Asking only one thing😎😎

Asking only one thing😎😎

Ila tuache utani Wakuu, ngono/tendo la Ndoa ni tiba.

Kuna wakati unaweza kumsalimia mtu habari za asubuhi akakurushia ngumi, kumbe hajapata ngono Kwa muda mrefu 😜
Angalia hata wanawake wanaofikishwa vizuri na waume zao, huwa calm sana
 
Tangia niwaseme wachagga ni wachawi amenichukia wala simjui sasa mtoto wa shule ambaye hajaiva anabalehe saivi utalala naye??
Aah kumbe lianzia huko, but how sure you are kama ni mtoto wa shule? Ukute ni hustler yuko kitaa na mishe zake, bas tu kaamua kuja ki hivyo hapa jeiefu
 
Eeh mji mzito huu, anaitwa mau.. ila mkuu hajataka kuulizwa swali, amesema anaomba aulize kitu kimoja, ambacho ni..

Kifupi: ukiwa husex unakua hauko sawa?
Maua namkatisha jina bana 😅
 
Angalia hata wanawake wanaofikishwa vizuri na waume zao, huwa calm sana
Ni sahihi Mkuu

Kitu ambacho wengi wa Vijana hawajui ni kuwa hata ugomvi wa wanandoa/wapenzi humalizwa na tendo la Ndoa/ngono

Ukijidai nunda utaitisha hadi Wachungaji/Masheikh lakini hupati solution, lakini katika mazingira hayo hayo ya ugomvi ukiona ameingia bafuni kuoga mfate huko huko 🤗🏃
 
Ila babu enzi zako ulikuwa moto 😂😂😂
 
Ila babu enzi zako ulikuwa moto 😂😂😂
Nimefanya kuwapa abc Vijana ili waache kutusumbua Wazee kwenda kuwasuluhisha huko Mjini.

Imagine unamuuliza Kijana, mara ya mwisho umempa lini Mkeo haki yake ya Ndoa?

Kijana anaanza kuhesabu Calendar, anapata Siku 248, unamuuliza wewe Kuweza hivyo?

Hapo lazima Mume/Mke awe mkali nyumbani kama pilipili 🤗
 
Kwa kweli washindwe wenyewe dawa ya migogoro yao ushawapa 😂😂
 
Back
Top Bottom