engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Ukipenda kuokota,penda na kudondosha pia
Tutawasaka!
Maafande wa doria wakipiga picha na baadhi ya viongozi wa CCM wa kata ya Mji Mpya morogoro.
![]()
Hii kitu inaruhusiwa jamani??
hk /;0pjvbgTofauti na ile ya kwenu(chadema) ambayo lema alikumbatiana na askari fake wa JWTZ kwa mkao wa kujiandaa kabisa kwa kupiga picha! Hapo wanasalimiana kuwapa habari za kiintelejensia....kuwa kuna mtu kapita kavaa mavazi ya mgambo wakati wanajua hakuwahi kimbia mgambo!
huyu anasalimiana na kada wala hajaweka pozi la kishabiki, wa lema aliweka ushabiki zaidi, pia waswahili wa kale walisema Salamu haitii mimba...
Wachangiaji wengi wanachangi mambo bila kujua sherha za JWTZ asimuhusu askari polisi na za polisi hazimuhusu JWTZ Ingawa kuna mambo yanalingana. Askari hazuiliwi kuwasiliana wanajamii akiwa amevaa/kiraia mfano: mafuliko yametokea askari wameenda kufanya uokozi na viongozi wa kisiasa wako pale wakiwemo wa CDM watasalimiana nao kupeana ushauri wavae sare ama kiraia. Polisi maandamano na mikutano ya vyama vya siasa watakuwepo wakiwa wamevaa sare wanapofanya doria watawasiliana wanajamii bila kujali ni wa chama gani. Watumishi wote wa vyombo vya ulinzi na usalama, binafsi wanaruhusiwa kupiga kura na kuhudhuria mikutano ya kisiasa bila kuvaa sale ila hawaruhusiwi kuwemo kwenye maandamano na nieleweke nimesema binafsi. Pia wakiwa huko hawatakiwi kushabikia, kuhutubia kupiga picha na viomgo/wanachama wa vyama husika. Yule mtu mnaemwita kosa lake kupiga picha kwenye tukio la kisiasa akiwa amevaa sare za jeshi, pili kuonyesha ushabiki kwa kuonye ishara ambayo Cdm wanaitumia. Na baada ya kubainika kuwa sio askari wa JWTZ Kosa lake kwanza kuvaa sare za jeshi kinyume cha sheria inga hapa wengine mtase mbona nchi fulani raia wanavaa hatuongozwi sheria za huko. Kosa lingene kujifanya askari JWTZ kama kweli wanamapinduzi tunataka mabadiriko ya kweli tuache ushabiki tukosoe kila lisilohalali. Na tu coment mada kwa kujua unachochangia majeshi ya sheria zao na kunavitabu vya sheria, wanasheria na mahakama kule hazilingani hizi za kwetu.
ifikapo 2015 mambo kama hayo yataruhusiwaTutawasaka!
nime editi mkuu. Kasome coment ya kwenye mada mama Saluma kikwete alipofananisha kupewe heshima kama rais utasema mi nafanyia kazi ofisi ya mkuu wilaya/mkoa mi naamini yule nikirudi kwenye mada jamaetu aliekula mvua nne hajaonewa amejitakia mwenye aidha kwa kutojua ama kwa makusudi, ndo maana unaona hakuna kiongozi, wa chama chochote cha kisiasa wala wanaharakati au wanasheria wanaonyesha kupinga hukumu ile au kuonyesha niakumkatia rufaa. Ili kumtetea, Ukweli ndo huo ingawa hamtaki ndo maana mmebaki kufananisha matukio tu.Mkuu, unge-edit kidogo ili upate kueleweka vizuri.
Yawezekana wewe ni mwanajeshi, lakini sheria ya vyama vya siasa haitamki aina ya jeshi la TZ bali askari wote kwa ujumla wake hawaruhusiwi kushabikia chama chochote cha siasa full-stop.
Na kwamba ati V ni alama ya CDM ni utoto. V ni alama inayotumika duniani kote kumaanisha ushindi na ambayo CDM nao wanaitumia pia.
Maafande wa doria wakipiga picha na baadhi ya viongozi wa CCM wa kata ya Mji Mpya morogoro.
![]()
Hii kitu inaruhusiwa jamani??