Askofu Amani apingwa vikali-Mbulu

Waulize Geita na Singida walifanya nini kabla ya kutangazwa askofu. Walifanya maandalizi kabla. mwaka 2015 askofu alikuwa anatarajiwa kupatikana. Mchango wa 202M ukapitishwa...lakin hakupatikana. Kwa sasa Askofu Amani kasema yuko mbion kupatikana ndo maana kaleta bajeti ya 360M
Niruhusu tu kwa ajili yakokwenye hii thread tu. Wewe ni Mwongo!! Hakuna Askofu anayejua Askofu mpya natamgazwa lini hii ni siri ya Kanisa katoliki na ikigundulika kuwa siri imetoka kabla ya kutangazwa jina la huyo aliyekuwa atangazwe linakatwa huko huko Vatican. Labda una agenda ya siri kumchafua Askofu Amani. Budget za masuala ya jimbo wanakaa viongozi wakuu wa idara kisha ndio lielekezwe kwenye parokia baada ya maamuzi ya jimbo. Hiyo halamshauri inakaa kujadili budget ya sherehe hewa? Ikiwa jambo hujui undani wake uliza usipotoshe watu kwa jambo usilolijua. Maandalizi yanayofanywa kwa kipindi kama hiki ni sala tu ya kuomba wapate Askofu wa jimbo.
 
Katika hali mbaya tulinayo ya kiuchumi,kuna Maaskofu ambao wanatumia vibaya pesa za waumini na kuongeza mzigo wa michango. Askofu Amani wa jimbo katoliki la Moshi ambae ni msimamizi wa kitume katika jimbo katoliki la Mbulu amegonga mwamba na kupingwa vikali na halimashauri ya walei na maparoko alipokuwa akitafuta ridhaa ya kupitisha michango ya sherehe za kumsimika Askofu mpya wa Mbulu. Matumizi ya sherehe iyo ambayo ni million 360 yalipingwa vikali kwani ni makubwa mno na hayana ufafanuzi unaoeleweka.

Watu wengi walihoji kuhusu matumizi hayo katika kikao cha Halimashauri ya walei,maparoko na Askofu ambapo Askofu Amani alishindwa kutoa majibu yanayoeleweka.

Mwisho akasema tutatumia utaratibu wa bungeni wa ndio na hapana katika kupitisha hii michango,alipouliza mnapitisha hii michango wote waliitikia kwa kusema HATUTAKI..majibu hayo hajawahi kutokea katika historia ya jimbo la Mbulu.

Ifahamike kuwa kuna gari ambalo lipo bandarini limenunuliwa kisirisiri kwa ajili ya jimbo pasipo kuwashirikisha waumini wakati huo kuna magari yakutosha kwa ajili ya jimbo. Hayo ni matumizi mabovu ya pesa za waumini. Waumini wamechoka kuburuzwa na viongozi wasiojali maslahi ya jimbo .

Kama ni kweli yametokea hayo...sidhani kama wana mbulu mlifikiri vyema na mkaamua kumfanyia hivyo huyo baba askofu...nimjuavyo askofu amani ni moja ya maaskofu wasiopenda rushwa,asiye na tamaa ya utajiri binafsi...hivyo hata kama hiyo hela ingepatina na pia gari unalosema liko port lingekuwa lenu wa mbulu pia hilo hela mngezifinyia sherehe nyie.
Ieleweke kwamba hiyo bajeti iliandaliwa na watu wa huko huko mbulu na yeye kama askofu aliletewa tuu draft na kuipitisha.

Mtoa mada unaanza kuashiria wewe ni mmoja ya uliyekuwa kny kikao na pia wewe ni mmoja ya wapiga dili sana huko jimboni mbulu na umesha msoma askofu asivyopenda mambo ya kijinga kwa kipindi hiki alichopewa nafasi ya kukaimu hilo jimbo so ukaona atakapopata nafasi ya kuwa mkuu wenu rasmi utakosa pakula hivyo unaona ni bora uanze kumchafua.kwa taarifa yako askofu aman hapendaji mambo ya kijinga na pia hakuna mtu wa kumzuia kuwa mkuu wenu isipokuwa Vatican wenyewe.
 
Nmetoa habari pamoja na ufafanuzi wa kikao..Usikurupuke fuatilia na uliza ufahamu utaratibu
 
Hivi kumbe ndo bajeti inayotaka kupitishwa huku kwetu katesh michango kila kukicha waumin hatupumzki hakuna cku utaenda jumuiya usikutane na hbr za michango ubigaji dili mpka makanisani?hakika Mungu wetu ana kazi ya ziada kutuongoza
 
Mbulu tunataka askofu mzawa blahblah hatutaki kusikia
Wewe umegusa penyewe hasa. Wambulu ni wabaguzi na wabinafsi kweli. Nilikuwa huko miaka ya nyuma.Nakumbuka walivyomtenda Askofu Kinyaiya. Hata Yule Doctor wa Mihogo.
Mhh unaujua kweli utaratibu wa Kanisa katoliki? Mfano ipite miaka mingine mitano bila askofu hiyo budget unayozungumzia itakuwa na uhalisia gani? Maana hakuna sheria kuwa baada ya kipindi fulani kutakuwa na Askofu mpya! Hii habari bado ina uwalakini. Ku,buka tangu 2014 hawana Askofu mpaka leo. Ni nin kiwasukume kuandaa budget leo?

