Askofu Gamanywa: Makonda yuko sahihi Ushoga umekatazwa kwenye Biblia, wananchi acheni kushabikia dhambi

Kwenye taarifa ya Pompeo wapi ushoga umegusiwa kama sababu?
Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.

Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.

Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.

Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.

Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamshangilia nani? Pom nini? Malawiti hawa! Shauri yako. Ukiona mtu anamshangilia mmarekani kwa Afrika, ujue ufahamu uko hoi. Hakuna nchi iliyosaidiwa na US ktk Africa hii na ikaendelea. Sitegemei chochote chema toka US!
Endeleeni ni kukiuka haki za binadamu siku mkimezeshwa ndoano msije kuwalaumu kina zitto na chadema,Mkopo mmenyimwa kwasababu ya kuwabagua wasichana wanaopata mimba shuleni lawama zote mnampa zitto wakati mmeyakoroga wenyewe.
 
Endeleeni ni kukiuka haki za binadamu siku mkimezeshwa ndoano msije kuwalaumu kina zitto na chadema,Mkopo mmenyimwa kwasababu ya kuwabagua wasichana wanaopata mimba shuleni lawama zote mnampa zitto wakati mmeyakoroga wenyewe.
Hakuna cha mimba hapo! Ni chuki ya mikataba ya madini na umeme wao wa Dwans tu! Basi! US na Ulaya walishajua Afrika ni shamba la bibi. Ungekuwa na ufahamu kama wangu, tungejadili kisomi lakini naona kama uko chini kiasi! Nchi gani Duniani imeendeleza elimu ya watoto wao kwa kuruhusu waliozaa kukaa darasani tena? Au ni majaribio tena kwetu?
 
Mzee Askofu huyo anatuhumiwa kwa kosa kuu la uhalifu dhidi Msipotoshe umma.
 
Screenshot_20200109-195956_Twitter.jpg
Screenshot_20200109-195956_Twitter.jpg
Screenshot_20200203-172245_Facebook.jpg
Screenshot_20200202-190153_Google.jpg
 
kwa hili la ushoga makonda alifauru
Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.

Yaani kawapa Watoto wake, Na mbuzi za chadema alizonunua mnadani na zile ng'ombe za jalalani udsm pale bila kusahau lakezonelization, watu wa Kanda ya ziwa.

Masisiemu yamepigwa na butwaa
 
Back
Top Bottom