Askofu Gwajima: Asante Rais kwa kumtumbua Prof. Muhongo.

Askofu Gwajima: Asante Rais kwa kumtumbua Prof. Muhongo.

Kwa hiyo huenda ndoa ya Gwajima na Chadema ndio imekufa au.?
mimi nilivyo muelewa Gwajima, anajua raisi anakosea jinsi alivyoingia kushughulikia swala la mchanga bila kufahamu sheria zikoje ila anataka moyo uwe mgumu asisikie ushauri wa kisheria nk ili wazungu wapate hasira kisha wamkwamishe,ktk kesi watazozifungua (huwa gwajima antumia sana irony,satire,sarcasm kama ambavyo pasco wa jf anavyotumia katika thread zake,
 
Uko sahihi kabisa, Gwajima alikuwa anashauri kwa chuki.....katikati ya mistari unaona kabisa anachokiongea ni kama kumnanga Rais.
 
mimi nilivyo muelewa Gwajima, anajua raisi anakosea jinsi alivyoingia kushughulikia swala la mchanga bila kufahamu sheria zikoje ila anataka moyo uwe mgumu asisikie ushauri wa kisheria nk ili wazungu wapate hasira kisha wamkwamishe,ktk kesi watazozifungua (huwa gwajima antumia sana irony,satire,sarcasm kama ambavyo pasco wa jf anavyotumia katika thread zake,
Hakuna cha irony, satire wala sarcasm katika ujumbe wake.

Unajaribu kubadilisha ujumbe ili ukubaliane na fikra zako!
 
Mch.Gwajima nampenda sana,lakn cyo m2 wa kuaminika hata kdogo. Ukweli ni kwamba Gwajay kpnd cha campaign za 2015 alikuwa team mamvi na hakumsapot yeyote kwenye jembe na nyundo (ccm),matokeo ya bao LA mkono yalipoonesha kuwa pombe ndyo ame-win kwenye hyo election Gwajay akabadilika ghafla na kujificha kwenye kvuli cha rais (mwenye akili kubwa hapa atakuwa amenielewa) so,anachokifanya Gwajay ni kuwachapa wa2 akiwepo na huyo president mwenyewe na ksha anajifanya kuwa anamfagilia kiaina na kwa kuwa sisi wa2 weusi huwa tunapenda kisifiwa basi president anajiona amepata follower ambaye ni aset, lakn President akae chonjo na Gwajay kwa kuwa ipo cku atakuja kulipuliwa hata yeye
 
Hakuna cha irony, satire wala sarcasm katika ujumbe wake.

Unajaribu kubadilisha ujumbe ili ukubaliane na fikra zako!
upande wa Muhongo anamaanisha anachosema anataka akome si kwa sababu ya swala hili kwamba yeye amesababisha ,bali kwa kauli zake za nyuma kuhusu waekezaji wazawa,kuhusu swala la rais kwa uelewa wangu Gwajima hajawahi kumkubali ila hana jinsi hivyo anatumia propaganda sana,hata misleading kwa mgongo wa kujifanya kama mshauri mwema
 
Gwajima yeye hanachuki na rais isipokuwa alikuwa na chuki na jk tu.sababu anazijua mwenyewe
 
mawazi wa awamu hii ya tano inawapasa kubadilika na kuchapa kazi kwa bidii na kutanguliza maslahi ya taifa mbele!!

ktk mapambano haya wazalendo wanao munga mhe rais tuko wengi kuliko wasaliti!!
 
Kaongea ukweli kabisa tuna wasomi wengi lakini wanaishia kwenye research na makaratasi ila utekelezaji zero kabisa!!!! sasa muhongo na CV yake nzito ya mambo ya miamba alishindwa kujua tunaibiwa all along???? Dah kaz kwelikweli
Nadhani unaweka mwanvuli wa lawama kwa wasomi bila kufanya uchambuzi makini.
 
Kuna Mtu mmoja aliandamana na Mwenye Ng'ombe akisema Inyeshe au Liwake wewe Ni Rafiki yangu! Mara Mwivi akaja akapora yule Ngombe! Mtu yule akageuka Nyuma na Kuandamana na Yule mwivi, huku akiimba Inyeshe au Liwake Wewe ni Rafiki yangu! Je mtu huyu anafuata nini? Langu ni hilo tu moja! Haikufika hata november 2015, Nilishangaa sana sio kidogo! Labda kuna nisiyoyajua ninyamaze!
 
Leo chadema mmeamshiwa dudeee nadhan hamjamuelewa gwajima leo na bado kufikia 2020 kila mtu wimbo wake utakuwa raisi na magufuri
 
Hakuna cha irony, satire wala sarcasm katika ujumbe wake.

Unajaribu kubadilisha ujumbe ili ukubaliane na fikra zako!

Acha kubadiri ujumbe nyau ww sisi tumemuelewa gwajima ila nadhan hamkutegemea kwa aliyoyasema leo umbea umewashuka mlidhan kila cku atamsema makonda looo! Aibu yenu hiyo
 
Mtake msitake Raisi wetu anawatesa sana chadema hawana pakutokea na 2020 ni afadhar msisimamishe mgombea uraisi hizo hela za campen imarishini chama chenu magufur kaishapita tayar
 
zito jr leo
Kaongea ukweli kabisa tuna wasomi wengi lakini wanaishia kwenye research na makaratasi ila utekelezaji zero kabisa!!!! sasa muhongo na CV yake nzito ya mambo ya miamba alishindwa kujua tunaibiwa all along???? Dah kaz kwelikweli
Leo umekuwa safi mkuu. Hongera, sio kila kitu ni siasa.
 
Amsha popo!. Kama kawaida mtumishi....usiwe nyuma kuongelea mali za umma maana nawe upo ktk kundi la wananchi. Hahahaaa!.... Amsha popo waamke...
 
Back
Top Bottom