Askofu Bagonza: Ni Nyerere tu!

Askofu Bagonza: Ni Nyerere tu!

Moja kati ya Hotuba za Kufurahisha za Mwalimu Nyerere alikataa kata kata kuitwa JIWE.

Na alisisitiza "Mimi siwezi kugeuka Nyuma kuwa Jiwe".
JK. Nyerere.

"Lakini cha Ajabu Rais tuliyenaye sasa ANAJIITA JIWE."
JPM
Anajiita au mmemuita
 
Mwalimu Nyerere alipigania sana hii nchi na nyingine za bara la Afriks sio Kama huyu Pimbi aliyesukumizwa kazi kuvaa magwanda na kombati za jeshi hajui hata hi nchi imetolewa wapi.


Screenshot_20201014-171055.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom