Askofu Gwajima naamini sasa utakuwa umeona aina ya Spika uliekuwa unamtetea

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,671
149,858
Naomba niweke wazi kuwa nilikushangaa sana siku ile ulipomjia juu Halima Mdee na kumtaka amuombe radhi Spika lakini pasipo wewe kuonya chochote kuhusu mwenendo wa Spika.

Hata hivyo, uzuri Mungu si Athumani leo hii utakuwa umejiona mwenyewe hulka ya Spika na sijui una lipi la kusema.

Yangu ni hayo tu.
 
Siku akiwatetea mtakuwa upande wake na maneno ya kumpamba..hamna jipya!
 
Naomba niweke wazi kuwa nilikushangaa sana siku ile ulipomjia juu Halima Mdee na kumtaka amuombe radhi Spika lakini pasipo wewe kuonya chochote kuhusu mwenendo wa Spika.

Hata hivyo, uzuri Mungu si Athumani leo hii utakuwa umejiona mwenyewe hulka ya Spika na sijui una lipi la kusema.

Yangu ni hayo tu.
Kwa utovu huo wa nidhamu alioonesha Mnyika,alistahili adhabu
 
Naomba niweke wazi kuwa nilikushangaa sana siku ile ulipomjia juu Halima Mdee na kumtaka amuombe radhi Spika lakini pasipo wewe kuonya chochote kuhusu mwenendo wa Spika.

Hata hivyo, uzuri Mungu si Athumani leo hii utakuwa umejiona mwenyewe hulka ya Spika na sijui una lipi la kusema.

Yangu ni hayo tu.
Mkuu, katika yale mayowe anayopiga Gwajima kuna kitu anatafuta
  1. kujiongezea umaarufu
  2. kujipatia ubunge au cheo kingine cha kisiasa
  3. kutafuta huruma ambazo si stahili yake
Tutulie lakini maneno hayo hayatapita kamwe!!!
 
Aise kwa nilichokiona Bungeni leo ni bora bunge lisirushwe live.Nilikuwemo kama mualikwa nimeona unedited version....Ni hatari.
 
Naomba niweke wazi kuwa nilikushangaa sana siku ile ulipomjia juu Halima Mdee na kumtaka amuombe radhi Spika lakini pasipo wewe kuonya chochote kuhusu mwenendo wa Spika.

Hata hivyo, uzuri Mungu si Athumani leo hii utakuwa umejiona mwenyewe hulka ya Spika na sijui una lipi la kusema.

Yangu ni hayo tu.
Nasubiria jumapili ifike nione atakavyoku-download-ia mashambulizi kanisani.

;););)
 
Back
Top Bottom