The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,001
- 4,173
Unapoambiwa kwa hisani ya watu wamarekani wewe waelewa nn , MBNA usisikie kwa hisani ya waitaliano au izo nchi ulizotaja. Jiongeze mkuu baba akisema hakuna wakumpinga
Safi sana,nimekuwa nikitafakari huu ubalozi wa marekani nchini mwetu Nabaki kushangaa,inafikia kipindi wanaanza kuzungumzia mambo personal ya nchi yetu
Mbona sioni ubalozi wa China,Italy,Sweden,Norway nk ukijihusisha na mambo yetu ?
Mtumishi wa mungu ndugu Gwajima kaona mbali,Mungu ambariki sana
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app