Uchaguzi 2020 Askofu Bagonza: Makundi yetu kuelekea Uchaguzi Mkuu

Tutanza kuona makundi aliyoyataja baba Askof kwa maoni yenu. Makundi mengine wanafanya hivyo kutetea maslahi yao (kazi, biashara, kutafuta ajira, uhai).

Wengine ukereketetwa tu, umbumbu wao wanadanganywa Na kudanganyika. Kundi lingine ni waoga Wa kujitokeza wasije kuandamwa. Hawa wataonyesha rangi yao kwenye box LA kura
 
Huyu askofu athibitishe kwanza uraia wake aache uchochezi nchi ikiingia machafuko atakimbilia kwao Uganda

Hapo amefanya uchochezi gani, maana sasa hivi mtu akioongea ukweli ni mchochezi. Kwenye uzi wake namba tatu inawahusu jiwe na nyie wapambe wake.
 
Askofu kama huyu hajitambui, inayompa uhuru wa kuongea hayo ni nini? Aende akatamke hayo anayotamka Uganda, Rwanda na Burundi ndiyo atajua kwamba Tanzania kuna democracy, haki na uhuru.
 
Tuondolee upuuzi wako hapa! Kwani hujui huyo anayejiita MWENDAWAZIMU anahusika na kuwapoteza Watanzania wengi wakiwemo Saanane na Azory? Lissu kwa kudra za Mwenyezi Mungu bado tunaye.
Askofu kama huyu hajitambui, inayompa uhuru wa kuongea hayo ni nini? Aende akatamke hayo anayotamka Uganda, Rwanda na Burundi ndiyo atajua kwamba Tanzania kuna democracy, haki na uhuru.
 
Baba Askofu Benson Kalikawe Bagonza.

Asante sana kwa falsafa zako zilijaa busara na hekima ya hali ya juu sana.

Masikitiko yangu ni kwamba tuna bahati mbaya kama nchi, wenye uwezo wa kuelewa falsafa zako ni wachache sana.

Kinachosikitisha zaidi ni kwamba wasiolewa falsafa hizi miongoni mwao ni wasomi wazuri kabisa, ambao tulitegemea wawe ndio msaada wa kuelimisha wengine lakini haiwi hivyo.

Hili jambo linaumiza sana.
 
Ni namba 2: mitano kwanza. Hiyo mitano tena imekuwepo tangu Uhuru. Kila baada ya miaka 5 imekuja tena mitano. Mwishowe, imetuzalishia dikteta anayejenga international airport kijijini kwake! Sasa basi, ni Mitano Kwanza ili ilete Haki na Maendeleo ya Watu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom