#COVID19 Askofu Gwajima, kuwa Daktari (PhD Holder) hakumaanishi unaweza kutibu wanadamu

Askofu Gwajima, tuwaache wataalam wetu wa maswala ya Afya wanapoendelea kutoa Maelekezo mbali mbalimbali juu ya kujikinga na janga hili la Corona likiwepo swala la Chanjo.

Ndio maana hata Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kila anapotamka swala la ugonjwa huu wa Corona anasisitiza tusikilize Maelekezo ya wataalam wetu wa afya maana sio swala la kila mtu kuongea na kutoa Maelekezo kumbuka Rais anauwezo wa kutoa Maelekezo yoyote lakini katika hili swala anawasikiliza wataalamu wa afya.

Sasa wewe Askofu kuyaongea masuala usiokuwa na utaalamu wake sio kitu kizuri pia kumbuka una watu wanaokuamini ukitoa tamko hata kama ni la ovyo hivyo basi tufungwe vinywa vyetu kwa masuala tusiokuwa na utaalam nayo.

View attachment 1869710
Ana PhD gani huyu bana?? Acheni hizo.
 
Madaktari wa tz hawana hoja wanalubuni tu watu kuwa gwajima msimsikilize.
Tusimsilize wakati hoja zake zinamashiko. Pingeni kwa hoja zenye uthibitisho.
Mnakalili mpaka mnapata PhD degree halafu mnakuja kuleta pumba hizi.
Sikia PhD au udokta NA kuwa NA akili YA kupambanua mambo hakuna uhusiano.
Wajinga wengi wako huko maisha YA claim
 
Askofu Gwajima, tuwaache wataalam wetu wa maswala ya Afya wanapoendelea kutoa Maelekezo mbali mbalimbali juu ya kujikinga na janga hili la Corona likiwepo swala la Chanjo.

Ndio maana hata Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kila anapotamka swala la ugonjwa huu wa Corona anasisitiza tusikilize Maelekezo ya wataalam wetu wa afya maana sio swala la kila mtu kuongea na kutoa Maelekezo kumbuka Rais anauwezo wa kutoa Maelekezo yoyote lakini katika hili swala anawasikiliza wataalamu wa afya.

Sasa wewe Askofu kuyaongea masuala usiokuwa na utaalamu wake sio kitu kizuri pia kumbuka una watu wanaokuamini ukitoa tamko hata kama ni la ovyo hivyo basi tufungwe vinywa vyetu kwa masuala tusiokuwa na utaalam nayo.

View attachment 1869710
Haya majina ya gwajima ni laana
Screenshot_20210712-104228_Twitter.jpeg
 
Tuache mihemko. Hata wewe ukinunua dawa toka pharmacy angalao unaangalia expiry date katika kichupa kabla ya kumywesha mtoto. Sembuse chanjo za corona. Raia lazima wawe na mashaka na hasa ukizingatia habari mbalimbali kuhusu corona na chanjo zake zilivyo anza. Hatusemi hatutaki chanjo. Tunasema tujiridhishe na usalama wake. Tusikurupuke eti kwasababu Ulaya au WHO au sijui wakubwa gani wamesema hivi na vile.
Na wala hatusemi hakuna watu wema huko zitokako chanjo bali waovu wanaweza kutumia fursa. Tusiondoe huo uwezekano. Chanjo ziletwe lakini ni baada ya kujiridhisha juu ya usalama wake kwa vizazi vyetu sasa na baadae.
 
Askofu Gwajima, tuwaache wataalam wetu wa maswala ya Afya wanapoendelea kutoa Maelekezo mbali mbalimbali juu ya kujikinga na janga hili la Corona likiwepo swala la Chanjo.

Ndio maana hata Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kila anapotamka swala la ugonjwa huu wa Corona anasisitiza tusikilize Maelekezo ya wataalam wetu wa afya maana sio swala la kila mtu kuongea na kutoa Maelekezo kumbuka Rais anauwezo wa kutoa Maelekezo yoyote lakini katika hili swala anawasikiliza wataalamu wa afya.

Sasa wewe Askofu kuyaongea masuala usiokuwa na utaalamu wake sio kitu kizuri pia kumbuka una watu wanaokuamini ukitoa tamko hata kama ni la ovyo hivyo basi tufungwe vinywa vyetu kwa masuala tusiokuwa na utaalam nayo.

View attachment 1869710
Dikteta Mwendazake ndio amesababisha Nchi imekuwa na watu wapuuzi na wahuni kama Gwajima Ku address Taifa
 
Askofu Gwajima, tuwaache wataalam wetu wa maswala ya Afya wanapoendelea kutoa Maelekezo mbali mbalimbali juu ya kujikinga na janga hili la Corona likiwepo swala la Chanjo.

Ndio maana hata Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kila anapotamka swala la ugonjwa huu wa Corona anasisitiza tusikilize Maelekezo ya wataalam wetu wa afya maana sio swala la kila mtu kuongea na kutoa Maelekezo kumbuka Rais anauwezo wa kutoa Maelekezo yoyote lakini katika hili swala anawasikiliza wataalamu wa afya.

