Askofu aisifia kampuni ya bia kwa kutoa fungu la kumi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askofu aisifia kampuni ya bia kwa kutoa fungu la kumi.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kipindupindu, Mar 26, 2011.

 1. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Askofu wa K.K.K.T Dr.martin shao amesikika akiishukuru na kuisifia kampuni ya bia ya serengeti kwa mchango wake wa ujenzi wa kliniki ya macho hospitali ya K.C.M.C,askofu huyu alinukuu vifungu vya biblia na kuonyesha umuhimu wa kutoa fungu la kumi kama walivyofanya serengeti brewries.

  Je kimaandiko ni sahihi kwa askofu kuisifu kampuni ya kilevi?

  Source:TBC news
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ni sahihi. Yesu wa agano jipya hakuharamisha pombe.
   
 3. E

  ELLET Senior Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fungi la Kumi! kwenye Biashara 'haramu' (kiBiblia), Ila tujiulize, angeuka Yesu angetoa hizo sifa? Jibu lake Yesu ndo jibu sahihi.
   
 4. L

  Lepapalongo Member

  #4
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Hayo ni mambo ya freemason katika principle zao.
   
 5. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hata lile kofia la Papa ukiliangalia lina alama za hawa jamaa!!!!!
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Msisahau kuwa, muujiza wa kwanza aliofanya yesu ni kubadilisha Maji kuwa Divai (Wine) ambayo ni pombe!
   
 7. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #7
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  njaa mbaya sana.
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Angalia kwanza kama Askofu ana ka mahusiano na upendaji wa hela, kila jambo linaloambatana na pesa kwao ni mwiko kulipinga:lol::lol::lol::lol:
   
 9. E

  ELLET Senior Member

  #9
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usichakachue maandiko bwana. Ile haikua pombe, ni juice inatokana na mizabibu. Kama ingekua pombe, waandishi wangesema kwamba watu walikunywa na kulewa. Hapa lugha ndo inakuchanganya, ila waulize wanaojua Greek, au soma Greek Bible. Otherwise uwe makini unavyosoma Biblia. Wayudi hawakua walevi, kwahio inakuaje Yesu awape Pombe! Tumia akiri
   
 10. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Divai nayo ni nini?
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,514
  Trophy Points: 280
  hahahhahahha
  mimi hawa watu wanaoleta stori za freemasoni siwapendi kama nini , hakuna ukweli wowote mtu anarelate vitu tu basi
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,514
  Trophy Points: 280
  mvinyo
   
 13. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 1,869
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  hata kwenye chai , kahawa kuna kilevi. Tofauti ni amount you take. He is not condoning ulevi bali kunya kwa kiasi. Kama huwezi kunya kiasi utajibu mwenyewe kwa mungu wako, kama unaamini yupo na hukumu ya mwisho ipo
   
 14. E

  ELLET Senior Member

  #14
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wa Greek hawana tafouti ya juice iliopo fresh, na ile ilisha farment na akua alcohol vyote vinaitwa wine/divai. Kwa lugha ya sasa tafsiri ingekua non alcholic wine. So non alchololic wine ni Pombe?, lakini si unaita wine. Hatyo ivyo kwanini Yesu awape pombe watu alafu aseme kwamba walevi hawana nafasi mbiguni. Lakini pia soma utamaduni na historia ya Wayahudi,kwe harusi zao walikua wanakunya juice inayotoka na mizabibu, kabla haija farment kua pombe.
   
 15. E

  ELLET Senior Member

  #15
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiasi ni Kiasi Gani? Yesu alisema walevi hawana nafasi katika ufalme wake. He is therefore against pombe. Dhambi ni Dhambi, haijalishi watu wangapi wameitenda. Hata kama sote duniani ni walevi, doesnt mean kwamba pombe ni halali mbele za Mungu.
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tanzania nchi ya wasanii.sio maaskofu,mashehe wala wanasiasa wote walaghai wanapenda pesa.
   
 17. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tanzania nchi ya wasanii.sio maaskofu,mashehe wala wanasiasa wote walaghai wanapenda pesa.
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tanzania nchi ya wasanii.sio maaskofu,mashehe wala wanasiasa wote walaghai wanapenda pesa.
   
 19. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Umesoma maelezo chini? Mkuu wa Karamu akamwita Bwana harusi na kumwambia; "kila mtu huandaa divai nzuri kwanza hata wakishatosheka huandaa ile hafifu. Lakini wewe umeiweka divai nzuri mpaka sasa"

  Sijui hiyo juice hafifu ndio huwaje?

  Check hapa pia, wewe si umesoma history ya wayahudi! Soma Sira 31:25-31. Kama biblia yako imechakachuliwa (ina vitabu pungufu) pole! ...."pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila pombe? Imeumbwa iwafurahishe watu. Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi, huleta shangwe moyoni na furaha rohoni. Lkn kunywa pombe kupita kiasi, huleta kuumwa kichwa, uchungu na fedheha.

  Hekima ya Yoshua Bin Sira aka Eklesiastiko

  Biblia hukemea ulevi, na ndio maana kwetu huitwa. "mzizi wa dhambi" mywaji sio lazima awe mlevi. Divai wakati wa kula ni utamaduni wa wayahudi, na sio ulevi wa kupindukia, ingawa wapo wachache waliokuwa addicted.
   
 20. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  "Jesus drank wine, the scriptures are entirely clear on the matter. At Cana the master of the feast even remarked on the suerior quality, contrasting it with the poorer wine first on offer. Normally, he said the better wine is given first until people have drunk so much they can't tell the difference between the good stuff and the inferior. What does that tell you? The good wine was sufficiently intoxicating to dull the senses enough not to notice the switch.
  Then there is the Last Supper or Pesach Seder. In Matthew 26:29 Jesus said: 'But I say to you, I will not drink of this fruit of the vine from now on, until that day when I drink it new with you in My Father's kingdom.'
  'From now on', tells us that it had been his custom to drink it hitherto.
  Also, Jesus was an adherent Jew who kept the Law perfectly, including Yahweh's command concerning the observance of the Feast of Tabernacles in Deuteronomy 14:24-26:
  'And if the way is too long for you, so that you are not able to carry it, or if the place is too far from you, which Yahweh your God shall choose to set His name there, when Yahweh your God has blessed you, then you shall turn it into silver and bind up the silver in your hand, and shall go to the place which Yahweh your God shall choose.
  And you shall pay that silver for whatever your soul desires, for oxen, or for sheep, or for wine, or for strong drink, or for whatever your soul desires. And you shall eat there before Yahweh your God, and you shall rejoice, you and your household and the Levite within your gates, you shall not forsake him, for he has no part nor inheritance with you.'
  If you check out the Hebrew for 'wine' and 'strong drink' in verse 26, they are 'yayin' and 'shekar', which mean 'fermented wine' and 'intoxicating liquor'.
  Indeed, God had so little problem with alcohol that he even told his people not just to buy themselves a drink but to be generous and buy a round so that everyone might rejoice before him.
  People who drink too much get drunk. People who eat too much get obese. People who sleep too much get lazy. Just about anything in excess is sinful, but we should not therefore conclude that all that is sinful in excess is sinful in every circumstance. Certainly God does not have a problem with alcohol, although alcohol has a problem with some people"
   
Loading...