Askofu Emmaus Mwamakula: Balozi Polepole yupo gereza la Ukonga

Askofu Emmaus Mwamakula: Balozi Polepole yupo gereza la Ukonga

Mnazidi kupotezwa , kwa akili ya kawaida zile damu zote pale chini unafikiri mtu anawezaje kuwa hai hadi sasa na kwa mfano tu hata angekuwepo kama mnavyodhani wamshikilie hadi leo wakiwa wanataka nini kutoka kwake na walishasema hajarudi Tanzania?

Mnazidi kumpa matumaini hewa mama yake na ndio anazidi kuumia, ni muda mkubali tarehe 6 October ndio siku aliyouwawa na sasa familia ichague njia rasmi au zisizo rasmi za kudai haki ya ndugu yao kudhulumiwa haki yake ya kuishi.
 
Hizi taarifa za Uongo zinaenezwa ili kuwaweka watu “off balance”,Watanzania wanabaki na sintomfahamu hivyo kushindwa kuchukua hatua kuwadai ndugu zao..Mange Kimambi yuko vizuri sana na anaufahamu mzuri wa hizi mbinu,haposti kitu mpaka amepata facts za kweli ,Kama hana facts anasema sina uhakika,hii inasaidia pale akitaka kuhamasisha watu kuchukua hatua,wengine bado sana,inabidi tujifunze hizi mbinu zinazotumiwa
 
Sahihi kabisa.
 
Issue ya Pole Pole ninashauri, mkubali ukweli,jamaa hawezi kuwepo Duniani!
simuamini polepole mbona kipind cha jiwe hakubadilika au hakuridhk na ulaji wa kyuba? Naamin angepew ulaji mkubwa asingebadilik ni mtu mwwnye asili ya tamaa na kutoridhik. Anyway waacha waoane waache waoanee by chege
 
NDUGU WA POLEPOLE ATETA NA ASKOFU!

Ndugu Watanzania!
Usiku huu nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu ambaye ni mmoja wa ndugu wa Mhe. Balozi Humphrey Polepole. Nimebadilisha initials au utambulisho wake kwa sababu za kiusalama. Suala la Polepole lina simanzi isiyoisha, hivyo hatuwezi kupuuzia minong'ono yoyote kuhusu wapi alipo.

Kwa kuwa hakuna mamlaka iliyowahi kusema kuwa inamshikilia, umma umebaki kukisia na kuokoteza taarifa ikiyumkini inaweza kutokea taarifa iliyobeba ukweli. Kwa sababu hiyo hiyo ni vigumu kwa askofu kwenda kumuulizia au kumtafuta Polepole katika mamlaka yoyote ile.

Hata hivyo, nauweka ujumbe huo hapa kwa ajili kuleta hamasa ya maombi ili kumuombea hata kumpazia sauti zaidi yumkini wanaomshikilia wanaweza kuzidiwa au kuogopa kelele nyingi.

Tukikata tamaa na kuacha kupiga kelele juu ya Balozi Humphrey Polepole hata wengine kama Dioniz Kipanya, Deusdedith Soka, Kaswahili, Chaula, Mbise, Mlay, nk tutarajie watu wengi zaidi kuendelea kutekwa na kupotezwa katika siku za kwenye kipanda uso.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 5 Agosti 2026; Saa 7:35 usiku

UJUMBE KUTOKA NDUGU WA POLEPOLE!

Nakusalimu Baba Askofu Mwamakula!
Nisamehe nakuandikia usiku. Nimeona taarifa mtandaoni, ina viashiria kuna ukweli katika hili. Ikupendeze na iwe ni vyema kwako ninaomba uende Ukonga ili kusudi ukamuone Mhe. Balozi Humphrey Polepole, kwa maelekezo ya ujumbe wa mitandaoni kuwa Polepole yupo Ukonga!

Ni mimi K. L. P.,
Ndugu yake na Humphrey Polepole.
5 Septemba 2026
Hii imeshawekwa kitambo hapa na tumejadili sana. Kabla ya ku-post angalia kwanza.
 
Ila huyu mama atakuja kuishi maisha magumu Sanaa.
Anawakumbusha wenzie kuwa cheo ni dhamana ila anajisahau kujikumbusha
Ataenda kuishi kwao Zanzibar kama nchi huru inayotambulika kimataifa baada ya muungano kuvunjwa na hakuna kitu mtamfanya
Muungano hautaendelea baada ya mgalatia iwe CCM au Upinzani kushika Tanganyika 2030.
Mark my word.
 
Pole kwa familia ya POLEPOLE, kudos Humphrey, damu yake haijamwagika hovyo!
TANGANYIKA WILL BE FREE SOON!
 
Ni mhaini wa kiwango cha juu, kwahiyo kushikiliwa kwake ni kama mlivyokuwa mkifurahia al qaeda walivyowekwa Gitmo bay.
Hakuna kutembelewa wala kesi mahakamani
Aboud Jumbe alifanywa hivihivyo na nyerere baada ya kuwasilisha ujumbe wa kuvunja muungano.

Yuko Kizuizini m
 
Yuko Kizuizini m
Nashangaa kina Kassanga Tumbo waliwekwa kizuizini na Aboud Jumbe alilazimishwa kujiuzulu kama nchimbi lakini hao hao bado wanamuita nyerere ni baba wa taifa
 
Mnazidi kupotezwa , kwa akili ya kawaida zile damu zote pale chini unafikiri mtu anawezaje kuwa hai hadi sasa na kwa mfano tu hata angekuwepo kama mnavyodhani wamshikilie hadi leo wakiwa wanataka nini kutoka kwake na walishasema hajarudi Tanzania?

Mnazidi kumpa matumaini hewa mama yake na ndio anazidi kuumia, ni muda mkubali tarehe 6 October ndio siku aliyouwawa na sasa familia ichague njia rasmi au zisizo rasmi za kudai haki ya ndugu yao kudhulumiwa haki yake ya kuishi.

Ila uwingi was damu kuvuja kule hawezi kuwa mzima abadani, maana km ni hospital walimpeleka wapi kuokoa uhai wake? Isingejulikana kweli?? Mmmh
 
Back
Top Bottom