fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Eeee Mungu, turejeshee Askofu wetu Kanisani, Iwapo kuna njama chafu na mungu mwenye nguvu ambaye wewe unamtumikia akulinde, ulimkemea askofu kwa kosa la usaliti, yuda alisaliti pia ndo maana ni nadra sana mtu kuzaa mtoto na kumwita yuda, usaliti ni mbaya tumeona kwenye maandiko kibao ktika vitabu vitakatifu, ulifanya lililojema.
Askofu aliyesaliti wengine alipaswa kutubu na kuomba radhi, matusi yapi ambayo gwajima kasema kuliko usaliti??? enyi wenye hekima, gwajima kaja anatembea arudi akiwa anatembea mwenyewe, hadithi na mambo kama hayo tusingependa kusikia.
Mungu aliyeweka mbingu na viongozi ktk duniani basi akulinde na uovu wa aina yoyote, iwapo utapotea kwa kukemea usaliti, wasaliti watamchukiza mungu hadi kiwango cha mwisho.
Naomba tumuombee askofu aliyejasiri ktk dunia ya leo ya mwenye nguvu mpishe.
Nawasilisha