Askofu wa KKKT Dayosisi ya Singida aliomba waongezewe Waziri, Mungu amejibu Maombi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Ilikuwa kwenye Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Shule na mambo mbalimbali ambapo mgeni rasmi alikuwa Dr Mwigullu Nchemba PhD aliyeongozana na wabunge kadhaa

Askofu wa KKKT Dayosisi ya Singida Mjini akasema atamuomba Mungu wa mbinguni ampe hekima Rais ya Kumpendeza kuwaongezea Waziri kwani kuna mikoa ina Mawaziri zaidi ya Watatu

Mungu wa mbinguni amejibu Maombi!

Mlale unono!
 
Huku Africa ignorance ni tatizo kubwa Sana....unaweza kuta huyo askofu ana elimu ya chuo kikuu
 
Ilikuwa kwenye Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Shule na mambo mbalimbali ambapo mgeni rasmi alikuwa Dr Mwigullu Nchemba PhD aliyeongozana na wabunge kadhaa

Askofu wa KKKT Dayosisi ya Singida Mjini akasema atamuomba Mungu wa mbinguni ampe hekima Rais ya Kumpendeza kuwaongezea Waziri kwani kuna mikoa ina Mawaziri zaidi ya Watatu

Mungu wa mbinguni amejibu Maombi!

Mlale unono!
Ukisikia akili za MAKALIONI ndio hizi,ukute nawe unaitwa Baba nyumbani kwako,hakika MACHOKO hayataisha nchini
 
"Askofu wa KKKT Dayosisi ya Singida Mjini akasema atamuomba Mungu wa mbinguni ampe hekima Rais ya Kumpendeza kuwaongezea Waziri kwani kuna mikoa ina Mawaziri zaidi ya Watatu"
Ilikuwa kwenye Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Shule na mambo mbalimbali ambapo mgeni rasmi alikuwa Dr Mwigullu Nchemba PhD aliyeongozana na wabunge kadhaa

Askofu wa KKKT Dayosisi ya Singida Mjini akasema atamuomba Mungu wa mbinguni ampe hekima Rais ya Kumpendeza kuwaongezea Waziri kwani kuna mikoa ina Mawaziri zaidi ya Watatu

Mungu wa mbinguni amejibu Maombi!

Mlale unono!
Kwa hiyo ndio kusema kuwa muujiza umetendeka, na pia ishara kutoka mbinguni imeonekana hadharani!?
 
Back
Top Bottom