Askofu Amani apingwa vikali-Mbulu

Hii nchi hadi viongozi wa dini wanawanyonya raia..... Wakipata nafasi ya kuiba hawafumbi macho.
Na kanisa katoliki linasemekana kuwa kiini cha umaskini wa kutupa kwa baadhi ya nchi zilizopo Amerika kusini Kama Haiti na nyinginezo. Mnaoabudu huko kuweni makini.
 
Na kanisa katoliki linasemekana kuwa kiini cha umaskini wa kutupa kwa baadhi ya nchi zilizopo Amerika kusini Kama Haiti na nyinginezo. Mnaoabudu huko kuweni makini.
Upo sahihi 100% Filipino, Latin America (Mexico, ,Peru, Argentina, Venezuela), hapa TZ Rombo, songea, mbulu kote njaa kali
 
Na kanisa katoliki linasemekana kuwa kiini cha umaskini wa kutupa kwa baadhi ya nchi zilizopo Amerika kusini Kama Haiti na nyinginezo. Mnaoabudu huko kuweni makini.
Sure! nusu ya wakatoliki wote duniani wapo America kusini na ni masikini hatari.
 
Hapo mapadri hawajaoa rasmi/waseja siku wakioa wataiba mpaka mvinyo *****.
Mapadre wanagegeda hatari.Kukuta Padre wa kikatoliki ana mahusihano ya kimapenzi na wanawake zaidi ya wanne siyo jambo la ajabu.

Wanavyopenda kuhudhuria kwenye makasino ni hatari tupu.Ila wakatoliki wanaona kusema maovu ya viongozi wao wa dini ni kumkufuru Mungu.
 
Katika hali mbaya tulinayo ya kiuchumi,kuna Maaskofu ambao wanatumia vibaya pesa za waumini na kuongeza mzigo wa michango.

Matumizi ya sherehe iyo ambayo ni million 360 yalipingwa vikali kwani ni makubwa mno na hayana ufafanuzi unaoeleweka.

Mwisho akasema tutatumia utaratibu wa bungeni wa ndio na hapana katika kupitisha hii michango,alipouliza mnapitisha hii michango wote waliitikia kwa kusema HATUTAKI..majibu hayo hajawahi kutokea katika historia ya jimbo la Mbulu.

Ifahamike kuwa kuna gari ambalo lipo bandarini limenunuliwa kisirisiri kwa ajili ya jimbo pasipo kuwashirikisha waumini wakati huo kuna magari yakutosha kwa ajili ya jimbo. Hayo ni matumizi mabovu ya pesa za waumini. Waumini wamechoka kuburuzwa na viongozi wasiojali maslahi ya jimbo .

Katika miaka ya nyuma RC mlikuwa kioo kwa madhehebu mengine, lakini miaka inavyozidi kwenda mnataka kuwa kama waleeee!! hii tamaa ya fedha inakujaje wakati Maaskofu na Mapadre wanapewa kila kitu hata mauti itakapowakuta?
 
Kwani Askofu Amani ndio mwenye access na hizo hela au yeye ni mpitishaji tuu?? Na kama ni kwa ajili ya sherehe hiyo sherehe anaenda kuifanyia Moshi au Mbulu? Hao members wa baraza la walei waliomkatalia wanataka hizo fedha zifanyie jambo gani mbadala na sherehe?
 
Wengi mlioko humu ham ijui kanisa katoliki maana mna asili ya dini zile za akina lwakatare na mzee wa jibapa.so hatuwezi bishana sana,ila mbulu tunataka mzawa over!
 
Kwani Askofu Amani ndio mwenye access na hizo hela au yeye ni mpitishaji tuu?? Na kama ni kwa ajili ya sherehe hiyo sherehe anaenda kuifanyia Moshi au Mbulu? Hao members wa baraza la walei waliomkatalia wanataka hizo fedha zifanyie jambo gani mbadala na sherehe?
Wachaga macho juu mno. Mboe ndo mwl wao sasa wamehamia kanisani
 
Asimikwe tu kimya kimya bila "shughuli" isiwe tabu kuchafuliwa viongozi wa dini kwenye mitandao ya kijamii
Maaskofu wa Majimbo kanisa katoliki hawasimikwi kama mikuki yaani akina Gwajima. Utawala wao una impact serikalini na duniani (Vatican). Ulishawahi sikia Askofu wa jimbo Katoliki kawekwa ndani kama Gwajima?
Kumbuka Mwalim JKN alikataa kumwachia yule mtoa rushwa aliyesema serikali yote iko mfukoni mwake kwa maombi toka kwa marais wenzake, ila baada ya Baba askofu Makariuos kumuomba amwachie alimwachia.
Hivyo ujue hawa Maaskofu wanasimikwa kiserikali pia. Utakuta msururu wa viongozi wa serikali na wa nchi nyingine wanahudhuria maana kiutawala Vatican ni nchi kubwa duniani.
 
Katika miaka ya nyuma RC mlikuwa kioo kwa madhehebu mengine, lakini miaka inavyozidi kwenda mnataka kuwa kama waleeee!! hii tamaa ya fedha inakujaje wakati Maaskofu na Mapadre wanapewa kila kitu hata mauti itakapowakuta?
Watazame kwa makini hao wanaoandika, tafakari kanisa lina waumini wangapi na ni wngapi wanaandika upuuzi kama huu,. Utaratibu wa fedha katika kanisa ukoje ?
 
Watazame kwa makini hao wanaoandika, tafakari kanisa lina waumini wangapi na ni wngapi wanaandika upuuzi kama huu,. Utaratibu wa fedha katika kanisa ukoje ?

Nimeandika kutokana na ile statement kuwa Askofu aliwauliza waumini wote kwa pamoja ...
 
Back
Top Bottom