Askofu Gwajima: Kutoka Kanisani hadi CHADEMA na sasa CCM akielekea bungeni ili kazi iendelee!

Kama kuna watu nitawaona wajinga na wendawazimu ni wale watakaompigia kura mtu muongo muongo na mjanja mjanja kama Gwaji Uno,ipo clip yake ikitembea humu jukwaani na social networks nyengine akijitapa kwamba yeye ni mtumishi wa Mungu tu huko kwenye siasa hatokaa aingie.

Sasa kama mtu akathubutu kujiita mtumishi wa Mungu tena kwa kuweka nadhiri hadharani kisha leo anaikana nadhiri yake ile kwa kufanya kile kile alichosema hakubaliani nacho hivi huyu level yake ya uwongo itapimwa kwa scale gani?kama amethubutu kumdanganya Mungu (sijui hata anaabudu Mungu gani) wewe raia wa kawaida itakuwaje?
 
Nadhani akichaguliwa watu wa Kawe watakuwa hakuna kilio maana MTU akifa Gwajima anamfufua kama wale misukule na yule binti wa sekondari.
Na kwa sasa hata kiongozi wa CCM aki rest in peace tunamuita MFUFUAJI wa chama kuja kumfufua.
 
Acha upimbi,huyu ni tapeli tu Kama wengine,Hana Cha utakatifu wowote,Kama angekuwa na Mungu,asingeongea hivi harafu Leo anafanya tofauti.
Your browser is not able to display this video.
 
Nilichogundua chadema mnahofia na kumuogopa sana Gwajima!

Mbaya zaidi mlimkaribisha hadi chumbani kwenye chama chenu na yote anayajua
Mzee mimi siyo mwanasiasa ingia kwenye profile yangu search post nazotuma hapa uone kama mimi nina chama,nachofanya naandika facts.

Ifike mahali wote tuelewe siasa siyo lazima ziwe na mashindano na siasa siyo lazima ziwe na uwongo uwongo ni Waafrica tu ndo tuna ujinga huo,badilikeni!!!
 
Nadhani akichaguliwa watu wa Kawe watakuwa hakuna kilio maana MTU akifa Gwajima anamfufua kama wale misukule na yule binti wa sekondari.
Na kwa sasa hata kiongozi wa CCM aki rest in peace tunamuita MFUFUAJI wa chama kuja kumfufua.
Yote yanawezekana kwake aaminiye bwashee!
 
Na Atagombea uraisi 2025.
 
Nilichogundua chadema mnahofia na kumuogopa sana Gwajima!

Mbaya zaidi mlimkaribisha hadi chumbani kwenye chama chenu na yote anayajua
Msikilize alichokiongea hapa kwenye kipande cha video/sauti,shida wengi wenu mmekariri siasa ni kusema uwongo na lolote atakalosema mtu hamaanishi alimradi ametoka kwenye chama chako.

Huo ni uzwazwa!
Acha upimbi,huyu ni tapeli tu Kama wengine,Hana Cha utakatifu wowote,Kama angekuwa na Mungu,asingeongea hivi harafu Leo anafanya tofauti.View attachment 1543621
 
Sijawai kum support Gwajima hata siku moja. Nifuatilie humu post zangu tangu nimejiunga JF kama nimewai kumuunga mkono huyu tapeli!

Labda hujui 2015 sikuwai kumsupport Lowassa. Mie nilikuwa huko huko CCM unakokupigia chapuo sasa!
 
mimi siyo mpenz wa chama chochote ila jana nilikaa mgahawani nikamskia mzee akiongea na wenzake kuwa safari hii hata ccm waweke jiwe kawe watalichagua maana halima mdee wanampenda na ni muongeaji mzuri ila walichogundua ni kuwa kulipo na mbunge wa chadema hakuna maendeleo hvyo ni bora wachgue mbunge wa ccm wapte mirad mwsho wa kunukuu.
sasa ilejioni kuskia katangazwa gwajma nkamuona halima yuleee matupwa
 
Huyo Askofu tapeli mpigeni chini fasta.....

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.....

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.....

Piga chini mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 
Mbunge anatatuaje migogoro ya ardhi, nafikiri ni swala LA kiserikali zaidi na kisheria, hvyo aanze kwa mwenyekiti wa mtaa, mkuu wa wilaya na mkoa, ikishindikana kwa waziri.

Ila sizani kama mbunge ana jukumu LA kutatua migogoro ya ardhi.
 
Ukweli CCM sijawaelewa hata kidogo kule Kawe. CCM sasa inataka kutuaminisha kuwa kumbe ilimtuma Gwajima aunde vikundi vya Kisukuma ili kumsapoti Mheshimiwa. Gwajima hana sifa ya kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri kwa tabia za kijamii, mahusiano yake na jamii, achilia mbali ubaguzi wa kikabila na kidini alionao. CCM tutapiga kura za chuki dhidi yenu Wallah mmetuletea huyu Shetani huku Kawe
 
Aiseee ccm mmekosa watu ? Eti askofu uchwara mjasiria dini mchumia tumbo opportunist chawi ana weledi wa uongozi wa kimwili na kiroho ? Kabisa aisee hasa kucheza sinema za ngono ana weledi wa kutosha , Denzil Washngton wa kawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…