Sasa wewe Askofu kuyaongea masuala usiokuwa na utaalamu wake sio kitu kizuri pia kumbuka una watu wanaokuamini ukitoa tamko hata kama ni la ovyo hivyo basi tufungwe vinywa vyetu kwa masuala tusiokuwa na utaalam nayo.

View attachment 1869710
Wakishauri jipakr mavi utapakaa
 
PhD haihusiani na kuongea ukweli.

Wapo maprofessor kibao tu wanajua ukweli wa kinachoendelea ila wame'mute' kulinda mkate wao.

Ni ushujaa na kujiamini ndio vinavyomfanya ateme cheche, afu nasikia hili gonjwa ni very smart ukilipinga ndo linakupata, hamuoni kama Askofu amejitoa sadaka kwa ajili yenu.

Ila watanzania ni matomaso acha wadungwe kwanza ndo wataelewa huko mbeleni.
 
Hao Watalaamu 100 ni aina ya Tapeli Gwajima, au?! Tuwekee hapa Watalaamu 20 TU, hao 80 baki nao wenyewe!!!
Unafikiri anao basi.

Hata 20 wengi sana mwambie mmoja tu uone kama atakuwekea.
 
Askofu Gwajima, tuwaache wataalam wetu wa maswala ya Afya wanapoendelea kutoa Maelekezo mbali mbalimbali juu ya kujikinga na janga hili la Corona likiwepo swala la Chanjo.

Ndio maana hata Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kila anapotamka swala la ugonjwa huu wa Corona anasisitiza tusikilize Maelekezo ya wataalam wetu wa afya maana sio swala la kila mtu kuongea na kutoa Maelekezo kumbuka Rais anauwezo wa kutoa Maelekezo yoyote lakini katika hili swala anawasikiliza wataalamu wa afya.

Sasa wewe Askofu kuyaongea masuala usiokuwa na utaalamu wake sio kitu kizuri pia kumbuka una watu wanaokuamini ukitoa tamko hata kama ni la ovyo hivyo basi tufungwe vinywa vyetu kwa masuala tusiokuwa na utaalam nayo.

Hao wataalamu wetu wa afya wa hovyo kabisa wa kukopi na kupest ndo unawasifia kwa lipi? Gwajiboy anaupiga mwingi sana
 
Niambie mtaalam mmoja wa Afya duniani, (achana na hawa wanaopasua vichwa watu badala ya miguu, wanaosema wamefanya utafiti halafu hawauweki wazi.

Wanaosema wamejiridhisha halafu wanawaambia watu wasaini form kabisa kabla ya kuchanjwa ili yatakayowatokea wasije kuilaumu serikali) ambaye anaijua hii chanjo,

Au hata anayeijua corona, nami nitakuonyesha wataalamu wasiopungua 100 waliojaa mashaka ila wanalazimishwa kutekeleza wajibu wao.

Hapa si siasa.
Watakua wataalamu wa Whatsapp siyo walioko Lancet
 
Endeleeni kubishana huko ila wenye akili tunajua kuwa linapokuja suala la kutengeneza faida Makapuni kama Johnson & Johnson na wenzake huwa hawana cha kupoteza, yaani afe punda mradi mzigo ufike! Acha tununue share zao tu maana kwa nchi kubwa kama TAnzania "michanjo" yao itaonyesha "utendaji mzuri" na ghafla BOOOOOM share za J&J zinapanda thamani tunakula faida.

Nyuma ya pazia J&J wameteseka sana hadi kuona mzigo wao unaingia kwenye mpango wa COVAX kwa ajili ya soko kubwa kama hili letu.....mchina kapiga figisu wapi badala yake kaambulia soko hafifu la Zanzibar (kwa upande wa Afrika Mashariki) ila huko Latin America ameweza kupenya.

Kuhusu madhara ya chanjo hata msihahangaike yapo mengi tena makubwa, ngoja wakubwa watengeneze faida ndipo mtakuja kugundua kuwa mliingizwa mkenge!
ANGALIZO: usihangahike kutumia "google" kutafuta ukweli wa hizi chanjo maana wanachuja taarifa zooote zinazokinzana na maslahi ya wakubwa ili zisikufikie wewe huko Namungo!
Ila kwako ndiko taarifa zinafika bila kuchujwa?
 
Askofu Gwajima, tuwaache wataalam wetu wa maswala ya Afya wanapoendelea kutoa Maelekezo mbali mbalimbali juu ya kujikinga na janga hili la Corona likiwepo swala la Chanjo.

Ndio maana hata Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kila anapotamka swala la ugonjwa huu wa Corona anasisitiza tusikilize Maelekezo ya wataalam wetu wa afya maana sio swala la kila mtu kuongea na kutoa Maelekezo kumbuka Rais anauwezo wa kutoa Maelekezo yoyote lakini katika hili swala anawasikiliza wataalamu wa afya.

Sasa wewe Askofu kuyaongea masuala usiokuwa na utaalamu wake sio kitu kizuri pia kumbuka una watu wanaokuamini ukitoa tamko hata kama ni la ovyo hivyo basi tufungwe vinywa vyetu kwa masuala tusiokuwa na utaalam nayo.

Gwajima hana PhD. Elimu yake sahihi ni Kidato cha IV na cheti cha mwaka mmoja cha Nairobi. Utazame vizuri wasifu wake aliouandika mwenyewe
 
Back
Top Bottom