Askofu Gwajima: Asante Rais kwa kumtumbua Prof. Muhongo.

Huyu gwajima n mchungaji au ananafasi zaidi ya uchungaji? Maana kila kitu anajifanya anajua s tatizo hili
 
Kumbe Mzungu ndiye anayetuibia ?
Ni hatari kuamini hivyo !

Njia hii sio sahihi sana .!
Nchi inaongozwa Kwa sheria
Na haijengwi na MTU mmoja wala haiongizwi Kwa kutumia akili za MTU mmoja.

Tuombe njia hii isiwe chaguo la kudumu
Nadhani ulichoweka hapa ni nadharia tu.

Nadhani hufahamu maana ya maneno ''kuongoza nchi''.

Soma Katiba ya Tanzania katika Ibara ya 35(1-2) ili upate elimu sahihi kuhusu madaraka ya Rais.

Hebu fanya uhalifu kama utamuona Rais anakuja kukukamata.
 
Acha kubadiri ujumbe nyau ww sisi tumemuelewa gwajima ila nadhan hamkutegemea kwa aliyoyasema leo umbea umewashuka mlidhan kila cku atamsema makonda looo! Aibu yenu hiyo
mbona umebishana na unayekubaliana naye kwa mujibu wa post yako iliyofuata
 
Nadhani unaweka mwanvuli wa lawama kwa wasomi bila kufanya uchambuzi makini.
Mkuu haihitaji uchambuzi ili kujua wasomi wanatuangusha sana trust me hata professor mruma mnayemuona shujaa leo akipewa wizara ya nishati na madini usishangae usione mabadilko yoyote!!!!

Yaani kwa number of pHD zilizopo serikalini au wasomi wakimataifa kma chenge na muhongo nisingetegemea tungesainishwa mikataba ya kikoloni kma waliosainishwa akina chief mangungo ambao walikuwa hawana elimu kabxa

Tunashida sana kwenye kuimplement whats on paper na hilo liko wazi kabisa hatuko practical kabisa....... au ushasahau kina tibaijuka elimu kubwa na experience ya kufanya kazi sekta ya ardhi kwa miaka hadi kuongoza UN Habitat kwa miaka but ona issue ya migogoro ya ardhi bado kubwa hapa TZ!!!!!!!
 
Waliokuwa wamewekeza akili zao kwa Gwajima wakidhan yuko against Magu wameanza kurudiwa na akili!

Tuliwaambia humu vita ya Makonda na Gwajima Ni igizo la Vijana wa Mkumbusho bila ya waigizaji kujua Kama wanaigiza
 
Waliokuwa wamewekeza akili zao kwa Gwajima wakidhan yuko against Magu wameanza kurudiwa na akili!

Tuliwaambia humu vita ya Makonda na Gwajima Ni igizo la Vijana wa Mkumbusho bila ya waigizaji kujua Kama wanaigiza
Hawakuelewa maneno ya watu wenye hekima na busara waliosema, ndugu wakigombana, chukua jembe ukalime.
 
Ni wakati muafaka kwa msajili wa vyama vya siasa asajili kanisa la Gwajima kuwa chama cha siasa.
 
Mchungaji gwajima ni MTU muhimu sana katika jamiii ya kitanzania .anawaamsha watu wajue nini kinaendelea nchini.
 
Back
Top Bottom