Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,079
- 8,219
Hiyo ya USA haipo poa, nzuri hiyo ya virungu kama ukikataa kuchanjaMarekani kila anayekubali kuchanjwa anapata dola 100 Sijui hii ikija hapa kwetu Bongo, na wanavyopenda hela wabunge wetu wanaweza kuchanja hata mara kumi mbunge mmoja!!!