#COVID19 Askofu Gwajima, kuwa Daktari (PhD Holder) hakumaanishi unaweza kutibu wanadamu

  • ukipata chanjo unaweza kupata corona? Ndio
  • ukipata chanjo unaweza pia kufa kwa corona? Ndio

Sasa kwa nini upate chanjo?
Inapunguza makali ya ugongwa.hupati adhabu sana hulali viuongo vinauma tu na maumivu makali kichwa hakiponi na usikii harufu yeyote ile wala hupati testa ya kitu chochote.nimepona bila kunywa dawa yeyote ila cha moto nimekipata.kama kuna chanjo nachanja mapema adhabu za corona kali sana
 
Huyu mwamba ana PhD ya nini mkuu?
 
Wewe ndo huelewi kuwa na PhD holder hakumanishi kwamba unajua kila kitu!! Gwajima yupo sahihi na mimi namuunga mkono asilimia 100%
Kumbe na wewe ni zombi,

Mbona hilo kanisa analowadanganyia Mazombi wake limeletwa na wazungu,kwanini asiende kwenye matunguli ambayo ndiyo asili ya mwafrika?
 
Sahihisha huyu siyo PhD holder!! Mwenye PhD lazima aseme tafiti yake kafanya wapi?, andiko lake ni lipi na liko wapi??

TUSICHOSHANE
 
Pumbavu mama yako mzazi mdangaji wa buguruni
Laana yako tayari imeshakufika. Andika wosia. Neno langu halianguki chini na wala matusi yako hata mje maelfu, hayabadilshi ukweli huu. Laana iko juu yako tayari. Ila naombea wanao wawe spared kwa kuwa upumbaavu huu ni wako peke yako.
 
Laana yako tayari imeshakufika. Andika wosia. Neno langu halianguki chini na wala matusi yako hata mje maelfu, hayabadilshi ukweli huu. Laana iko juu yako tayari. Ila naombea wanao wawe spared kwa kuwa upumbaavu huu ni wako peke yako.
Same Old tales
 
Hebu tuwacheni mzaha. Hivi gwajima ana Phd ya kitu gani? Hawa wachungaji self trained Phd zao za theology mi naziona kama vyeti feki tu. Hili la corona mi silihusishi na elimu ya gwajima ila nakubaliana nae kwa kiasi kikubwa. Ana hoja za maana.
 
wagonjwa wa,
1.KISUKARI
2.PRESHA
3.MOYO
4.SARATANI
5.UKIMWI
wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…