Iyo million 360 siyo ya kwanza kuchangwa kwa ajili ya sherehe hizo.Mwaka 2015 ilichangwa million 202 kwa ajili ya sherehe za Askofu lakini Askofu hakupatikana mwisho ikaripotiwa kuwa izo hela zilitumika kwenye ukarabati ambao hukueleweka .Kwa sasa Askofu Amani alisema Balozi wa Papa yuko mbioni kuja..akishafika Askofu atapatikana ndo akaleta bajeti ya 360M kwa ajili ya sherehe za mwaka huu katika kikao kilichofanyika tr 16/5/2017 jumanne katika parokia ya Sanu -Mbulu..Habari hizi si za kuzushwa. Kama kuna wasi wasi wa hili mnaweza wasiliana na Askofu Amani mwenyewe.
 
Serikalini tunalia na mafisadi kwenye dini nako majiz yamejaa. Watz twende wapi jaman. Mpingeni vikali pmb huyo.
 
Katika mapadri wazinzi Tanzania ni wa Mbulu ptyuuu. Wengi hawaqualify kuwa mabishop ndo maana wanatoa mwangalizi Moshiii. Hata mkichukia nawafahamu au niwataje.???
 
uongo huu. hauiwezekani kwa Kanisa Katoliki kuanza maandalizi ya sherehe za kumwapisha askofu Mpya kabla ya kutanganzwa, na hakuna muumini wala mapadre wanaoweza kujua Baba Mt. atamtangaza lini na nani, hata huyo Askofu Aman anaweza kutangazwa yeye kuhamia hapo au akaja mtu asiye mfahamu miongoni mwa waliopendekezwa kwa siri na Baraza la Maaskofu.
aidha ninachokiona hapa ni mleta mada kutokuelewa hata utaratibu wa matumizi ya fedha za Kanisa. fedha za Jimbo zinaamuliwa maamuzi na Halmashauri ya walei ngazi ya Jimbo chini ya usimamizi wa askofu wa Jimbo na sio waamini,. waumini hawawezi kupendekeza matumizi ya fedha.
na kwa jimbo hilo, (Mbulu) viongozi wa Halmashauri walei wanahamu ya kusikia wnapata askofu mpya. pengine mjadala huu tusiupuuze, labda ni sehemu ya kuanzisha movement ya kjuonesha kwamba Askofu Aman hatakiwi Mbulu ili asiteuliwe yeye.
na dalili za kuteuliwa yeye (Amani), ni rahisi kwasababu Jimbo limekuwa na Maaskofu kutoka Moshi kwa mfululizo ambao ni Askofu Ruwaich sasa yupo mwanza na Kinyaiya ambaye sasa ni askofu Mkuu wa Dodoma
Zamu hii, atakuja Mmbulu mwenzenu mfurahi sana...!
 
Kama ni kweli yametokea hayo...sidhani kama wana mbulu mlifikiri vyema na mkaamua kumfanyia hivyo huyo baba askofu...nimjuavyo askofu amani ni moja ya maaskofu wasiopenda rushwa,asiye na tamaa ya utajiri binafsi...hivyo hata kama hiyo hela ingepatina na pia gari unalosema liko port lingekuwa lenu wa mbulu pia hilo hela mngezifinyia sherehe nyie.
Ieleweke kwamba hiyo bajeti iliandaliwa na watu wa huko huko mbulu na yeye kama askofu aliletewa tuu draft na kuipitisha.

Mtoa mada unaanza kuashiria wewe ni mmoja ya uliyekuwa kny kikao na pia wewe ni mmoja ya wapiga dili sana huko jimboni mbulu na umesha msoma askofu asivyopenda mambo ya kijinga kwa kipindi hiki alichopewa nafasi ya kukaimu hilo jimbo so ukaona atakapopata nafasi ya kuwa mkuu wenu rasmi utakosa pakula hivyo unaona ni bora uanze kumchafua.kwa taarifa yako askofu aman hapendaji mambo ya kijinga na pia hakuna mtu wa kumzuia kuwa mkuu wenu isipokuwa Vatican wenyewe.
Sijatoa habari ili tubishane...nmeeleza ukwel na ukweli ni mmoja. We elewa kuwa ni mwadilivu lakin habar n kwamba michango yake imekataliwa...
Hapo ndo ninawakubali WAVAA KOBAZi hawanaga shobo kama Wagalatia
 
Mbulu tunataka askofu mzawa blahblah hatutaki kusikia
Bado ukabila unawasumbua mnahitaji mgeni na pia Nicodemus Nhando alifanya vibaya sana na Kanisa linakuwa makini sana kuhakikisha wanapata mtu mzuri. Unajua haya siyo mambo ya kuchunga mbuzi na kuchunga kondoo wa Bwana
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Bado ukabila unawasumbua mnahitaji mgeni na pia Nicodemus Nhando alifanya vibaya sana na Kanisa linakuwa makini sana kuhakikisha wanapata mtu mzuri. Unajua haya siyo mambo ya kuchunga mbuzi na kuchunga kondoo wa Bwana
We unajua maendeleo aliyofanya Nhando?
 
Uzuri wa hawa nduguzetu Wakatoliki wana mfumo wa uongozi mzuri sana ambao huwa hauruhusu migogoro ya muda mrefu.Naamini hilo suala litakua "sorted out" na mambo yatakuwa " MUSWANU" very soon
 
Back
Top Bottom