Askari watwangana hadharani

Hiyo aya ya mwisho ndo umemaliza vzr!!
 
Mjwtz aliyewekwa kati kati ya mapaji na jipande la magereza kila nkifimfikiria nacheka xana,,alitoa macho na uwezo wa kuwaamua tukawa hatuna mpaka walipofika traffic kuwatuliza
 
Magereza wanapambana na wafungwa sugu wauaji wabakaji makatili sembuse
 
Hujui mambo ya jeshi nadhani hata JKT hukwenda (hujafika advanced level)

Askari yoyote (jwtz polisi,komandoo, n.k) aliekula kiapo akishavaa yale makombati sio raia /mwanachi ni JAMUHURI ile.

Kuna tofauti kati ya civilian na citizen. Raia katika muktadha huu ni civilian (mtu asiye katika utumishi wa jeshi la ulinzi au polisi). Kwa upande mwingine, citizen ina maana ya raia katika muktadha wa utaifa. Members of armed forces na police force ni citizens wa nchi yao lakini sio civilians!
 
Kwa darasa hili kama jamaa hajakuelewa basi akapige nyeto tu
 
Jwtz mnavyopewa sifa na raia basi mnajawa na ubabe,sasa tumeamua tuwaonyeshe kwa kuwatembezea kichapo ili mjue kila mtu ana weledi wa kazi yake,pia mjue kuheshimu kazi za wengine.
 
Hahaaaa
 
aisee Askari Magereza usiwachukulie poa kabisa,jamaa wako vizur mno
 
Hicho kikosi kiko wapi makazi yake nkajipitishe cku moja
Mkuu fika pale ukonga chukua boda boda waambie nipeleke kikosi maalum cha magereza watakupeleka lkn ukifika kule utawaona wakiwa dojo au uwanjani au ulingoni boxing hawa jamaa wanacheza judo,tikwondo,mieleka,kareti na michezo mingine au ingia google tafuta kikosi maalum cha magereza utaona njemba zilivyo
 
Acha kuchezea FFU mjomba,embu tembelea Ukonga pale ujionee.Wale jamaa siyo watu wazuri wapo wengine walienda Jordan na Marekani kupata mafunzo ya juu.Mafunzo hayo(madini) ndio wanawalisha FFU wote nchini.
Hicho kikosi maalum achana nacho.hujawahi ona traffic kapelekwa ffu?sasa tafuta askari magereza wa kawaida kahamishiwa KM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…