Askofu Gwajima aushangaa ubalozi wa Marekani kuzungumzia suala la Mbowe aliyedondoka au kuvamiwa

Unapoambiwa kwa hisani ya watu wamarekani wewe waelewa nn , MBNA usisikie kwa hisani ya waitaliano au izo nchi ulizotaja. Jiongeze mkuu baba akisema hakuna wakumpinga

Safi sana,nimekuwa nikitafakari huu ubalozi wa marekani nchini mwetu Nabaki kushangaa,inafikia kipindi wanaanza kuzungumzia mambo personal ya nchi yetu

Mbona sioni ubalozi wa China,Italy,Sweden,Norway nk ukijihusisha na mambo yetu ?

Mtumishi wa mungu ndugu Gwajima kaona mbali,Mungu ambariki sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
R
Kuna Watumishi wa Mungu na kuna Watumishi wa shetani ambao wamegeuza imani za watu kama mitaji au chanzo chao cha mapato(wajasiriamali wa kidini).

Ni jukumu lako kumtambua kiongozi wako wa kidini anaangukia kundi gani.
Alishafundishwa adabu na Bashite guys mchumuia tumbo
 
Ya kwao yamewashinda wanatolea matamko ya mlevi aliyeamguka akitoka kilabuni ( ubanda )
 
Weka ushahidi usikurupuke. Mie Gwajima sijawahi hata kwa sekunde moja kumuona mtumishi wa Mungu zaidi ya kuwa TAPELI tu. Nasubiri ushahidi wa hicho ulichoandika kwamba nilimuita MTUMISHI WA MUNGU. Mwenyezi Mungu si wa kuchezea chezea na hawa matapeli wanaozuka kama UYOGA.

Nasubiri.

Nakumbuka kipindi anamshambulia makonda ulikuwa ukimuita mtumishi wa Mungu! Nilichobaini, wewe ndiye mwenye matatizo bali Gwajima ni yuleyule.
 
Back
Top Bottom