Askofu aisifia kampuni ya bia kwa kutoa fungu la kumi.


Ndungu yangu, dont confuse translations. Wakati Biblia inatafsiriwa kutoka kiingereza kwenda kiswahili, neno 'JUICE' lilikua halitumiki kwa kiswahili cha wakati huo. Hivi babu yako alieishi mwaka 1900 akifufuka ukimwambia neno juice atakuulewa? Nimesha sema, kwa hebrews na Greek, kuna maneno zaidi la mmoja, lakini yote tafsiri yake kwa kiingereza ni 'wine'. Wewe kama Msomi wawakti huu, lazima utumie akili kuelewa 'wine' ipi inayaotajwa kwa kutokana na fungu.? Read the Bible in context, neno la Mungu halipingani, wewe ndo unajichangaya.
Otherwise nikikwambia pia kwamba Yesu Hakuzaliwa katika zizi la ngombe, unatabishia!
 

Dhambi ni Dhambi, haijalishi wangapi wameitenda na ina faida gani kwa taifa. Hata kama uzinzi, ufisadi , ushoga, mention it una faida kiasi gani, utabaki kua dhambi na ni chukizo mbele ya Mungu.
Kama wewe ni mcha Mungu Heri ufe maskini uende mbinguni, lakini ufe tajiri uende motoni!, otherwise kama wewe sio mcha Mungu u have no problem,
 

Ninachojua mimi safari moja huanzisha nyingine ila hii juice ya kunywa mitungi kadhaa mpaka mnamaliza mnaongezwa mingine mingi bado ninakuwa sielewi elewi. Watu walipiga nywesha hii ndiyo habari yenyewe. Kwani tatizo ni nini hasa kuhusu vyakula na vinywaji? Tuachieni mitungi na kitimoto tuendelee navyo mradi tu tuombeeni tutende yaliyo mema baada ya kupiga mvinyo "pombe"
 

Naomba definition ya dhambi tafadhari ili nami niweze kukaa vizuri kwenye huu mjadala
 
I am not one, so siwajibii. Mimi ni proudly Catholic

Nadhani umepumzika kipindi hiki cha Kwaresma. Kinywaji na chakula siyo issue wanaoita dhambi watutake radhi waumini, mapadre, maaskofu, Makadinali na mapapa wote waliopita na waliopo kwa kutuona hatujui maandiko. Ukweli utabaki pale pale pombe kwa kiasi siyo shida
 
Moja kwa moja na yeye ni mshirika kwa sababu pombe ni haramu mbele za bwana kama na yeye anataka kubadilisha maana kama ndugu zangu fulani shauli yake.
 
Naomba definition ya dhambi tafadhari ili nami niweze kukaa vizuri kwenye huu mjadala

Soma James 3:4, 'Whosoever committeth sin transgresseth also the law: for sin is the transgression of the law'
 
njaa mbaya sana.

Kabisa kaka...imagine wamesaidia hospitali....hivi ukiwa na njaa na ukamkuta mlevi anakula akakukaribisha chakula utaendelea kukaa na njaa yako au vipi?....hizi barabara zinajengwa kwa kodi zetu watu wanajua largest taxpayer ni nani?....TBL....walevi wanapozidi kulewa ndio lami zinaongezeka
 

Ni heri kumcha Bwana. Mwili wako ni hekalu ya Roho Mtakatifu, so be carefull what goes in. Otherwise, ukisema ivyo hakuna tofauti na mashetani? Kama pombe wanakunywa, na mema wanatenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…