Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,228
- 1,530
Hata mimi nitasimama maana itakuwa ni kitendo cha kustajaabisha, sana!Hili ni la kuchekesha we unasikitikaje?
Matukio kama haya ndio yanafanya mtaa uchangamke....mie huwa nikikuta hivi njiani nasimama hadi mwisho wa show
USIHUZUNIKE MKUU, JW WAPO VIJANA WACHOVU WENGI TUila jw kama wamepigwa wamenidhalilisha sana.
DHARAU HIZI NDIYO ZINAZOWAFANYA MCHEZEE KIPIGOMakomando wanapatikana jWTZ yule captain dagaa pitia TBC ndio alituambia, magereza mpaka makomando wa kike wapo wapelekwe ngerengere sasa kama haitarudi mizoga
HAHAHAHAHAAisee jamaa lililomtia jwt mapajani Leo lilikuwa zaidi ya hili
The great Mohamed Ali anakwambia dance like a butterfly sting like a beeNgumi napenda sana sanaaaa, hasa kupiga ngumi kali na za haraka paap alafu unakwepa una move step back una dance unapiga kali kaliii nzito na kukwepa, ngumi mchezo mzuri sana na unaleta heshima sana.. Ujue kukwepa kuliko cobra alafu ujue kupiga haraka kama paka, utagonga watu hata 5 na watakimbia wote
Uje ujaribu kuleta ukamanda wako kwangu nikuoteshe kishipa, kama hautarudi unatambaa na magoti ukilia liaDHARAU HIZI NDIYO ZINAZOWAFANYA MCHEZEE KIPIGO
Komando hakai kitaa kizembeFikra potofu hizo ukomandoo Ni mafunzo maalum ya kupambana na kujihami na maadui, kuvuka vikwazo mbalimbali na si vyeo, komando huwezi mjua kwa sura au tabia Bali Hadi utokee mtiti ndipo utaweza note kitu tupo nao kitaa na Ni watu very humble
Na ndio maana wanapiga watu ovyo kwa kujiona wao sio raia...KWANI ASKARI SIYO RAIA? hii kauli ya RAIA Siipendi kama nini!
Kabisa..Wache wapigane hata wapasuane pumbu zao,sisi tuwasaidie nini?
Unaonaje one day tuwaombe 'komite' jamaa wa Mlalakuwa. Mi najimudu kidogo kwenye mambo ya uraa dash balai na taisabaka 😜😜Hao ni (KM) ni sawa na (FFU) au (MP).
Alafu kuwa mwanajeshi au askari wa jeshi lolote haimaanishi ndio unajua kupigana.
Kupigana ni uwezo wa mtu binafsi.
Toka lini?Komando hakai kitaa kizembe
Hakuna jipya..wapo wanayajua kuliko hao mabaka..sema mikakati tu kuwa haitakiwi waonekane sawa!Wewe ni raia huna mafunzo ya kijeshi kuwa mpole
Kwani wanajeshi sio wztu?Liongo
Lkn huo ndio ukweli,kwamba askari si raiyaKWANI ASKARI SIYO RAIA? hii kauli ya RAIA Siipendi kama nini!
Mmezidisha chumvi kuwasifia hawa jamaa. Hao watu hatari, sugu wanafikaje huko gerezani? Kumbuka mtu mpaka kufikia kufungwa ni hatua zipi zinakuwa zimepitiwa hapo katikati.Magereza wanapambana na wafungwa sugu wauaji wabakaji makatili sembuse