chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,002
- 20,661
Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake.
Sasa Rais Samia kaingia, Askofu kapoteza network na hata utawala wa wasukuma aliotaka kuunda umekwama, zile fursa za kuingia magogoni atakavyo na kupitisha dili zake zimekata, anaona yuko mbali na system,na ameamua kurudi chadema polepole na ana mawasiliano makubwa na viongozi was chadema.
Vikao vya kamati ya wabunge was CCM, maamuzi yake hupelekwa Chadema na huyu askofu,anatoa hela nyingi sana chadema wakubali kumrudisha, na alifadhili mkakati wa maabdamano ya katiba ambao serikali imeudhibiti.
Kimkakati na kikabila alitaka chadema ijiimarishe usukumani kwa kuanzishia harakati huko ili akija kuomba urais akute angalau njia nyeupe.
CCM iondoe watu was aina hii katika mifumo yake ya siasa,afukuzwe haraka huyu NDULI GWAJIMA