Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,838
- 38,729
Mimi nasemaga wanaojisumbua kumuombea hawana akili timamu.Kufanya maovu na kuamrisha watu wakuombee kwa unyama wako, ni sawa na kumshika Mungu sharubu
Mpaka baadhi ya viongozi wa dini wanashiriki kumuombea mtu mshenzi na muovuMimi nasemaga wanaojisumbua kumuombea hawana akili timamu.
Mkuu, huyu Shetani anaekimbilia sana madhabahuni na kujifanya ni mcha Mungu sana hana muda mrefu..Kufanya maovu na kuamrisha watu wakuombee kwa unyama wako, ni sawa na kumshika Mungu sharubu
bila shakaAskofu Bogonza kuelekea Sikukuu ya Krismasi amesema haya, "Kumpenda Mungu huku tukiwatesa na kuwadharau Wanadamu ni Ibada ya Sanamu na Mungu hawezi kuwa upande wetu hata kama tunamuimba kila siku na Kula viapo kwa jina lake"
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba Mungu ayabariki maono haya yatimie aminaMkuu, huyu Shetani anaekimbilia sana madhabahuni na kujifanya ni mcha Mungu sana hana muda mrefu..
Mungu hawezi asilani kuacha waja wake wateswe namna hii na Shetani huyu..
Mark my words.
Sawa. Huyu ni miongoni mwa maaskofu bora wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wanaojua wajibu wao kwa Mungu na wanadamu. Ni Daktari wa Falsafa huyu. Wengine ni Dr. Frederick Shoo, na Dr. Stephen Munga. Wao habari ya kujikomba kwa watawala hawana kabisa. Ni neno tu, Mungu tu, Yesu tu. Hongera kwao na bila shaka Mungu atawabariki wao, waumini wao, kanisa lao, na zaidi sana uzao wao.Askofu Bogonza kuelekea Sikukuu ya Krismasi amesema haya, "Kumpenda Mungu huku tukiwatesa na kuwadharau Wanadamu ni Ibada ya Sanamu na Mungu hawezi kuwa upande wetu hata kama tunamuimba kila siku na Kula viapo kwa jina lake"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa,ila hivi huwa unapata wapi nguvu ya kumsifu Bwana yule pale anapopuliza baada ya kung'ata watu kwa makusudi?Nahisi kwa Askofu Bagonza, kitakachofuata ni kuchunguzwa uraia wake.
P
Mimi ni realist, kwenye mazuri nasifu.Sawa,ila hivi huwa unapata wapi nguvu ya kumsifu pale anapopuliza baada ya kung'ata watu kwa makusudi?
Hivi hujui kuwa huwa anapuliza ili kufunika maovu yake?
Bottom line ni kwamba kila kiongozi anawekwa na Mungu. Awe mzuri au mbaya Mungu ndiye unayejua. Tunaweza kumhukumu kumbe anafanya mapenzi ya Mungu kutunyoosha ili tuweze kumtafuta Mungu.
Realist hawezi ku-behave kama unavyo-behave hata kidogo.Mimi ni realist, kwenye mazuri nasifu.
Jee una uthibitisho wowote wa uovu au hisia tuu?.
P