Asking only one thing😎😎

Asking only one thing😎😎

Kwa kweli washindwe wenyewe dawa ya migogoro yao ushawapa 😂😂
Kwa kweli.......hiyo formula itumie hata Kwa Mcheps mwenye Mkono mfupi wa kutoa.

Utajikuta kabla hujamwomba Kodi ya nyumba utakuta yeye mwenyewe amekuingizia kwenye akaunti 😜
 
Kwa kweli.......hiyo formula itumie hata Kwa Mcheps mwenye Mkono mfupi wa kutoa.

Utajikuta kabla hujamwomba Kodi ya nyumba utakuta yeye mwenyewe amekuingizia kwenye akaunti 😜
Babu sina mcheps naogopa kukutwa na bwana Pepsi 😂😂😂
 
Hahaha..... umefanya vizuri kuwa hivyo Mjukuu, itakusaidia kutolalamika kuwa mbona Kuna wengine Wana mihogo na wengine bamia.

Mbona yule anakimbia kilomita nyingi na huyu ni wa sekunde 5 😜
Akhu! Babu mi sipendi uchafu, usafi ikiwemo na kutulia na mwanaume mmoja..!!
Sitaki kuchosha viungo vyangu vya uzazi, ninavyovitegemea kupitishia watoto wangu hapo baadae..!! 😀😀
 
Akhu! Babu mi sipendi uchafu, usafi ikiwemo na kutulia na mwanaume mmoja..!!
Sitaki kuchosha viungo vyangu vya uzazi, ninavyovitwgemea kupitishia watoto wangu hapo baadae..!! 😀😀
Ndiyo maana Bibi yako na Mimi tunafurahi kuwa na Mjukuu wewe...

Hopefully utauishi ule msemo wa "Nyumba yenye amani ni ile ambayo Kitanda kinatingishika Kila Siku" 🏃🏃🏃
 
Ndiyo maana Bibi yako na Mimi tunafurahi kuwa na Mjukuu wewe...

Hopefully utauishi ule msemo wa "Nyumba yenye amani ni ile ambayo Kitanda kinatingishika Kila Siku" 🏃🏃🏃
Sio kutingishika tyuu!! Tulishaamua kushusha godoro chini, tumechoka kumuita fundi kila mara kurekebisha chaga 😂😂😂😂
 
Yunikiu flawa njoo nizipunguze uache kuandika vitu havieleweki
 
Nipo kwenye probation sijui mods wataniachia lini cz Kila nnachoandika hapa wananiwekea red alert.
 
Hivi ni lazima uwe na mwanaume kila saa akuridhishe maana hili nalo neno kwa maana humu wengi wanadai kufanya mapenzi eti nilazima .

Wajuzi ambao mnazini kila daily tujulisheni umuhimu wa healthy sex maana mnanichamba eti na shida ya mwanaume sasa sijui nyie wanaume ambao mnahitaji wanawake sijui hamna shida ya wanawake?? Maana mnasema watu hadi kero kama nyie mpo sawa
Kila saa?

Utafanya Nini cha maendeleo

Iko hivi shughulika na mambo yako kama kawa

Ukipata nyege nenda Kwa umpendaye mpe yoooote

Aisasambue , usijibane kaba mpaka utoke ukiwa

Mwepesi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] utafaidi mapenzi, jihudumie mwenyewe
 
Sio kutingishika tyuu!! Tulishaamua kushusha godoro chini, tumechoka kumuita fundi kila mara kurekebisha chaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado unalalia chagga mpaka Sasa na uko Kwa ndoa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tulishajenga kizimba cha tofali kabisa cha kazi mnatoa godoro mnajaza maji mnapigiana mikasi humo humo mnakausha maji mnaweka godoro mnaendelea na soft mode baada ya hard wave


[emoji23]


Yaani mbinuko unavituko vyake

Huwa nawaza siku mtoto wangu akituona anaweza cheka milele
 
Si
Hivi ni lazima uwe na mwanaume kila saa akuridhishe maana hili nalo neno kwa maana humu wengi wanadai kufanya mapenzi eti nilazima .

Wajuzi ambao mnazini kila daily tujulisheni umuhimu wa healthy sex maana mnanichamba eti na shida ya mwanaume sasa sijui nyie wanaume ambao mnahitaji wanawake sijui hamna shida ya wanawake?? Maana mnasema watu hadi kero kama nyie mpo sawa
Si lazima.
 
Back
Top Bottom