#COVID19 Askofu Gwajima, kuwa Daktari (PhD Holder) hakumaanishi unaweza kutibu wanadamu

Hayo ni mawazo yake!! Mbona unamhukumu kwa nini??? Wewe una uhakika gani kwamba hizo chanjo zipo salama??? Tuache ushabiki hii nchi kila mtu yupo huru kutoa maoni yake
 
PhD ya ujinga. Uliza vizuri, hana PhD, ni tapeli huyo. Fake pastor, feki tupu huyo. Elimu yake ni feki feki tupu
Wewe unaamini PhD ambayo itakuambia kachanjwe!! Mbona mnangagania chanjo mmepewa nn??? Mm namuunga mkono gwajima 100% heri yeye amesema ukweli
 
Confusing the mass is one of the big agenda to make the mass being confused to believe that the what goes around comes around.
I believe that Bishop is very right for this moment but he will change at the end.
Muda ni mwalimu mzuri ebu tusubii.
 
Kwani gwajima ni nani?kama ile haki ya uhuru wa kuongea bado inapumua,mimi ninadhani kila mwenye masikio asikie,
"Akili za mbayuwayu,chakanganya na zako"
by dkt jmk
 
Wewe unaamini PhD ambayo itakuambia kachanjwe!! Mbona mnangagania chanjo mmepewa nn??? Mm namuunga mkono gwajima 100% heri yeye amesema ukweli

Swine, wasukuma kama ww you are known for your arrogance and illiteracy in society, ndio maana PhD nyingi za kisukuma ni feki feki tu, sbb ur arrogance is known naturally, hamna uwezo wa akili kabisa.
 
Phd Kaitoa wapi huyo mla kondoo , hana hata cheti usanii tu, kila mtu anajiita daktari sikuhizi
 
Askofu Gwajima, tuwaache wataalam wetu wa maswala ya Afya wanapoendelea kutoa Maelekezo mbali mbalimbali juu ya kujikinga na janga hili la Corona likiwepo swala la Chanjo.

Ndio maana hata Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kila anapotamka swala la ugonjwa huu wa Corona anasisitiza tusikilize Maelekezo ya wataalam wetu wa afya maana sio swala la kila mtu kuongea na kutoa Maelekezo kumbuka Rais anauwezo wa kutoa Maelekezo yoyote lakini katika hili swala anawasikiliza wataalamu wa afya.

Sasa wewe Askofu kuyaongea masuala usiokuwa na utaalamu wake sio kitu kizuri pia kumbuka una watu wanaokuamini ukitoa tamko hata kama ni la ovyo hivyo basi tufungwe vinywa vyetu kwa masuala tusiokuwa na utaalam nayo.

View attachment 1869710
Ana phd y

Ana PHD ya nini? atuwekee thesis yake tuone kama ana credibility ya kuoiongolea vaccine
 
Swine, wasukuma kama ww you are known for your arrogance and illiteracy in society, ndio maana PhD nyingi za kisukuma ni feki feki tu, sbb ur arrogance is known naturally, hamna uwezo wa akili kabisa.
Wewe kama unaamini chanjo ndo inakulinda kachanjwe, hata usipokufa na corona utakufa kwa ajali tu!! Au magonjwa mengine!! Mm namwamini Mungu siitaji chanjo yenu hiyo feki!!
 
kwani ukichanjwa;
~unaacha kuvaa barakoa au unaendelea?
~unaweza kupata virusi vingine?
~vp kunawa na social distance, kwako itakuwa free au lazima uendelee kuchukua tahadhari?

unajua haya mambo bwana, kwani nyie mnaobwabwaja humu mshaenda tayari kuchanjwa au na nyie hamziamini hz chanjo?

kwanini tulazimishane, kama una hofu ya kufa kachanje ili usife acha wasiochanjwa waendelee kuambukizana mpaka watakapojifia wenyewe...
 
Back
Top Bottom