na Wewe tu.
 
KUJARIBU KUMTOROSHA MCHUNGAJI GWAJIMA KUTOKA HOSP.YA TMJ MIKOCHENI.

Mtoa taarifa ASP Pamphil Mholery OCS Kawe akiwa ni ofisa wa zamu mkoa Kinondoni,trehe 29.3.2015 majira ya 0300hrs alipata taarifa kutoka vyanzo vya taarifa kwamba kuna njama za kumtorosha mtuhumiwa.

Akiongozana na makachero majira ya 03:30hrs walifika eneo hilo na kukuta kweli kuna hali sio ya kawaida kwa kuwepo kundi la watu kwa usiku ule.

Wakawakamata watuhumiwa 15 na mmoja wao aitwae Ekomia Diagare alikutwa na begi ambalo lilikutwa na vitu vifuatavyo alivyokuwa akipelekewa Gwajima.

1.Silaha pisto Bereta no CAT 5802 ikiwa na risasi 3.

2.Risasi 17 za shortgun.

3.Vitabu check viwili

4.Passport ya kusafiria yenye jina Gwajima Mathias Joseph no AB544809.

5.Kitabu cha Equity Bank in check.

6.Document mbali mbali za kampuni ya Puma.

7.Charger ya simu na tablets

8.Suruali mbili,makoti mawili,singlend moja,socks pea mbili na boxer moja.

Watuhumiwa wote wako police Oyster kwa mahojiano.
 
We unatakiwa utulie kwanza mahali.ujifunze mana ya mungu na tabia zake. Ziko je. Mung wetu sio mungu wa machafuko na fujo mungu ni mungu wa aman. We na gwajima akoli zenu.za.kutukanatukana na ndio mana hujaelewa kosa la gwaj.
 
Inasemekana hata sadaka na hela za waumini hazijulikani zilipo. Kuna uwezekano pia haadhi ya waumini wakamshtaki mara atokapo hospitali. Tusubiri tuione picha halisi.
 
Gwajima amekamatwa na Polisi sio kanisa katoliki. wewe kama unamuweka kati ya watu wenye hekima ni mapenzi yako. kumbuka hata kama Pengo alikosea hakupaswa kuitwa mpuuzi. Wewe kama ni mkatoliki kweli basi utaelewa kuwa jambo alilofanya Gwajima ni jambo la hatari kwani sio Wakotoliki wote walifurahi kiongozi wao kutukana na hata waumini wa medhehebu mengine. Any way Gwajima amesamehewa.

mlalamikaji ni nani, polisi wanakamata kesi ya uzalilishaji na kashfa bila mwenye kukashifiwa kuomba hivyo, haipo
 
KUJARIBU KUMTOROSHA MCHUNGAJI GWAJIMA KUTOKA HOSP.YA TMJ MIKOCHENI.

Mtoa taarifa ASP Pamphil Mholery OCS Kawe akiwa ni ofisa wa zamu mkoa Kinondoni,trehe 29.3.2015 majira ya 0300hrs alipata taarifa kutoka vyanzo vya taarifa kwamba kuna njama za kumtorosha mtuhumiwa.

Akiongozana na makachero majira ya 03:30hrs walifika eneo hilo na kukuta kweli kuna hali sio ya kawaida kwa kuwepo kundi la watu kwa usiku ule.

Wakawakamata watuhumiwa 15 na mmoja wao aitwae Ekomia Diagare alikutwa na begi ambalo lilikutwa na vitu vifuatavyo alivyokuwa akipelekewa Gwajima.

1.Silaha pisto Bereta no CAT 5802 ikiwa na risasi 3.

2.Risasi 17 za shortgun.

3.Vitabu check viwili

4.Passport ya kusafiria yenye jina Gwajima Mathias Joseph no AB544809.

5.Kitabu cha Equity Bank in check.

6.Document mbali mbali za kampuni ya Puma.

7.Charger ya simu na tablets

8.Suruali mbili,makoti mawili,singlend moja,socks pea mbili na boxer moja.

Watuhumiwa wote wako police Oyster kwa mahojiano.

Ngojera za polis wewe bado zinakuingia kichwani una kichwa gani jamaani panzi au funza?
 
Wewe hujui kutukana mtu matusi hadhalani ni kosa la jinai? hata kamma amekuchukulia mkeo. Kwanza askofu gani awe anarusha matusi hadhalani hivo? I dought!! unaweza kutumia maneno hata ya kejeli tu kuwasilisha ujumbe nasio lazima utukane, Gwajima amedhalilisha "Uaskofu" eti mtumishi wa Mungu, Mungu gani? kwanza kesi yake ya kuiba mke wa mtu imeishia wapi?

Mkapa na neno pumbavu na wavivu wa kufikiri mbona hakukamatwa, JK na viherere vyao wasichana mbona anapeta, ALIMPA UKWELI MSALITI KWA MANENO ALIYOSTAHILI KUPELEWA UKWELI HUO, kwani hana akili hadi asaliti watu
 
Anahitahika zaidi polisi kuliko anavyohitajika kwenye uongo wa misikule

Bwana YESU Kristo wa Nazareti hakuwa na kosa lakini alikamatwa na kupigwa hadi kufa msalabani.Walio mkamata ni askali wa Kiyahudi ambao walitumwa na watawala wao.Watu wengi walipiga kelele kuunga mkono asulubiwe.
 
KUJARIBU KUMTOROSHA MCHUNGAJI GWAJIMA KUTOKA HOSP.YA TMJ MIKOCHENI.

Mtoa taarifa ASP Pamphil Mholery OCS Kawe akiwa ni ofisa wa zamu mkoa Kinondoni,trehe 29.3.2015 majira ya 0300hrs alipata taarifa kutoka vyanzo vya taarifa kwamba kuna njama za kumtorosha mtuhumiwa.

Akiongozana na makachero majira ya 03:30hrs walifika eneo hilo na kukuta kweli kuna hali sio ya kawaida kwa kuwepo kundi la watu kwa usiku ule.

Wakawakamata watuhumiwa 15 na mmoja wao aitwae Ekomia Diagare alikutwa na begi ambalo lilikutwa na vitu vifuatavyo alivyokuwa akipelekewa Gwajima.

1.Silaha pisto Bereta no CAT 5802 ikiwa na risasi 3.

2.Risasi 17 za shortgun.

3.Vitabu check viwili

4.Passport ya kusafiria yenye jina Gwajima Mathias Joseph no AB544809.

5.Kitabu cha Equity Bank in check.

6.Document mbali mbali za kampuni ya Puma.

7.Charger ya simu na tablets

8.Suruali mbili,makoti mawili,singlend moja,socks pea mbili na boxer moja.

Watuhumiwa wote wako police Oyster kwa mahojiano.

Silaha walizojiibia wenyewe kusingizia magaidi ndo wanazitumia kufanya propaganda.
 
Back
Top Bottom