Askofu Dkt. Hilinti wa KKKT aomba Rais Samia awaongezee Waziri mwingine Mkoa wa Singida

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Askofu Dr Hilinti wa KKKT Dayosisi ya Kati amemwomba Rais Samia ateue Waziri mwingine kutokea Singida ashirikiane na Dr Mwigullu PhD kuwaletea Wananchi Maendeleo.

Askofu Dr Hilinti amesema hakuna Ubaya Singida kuongezwa Waziri Kwani kuna mikoa imetoa mawaziri zaidi ya Watatu.

Askofu Dr Hilinti amesema hayo wakati akimpa salamu za Dayosisi ya Kati Waziri Mwigullu katika Ibada ya Sikukuu ya Utatu Mtakatifu.

Source: Upendo TV
 
Wivu eti mkoa umetoa waziri watatu😅😅

kiukweli waziri ingekuwa taalamu, inakuwaje mtu ana kazi kibao za uwaziri then awe mbunge tena huo mda anautoa wapi wa kushughulikia mambo ya jimboni.

Ingekuwa waziri afungamani na mambo ya kisiasa pia anafanyiwa vetting ya kitaalamu ,awe anashughulikia ishu za wizara yake tu ana awe active na wizara yake pekee. Waziri wanapokuwa ni wabunge basi hata utendji wao ni wa janja janja za kisiasa na chama nikamlinda.
 
Kwani Uwaziri unapatikana kwa kipaumbele cha Mkoa unaotokea au sifa na mahitaji ya Serikali kwa wakati husika ndiyo humpa muhusika nafasi ya kuteuliwa?

Kama kila Mkoa ukihitaji kuwa na Waziri Wake si itakuwa balaa ndiyo tutaanzisha mambo ya ukabila nchini.
 
Nilimuoma mwigulu ameambatana na timu ya wabunge wa kutosha, na tena ameunda kamati ya miaka kumi mbele kusaidia kanisa ktk shughuli mbali mbali za kanisa
 
Askofu Dr Hilinti wa KKKT Dayosisi ya Kati amemwomba Rais Samia ateue Waziri mwingine kutokea Singida ashirikiane na Dr Mwigullu PhD kuwaletea Wananchi Maendeleo

Askofu Dr Hilinti amesema hakuna Ubaya Singida kuongezwa Waziri Kwani kuna mikoa imetoa mawaziri zaidi ya Watatu

Askofu Dr Hilinti amesema hayo wakati akimpa salamu za Dayosisi ya Kati Waziri Mwigullu katika Ibada ya Sikukuu ya Utatu Mtakatifu

Source Upendo TV
Upumbavu mtupu kabisa
 
Askofu Dr Hilinti wa KKKT Dayosisi ya Kati amemwomba Rais Samia ateue Waziri mwingine kutokea Singida ashirikiane na Dr Mwigullu PhD kuwaletea Wananchi Maendeleo.

Askofu Dr Hilinti amesema hakuna Ubaya Singida kuongezwa Waziri Kwani kuna mikoa imetoa mawaziri zaidi ya Watatu.

Askofu Dr Hilinti amesema hayo wakati akimpa salamu za Dayosisi ya Kati Waziri Mwigullu katika Ibada ya Sikukuu ya Utatu Mtakatifu.

Source: Upendo TV
Akili za kijinga na kibinafsi kabisa
 
Yesu angekuwepo leo wangekula fimbo za kutosha, walizopigwa wale wauza njiwa pale hekaluni cha mtoto
 
Askofu Dr Hilinti wa KKKT Dayosisi ya Kati amemwomba Rais Samia ateue Waziri mwingine kutokea Singida ashirikiane na Dr Mwigullu PhD kuwaletea Wananchi Maendeleo.

Askofu Dr Hilinti amesema hakuna Ubaya Singida kuongezwa Waziri Kwani kuna mikoa imetoa mawaziri zaidi ya Watatu.

Askofu Dr Hilinti amesema hayo wakati akimpa salamu za Dayosisi ya Kati Waziri Mwigullu katika Ibada ya Sikukuu ya Utatu Mtakatifu.

Source: Upendo TV
Bora sio mkatolik ,naona KKKT wamekuwa wale wazee wanaozeek bila busara
 
Back
Top Bottom