Askari wapiga picha na viongozi wa CCM

Askari wapiga picha na viongozi wa CCM

Wanawasalimia wakubwa wa nchi.Nyie hamjui nchi inatawaliwa na Chama gani.Kueni na akili hata kidogo.Hata wewe ukikutana na kiongozi wa CCM simama mwamkie ndo uendelee na kajishughuli chako
 
Daudi Mchambuzi; Hawa ni polisisisiem bana ni hasara kwa Taifa letu la leo iliyopo ni kumwomba mwenyezi MUNGU mwema wa rehema atupe viongozi wazuri wasio wabinafsi kama ilivyo leo katika utawala wa mafisadi kama tunavyowaona na kutambua!

Hali si nzuri hata kidogo Ndg zanguni!

Chunga kitu kizito chenye ncha kali wewe Daudi Mchambuzi;


QUOTE=Daudi Mchambuzi;5517650]Maafande wa doria wakipiga picha na baadhi ya viongozi wa CCM wa kata ya Mji Mpya morogoro.
_MG_3233.JPG


Hii kitu inaruhusiwa jamani??
[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
kwan hapo wameonyesha namna gani wapo kivyama hebu fikiria wewe upo kazini ukakutana na jamaa yako mwanadema au mwanaccm usisalimiane naye kisa yeye yupo chadema au ccm kwani sheria ya utumishi inasemaje inasemaje mkuu ulieleta hii mada wameonyesha kuwa wapo ccm kwa kigezo kipi sasa labda tufike mahali tuunde sheria itakayomkataza mtumishi wa umma kusalimiana na mtu ambaye yupo kwenye siasa
 
Askari aliyepiga picha na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema alihukumiwa kifungo jela. Hawa nao wapewe haki yao

Picha CCM.jpg
 
Maafande wa doria wakipiga picha na baadhi ya viongozi wa CCM wa kata ya Mji Mpya morogoro.
_MG_3233.JPG


Hii kitu inaruhusiwa jamani??
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha,haya hima kamateni na hawa basi tuone hayo maadili ya jeshi mnayoyafuata.
 
Sio Askari wetu hao ni wahuni tu waliojivisha magwanda tu tutawasaka by Kova
 
Duuu hii picha ikachapishwe ukurasa wa mbele gazeti la Mwananchi, ndo tuone unafiki wa PoliCCM
 
Hebu tutumie akiri, navyojua mimi hairuhusiwi kwa askari kujihusisha na siasa sio kusalimiana na mwana siasa. Hata mazingira yamekua tofauti hapa inaonekana ni watu wanne lakini yule soldier alikua mkutanoni na alionesha wazi alama ya chama kisha akajitanzaza yupo tayari kufa kwa ajiri ya chadema waziwazi.
 
Back
Top Bottom