johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,134
Kuna watumishi wa Mungu na kuna watumishi wa shetani
Hahahaa mzee mkono wa baunsa.Mkuu huyu si mtumishi wa Mungu ni mhuni na tapeli tu.
Mkuu angesema Kama unavyoyaka wewe angekuwa MTUMISHI wa MUNGU!Kuna watumishi wa Mungu na kuna watumishi wa shetani
Huyu ni Mtanzania ana haki zote kuisemea nchi yake , Kwa upande wako Balozi wa Taifa jingine ana mamlaka gani ya kuhoji mambo ya ndani ya Taifa jingine au huji mipaka ya mabalozi?Kuna watumishi wa Mungu na kuna watumishi wa shetani ambao wamegeuza imani za watu kama mitaji au chanzo chao cha mapato(wajasiriamali wa kidini).
Ni jukumu lako kumtambua kiongozi wako wa kidini anaangukia kundi gani.
Nimejichimbia naipitia bajeti kwa kina bwashee!Huyo sio Askofu bali ni muhuni kama wahuni wengine. Maaskofu wanafahamika wanaoongoza makanisa taasisi, sio hilo genge la wahuni. Halafu maoni yenyewe anatolea TBC!
Mzee mgaya unakwama wapi, mbona huzungumzii hiyo bajeti ya kampeni ya ccm? Naona ccm wamegeuza bajeti ni eneo la kufanyia kampeni, matokeo yake watu wameipuuza wala hakuna anayeijadili kwa hivyo. Hata ww naona umeipotezea.
Amina!Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU