Kwanini niwaulize wakati wao wametenda?, Napendekeza tufanye mojawapo kati ya haya matatu tunayo fanya siku zote, tutume wasio julikana wetu wamteke na kumpoteza Pompeo/Trump, tumfungulie Pompeo/Trump kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha au watuoneshe makaburi ya babu wa babu yao vinginevyo tuwafute uraia wa marekani na la ziada ni ku piga bann wasikanyage Tanzania. Sisi hatujaribiwi bwana, here...wasichezee awamu ya 6-1 bwana! .Waulize pia wao Guantanamo wanawafanya nini watuhumiwa wa ugaidi zaidi ya miaka kumi?