Askofu Amani apingwa vikali-Mbulu

Tafadhali ndugu..rudia kusoma kilichoandikwa. Kikao kilikuwa cha halimashauri ya walei,maparoko na Askofu...hakuna mahal pameandikwa waumini ndo wanapitisha


Acha upumbavu bwege wewe! wewe si Mkatoliki ndiyo maana hata hujui askofu anateuliwaje. acha uchochez paka shume mkubwa wewe
 
Mambo ya barazani ni barazani lakini mambo ya ndani yanapaswa kuwa ya ndani tuu.
 
shetani akitaka kuvuruga anaibua watu wasumbue, wadhohofishe mchakato wa kumpata askofu Mpya, hofu ni kwamba anakuja "Mchaga" tena hapo. lkn Mungu akipanga huwezi kupangua.
 
Kinyaiya amestaafu au amehishwa?
 
Suala Cyo Hela Ni Hatutaki Askofu Toka Moshi,tumechoka Kuongozwa Na Maskofu Toka Moshi Ni Wapiga Dili,jimbo Tangia Askofu Hhando Afariki Limerudi Sna Nyuma Kimaendeleo,tunahitaji Askofu Mzawa Na C Vingenevyo Na Ikiwa Vingnevyo Tutaitisho Mgomo Baridi Au Ikibidi Tutaandamana Kumpinga,,,,
 
Ngojeni wala rambirambi wazisikie kama mtaona shilingi ilipopita.
 
Ni vema Kardinali Pengo aliangalie suala la Jimbo Katoliki la Mbulu kupatiwa Askofu Mzawa. Si kweli kwamba jimbo hilo halina mapadre wenye sifa. Ni vema wapatiwe Askofu mzawa sasa wajisimamie wenyewe.
 
Hahahahaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…